Aiseewatu wa JF sio wa.kuwapa siri kama hizi kwa sababu asilimia kubwa hawako serious.
watakutukana na watakukejeli.
ukitaka kuona manufaa ya chumvi ya.mawe, itumie na Muosha fedha!
weka manuizi yako kabla hujaoga.
usiiogee na sabuni, Oga kwanza kawaida kisha oga mchanganyiko wa chumvi ya mawe na Muosha FedhaView attachment 2895938
huo hapa mjani wa Muosha Fedha
Popoa hayo majani, kisha anika Juani mpaka yakauke. kama una access na kinu kidogo basi Twanga kisha anika
View attachment 2895939
Baada ya kutwanga na kuanika.
Muosha Fedha ni dawa ya Presha, mikosi nuksi vijicho MVUTO wa biashara wanawake e.t.c
Watu kama wewe unakuta hujawahi kuuza hata pipi. Ndugu yangu, ukishasikia biashara, ujue ni vita. Tena ni vita kubwa. Hayo mambo ya kuboresha sijui nini ni ziada tu. The real battle is fought in a very different way. Kama ukitaka kuwa mfanya biashara na hutaki kuipigana vita hii, biashara yako haitoboi miaka mi5.Hakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah
Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
AHahah kwann mkuu? Nauliza tuWewe huna msimamo, hujiamini?
Si kweli!Si kweli
Unahitaji damu ya Yesu tu, haya mambo ya chumvi ni mbwembwe tu na confidence huja baada ya kuamini utafanikiwaNimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya
CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i
Imenisaidia duka langu naona hela sasa sio kama zamani
Imenisaidia kupunguza na kumaliza madeni korofi
Imenisaidia kufanya biashara na watu niliokuwa nimegombana nao kiasi cha kutosemeshana
Matumizi
Nunua chumvi ya mawe sokoni hata ya 500 tu, weka kijiko kimoja kwenye maji ya kuoga ogea asubuhi na jioni hadi utakapoona mambo yamekubali
Damu ya yesu anaipata vpUnahitaji damu ya Yesu tu, haya mambo ya chumvi ni mbwembwe tu na confidence huja baada ya kuamini utafanikiwa
Sidhani kama ungesikia au kusoma uzi wa nilivyofeli baada ya kutumia chumvi ungethubutu kuutumia
We unajisifu huku wakati mademu zako wanatangaza una kibamia[emoji23]Mimi imenisaidia sana kila nikikutana tu na Demu katika Kutiana / Kubanduana nae nikiipakaza tu katika Mkuyenge / Mkurudungu wangu huu Tukuka na Kuuingiza / Kuusokomeza wote Mbunyeni / Kokwani mwa Mwanamke ( Demu ) husikia Utamu sana na huwa hawaniachi huku kila mara tu wakitaka tena.
Kwa kuamini na kusadiki
Nayapata ya kawaida tù ambayo hayana maajabuLakini bado hujaona maokoto 😂
Kwahio chumvi ya mawe ni ushirikina, vipi kuhusu mafuta ya upakoKwetu sisi tulioamini huo ni ushirikina. Huu mjadala siupendi, tuuache.
Amini unachoamini Mkuu.
Unajua hili lilikuwa linahusishwa na watu kutoa gundu baharini zamani sana ,ila baadae watu walikuja kusema ni ushirikina.Kuhusu hilo jambo Mimi sikupingi maana kazi kubwa ya chumvi ya mawe ni Kuondoaa negative energy na baadae inafungua chakra na chakra zikifunguka unaanza kuwa na upendo na kila MTU na hapo mafanikio hufata
Kwetu sisi tulioamini huo ni ushirikina. Huu mjadala siupendi, tuuache.
Amini unachoamini Mkuu.
Ndio ushangae hapo.Kwahio chumvi ya mawe ni ushirikina, vipi kuhusu mafuta ya upako
Biashara ni strategiesWatu kama wewe unakuta hujawahi kuuza hata pipi. Ndugu yangu, ukishasikia biashara, ujue ni vita. Tena ni vita kubwa. Hayo mambo ya kuboresha sijui nini ni ziada tu. The real battle is fought in a very different way. Kama ukitaka kuwa mfanya biashara na hutaki kuipigana vita hii, biashara yako haitoboi miaka mi5.
Mafuta ya upako ni Olive oil ama mafuta ya mnyonyo ambayo yamekuwepo miaka chungu tele kwenye maduka ya kisuni kabla hata mwamposa hajaja mjini ila usipoyanunua kwake ukanunulia duka la kisuni unaitwa mshirikina😂Ndio ushangae hapo.
kuna zile dawa za kissuna. Ushirikina mtupu. Ila wanatumia.
watanzania ni wanafiki sana.
Vinahusianaje na mafanikio katika biashara?Si kweli!
Kwa hiyo hakuna Mungu
Hakuna uchawi wala mzimu
Chumvi ni nzuri mno acheni kwenda waganga chumvi inaondoa bad energy zote
Iwe kuogea kuiweka ndani