Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

Unauhakika Lulu alikuwa anajitetea kwa kipigo?! Unauhakika?!?

What a silly question!
Mwenye kujua ukweli ni LULU, KANUMBA (R.I.P) NA MUNGU WAO TU!
Ukiuliza swali kama hilo uliloulizwa, unaweza nawe ukaulizwa " Lulu alikuwa anampa kipondo Kanumba hadi akamuua? na kwanini Kanumba hakukimbia au kuomba msaada maana hakuwa hata na nguvu za kujitetea!"
 
Lulu wont like this! najaribu kufikiri hata wapi umepata wazo hili nimeshindwa. Wanasema tunafikiri na kuamua kwa uzoefu wetu uliopita lakini hata hivyo kwa sasa imekuwa ni mapema sana. "RIP Kanumba" ndio wakati wake
 
Ndg Mungu hahangaiki na kahaba
 
Hivi lulu alikuwa mke wake kanumba? Au ni kacheche tu. afu we mama ni selfish sana..hivi angekuwa amekufa kaka ungeyasema haya?
Kama Lulu hakuwa mke wa Kanumba then ni "kicheche" lakini Kanumba aliyekuwa anasumbukia "vicheche" yeye haitwi malaya, ndio mfumo wa madume.

Bora "kicheche" kilicho survive attempted murder kuliko mwanamme chupi mkononi aliyepigwa mtama na "kicheche."
 

wanawake ni MAJANGA yaliyokuja duniani kwa bahati mbaya.check ***** ulioandika hapa then unajisifu unao watoto wa kiume shame on u.nahisi wewe ni majanga umeachika so ni victim wa masuala ya mapenzi go to hell.bora umesema mtetez wake ni muumba may be wa mashetani.bt not our GOD WHO RAISE THE ONLY SON JESUS from death hayupo cheap kihvyo mamaa
 
Hiyo ilikuwa ni accident tu; na nadhani Lulu analia sana kwa kumpoteza Kanumba ambaye alikuwa mwajiri wake na vile vile bwana wake. Inawezekana kanumba alipoangukia kichwa aliziba (japo japo kwa nusu sekunde tu) mshipa wa damu unaopeleka damu kwenye ubongo na hivyo kusababisha stroke ya papo kwa papo bila kutarajiwa.
 
acheni kujadili utoto, kwan msichokijua ni kipi? hiyo ndio staili ambayo islaili amechukua roho ya kanumba.
hebu fikiria roho yako ataichuaje.
mapenzi matamu:A S-fire1:
 
 
Wewe ulianzisha hii thread naomba ukumbuke kuwa kuna Mungu na ndie haswa anaetoa hukumu lakini sio sisi binadamu.
 
Duh hili tukio ni kama kumuwinda mende na gobole!
 
What if she went and causes those bruises to herself after the incident? As we are told she ran away before being caught.

Just thinking out of the box!
 
bado sijakuelewa
 
Kanumba alikuwa anambaka naye akajitetea na bahati mbayao mauti yakampata kwa jinsi hiyo. Jamii inajua Lulu alikuwa kicheche wa Ray ila Kanumba akamlaghai kwa kumuita kwake ili kumdhalilisha. Ni kweli Lulu ametetea wanawake wote wanaodhalilishwa kimapenzi.
 
Wakupime, sio mzima! Bila shaka utakua ni yule mama wa Kenya aliesema wanawake wasitoe unyumba kwa wanaume....!
 
Mmmh unauwakika lulu anaonewa ? Tusubiri tamko la daktari,polisi na mahakama
Vyombo vya habari leo vimeripoti kuwa Lulu alikamatwa akiwa na majeraha. Ni dhahiri kuwa alikuwa katika harakati za kujitetea "Self Defense" kutokana na shambulio la kudhuru mwili ndipokifo kikatokea. Hata hivyo kisheria hiyo ni "Manslaughter" yaani kuua bila kukusudia.
 
sakata la kifo cha Kanumba ni funzo kwetu mi naona Mungu kaamua kutufundisha vijana wa KiTz kwa mfano anuwai.. Katumia watu ambao almost vijana wote tunawajua hapa tuangalie upya lifestyles zetu. Je? Ni mabinti wangapi hapa bongo wana lifestyle ka ya Lulu? Je? Ni vijana wangapi tuna lifestyle ka ya Late Kanumba? Tumekua hatuna heshima kwa wakubwa vijisent hivi tunavyopata hata ka ni vya BOOM vinatutia wehu! Ufuska kwetu ni order of the day tuna wapenzi zaidi ya mmoja, walevi hatusali yaani tunaishi ni machukizo before God... Kwa upande wangu mimi nimelipokea hili kama onyo na funzo na ingekuwa vizuri wenzangu tukalichukulia ktk aspect hii, kwan everything happens For a reason na lolote linalotokea duniani ni funzo kwa wanaobaki.. Mimi nimeanza kureview my lifestyle hata ka hutakuwa mlokole, mswalihina, au whatever hebu vijana wenzangu tuwe na KIASI. Nafkiri wenzangu tukiliangalia ktk mtizamo huu litatusaidia sio kuanza kutafta mchawi then tunabaki vilevile ka jiwe la mtoni... Na hayo ndo matokeo ya jinsi tunavyoishi.
 
Kama huyu dem alikua anajitetea mbona marehem kakutwa na majeraha? Ina maana alikua anajipiga. Achtnguzwe vizuri na hata mdogo wa kanumba nae maana kikulacho ki nguoni.x
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…