Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #101
tunasema hivikuna wadogo zake wamefika mbali mana walianza mapema, kwa vyvyt vile ye tyr amechelewa mno.
kuna kipind nlikuwa namsikiaga kwenye mitandao lkn ckujua ana kipi kipya.
Upogoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]...Kuna watu wana roho mbaya khaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati hafanyi chochote alikua anasemwa haya ameona ajishughulishe bado watu wanaponda.
Roho mbaya zitatuua wanawake
lipi?Upogoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]...
Duka la dairekita Joann hill sio lake
Nasubiri povuuuu la safari lager[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Haaahaaaaa
Hawezi kukaa yule dukani full kuzurura mjini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Social media kuna watu wapo kuvunja moyo wenzao kwa namna zote..mi namuombea atulie tu na duka lake tena if possible akae nwenyewe km Hamisaa unless watamuibia
mmmhHawezi kukaa yule dukani full kuzurura mjini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mama ninataniana na huyo niliyemkoti hapo juu siko serious!lipi?
embu tupe risiti basi kuhakikisha ni la director joan!
I seeMama ninataniana na huyo niliyemkoti hapo juu siko serious!
Hela aipate kwa stone?[emoji15] [emoji15] [emoji15] ...kama hukufanyaga ya maana kwa jk sahau kipindi hikiMiaka yote huko nyuma akiwa hot hakuiga ela itakuwa leo?
Unajua maana ya ela wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duka analo toka zamani sema hili la sasa ni la bidhaa ya aina nyingine
Binafsi MTU mwenye duka languo na anayeuza mchele naona bora anayeuza mchele hii biashara ni za show off tu lakini hamna cha maana ni hela ya mboga tu na vocha utaambulia sio ya kuendesha maisha ya mtu.
duMwacheni apate biashara ya kumpatia kipato maana umri unaenda na madanga wenyewe hawasomeki sio kama zamani usiku mmoja anapewa 3m!
Kapi hako?Hongera zake. Ajitahidi aache kale "kasigara" kakali
KWAKWELIhongera Wema ,kuna Maisha after fame...
pesa hazijai, endelea kumpa moyo.tunasema hivi
hata kama amechelewa kuanza lakini kwa fun base alokuwa nayo anaweza akarudisha hio hela ndani ya miaka 2 au mmoja
AmenSio biashara mbaya. Nguo na vitu vya watoto vinalipa sana tena kwa mtu kama wema ataifanya biashara hiyo kwa kutumia jina lake.
Watu wanazaa kila siku so atauza tu.
Ajitume kwenye biashara yake asibweteke na uvivu wake.
Mi nampongeza sana tu..sinaga ubaya nae..
Ubaya wangu kwake ni kumchukia Missa tuu!!!