MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
- Thread starter
-
- #21
Mpelekee Ujumbe yohana! Mwambie huyu siye huko aliko aendelee kuianda njia ya bwana na kama jangwa hilo alipo ameshalimaliza mwambie ahamie jangwa jingine na aendelee hatuna namna.Ajabu wa kwetu badala ya pole kala rambirambi na matusi juu kwa ndugu zetu wa bukoba eti serikali haikuleta tetemeko kila mtu atajiju..... jamani hv kweli huyu ndiye aliyetabiriwa ama tungoje mwingine?.Naona viwete hawaponi,wenye ukoma hatutakasiki wala viziwi hawasikii msaada jamani kabla sijapeleka ripoti kwa yohana.
Nimeipenda bure mkuu kumbe waseminari tuko wengi.Hongera kwa kunielewa maana wengine wamebaki njia panda hapo kwa yohana.Mpelekee Ujumbe yohana! Mwambie huyu siye huko aliko aendelee kuianda njia ya bwana na kama jangwa hilo alipo ameshalimaliza mwambie ahamie jangwa jingine na aendelee hatuna namna.
Uhuru aliandaliwa kuwa kiongozi toka akiwa mdogoNa sio kwamba hajui kuwa kuna vikao vya siri baina ya odinga na dereva wa lori,
Uhuru ni rais muungwana haonyeshi visasi.
Ametoa sh. Ngapi? Za pole.Ni jambo la faraja kuona Kenyata akifanya vile.
Bravo Kenyata.
Likizo ya makafaraIkianza utajua endelea kutenda dhambi kwanza
[emoji101][emoji114]Likizo ya makafara
Tupo wengi mkuu! Hongera pia kwako coz niliposoma bandiko lako nimecheka sana.[emoji1]Nimeipenda bure mkuu kumbe waseminari tuko wengi.Hongera kwa kunielewa maana wengine wamebaki njia panda hapo kwa yohana.
Huoni mafisadi WAMENYAMAZISHWAAjabu wa kwetu badala ya pole kala rambirambi na matusi juu kwa ndugu zetu wa bukoba eti serikali haikuleta tetemeko kila mtu atajiju..... jamani hv kweli huyu ndiye aliyetabiriwa ama tungoje mwingine?.Naona viwete hawaponi,wenye ukoma hatutakasiki wala viziwi hawasikii msaada jamani kabla sijapeleka ripoti kwa yohana.
Pesa na utu ni vitu viwili tofauti mkuu. Alichofanya ni zaidi ya pesa ambazo soon tutasikia viongozi wetu wataanza kutoa.Ametoa sh. Ngapi? Za pole.
Umenivunja mbavu zangu. Life goes on!Ikianza utajua endelea kutenda dhambi kwanza
Unadhani Uhuru hajui pesa ya rambirambi ya Tetemeko la Bukoba mlivyoitapanya na kashfa juu kwa wahanga?Ametoa sh. Ngapi? Za pole.
Daaah aisee. Na sidhan km kuna tamko lolote lililotok kwa Rais wet kufuatia Msiba huo mkubwa.Ajabu wa kwetu badala ya pole kala rambirambi na matusi juu kwa ndugu zetu wa bukoba eti serikali haikuleta tetemeko kila mtu atajiju..... jamani hv kweli huyu ndiye aliyetabiriwa ama tungoje mwingine?.Naona viwete hawaponi,wenye ukoma hatutakasiki wala viziwi hawasikii msaada jamani kabla sijapeleka ripoti kwa yohana.
Wangenyamazishwa leo ungekuwa unakula mlo mmoja wa shida na kushindia mhogo kwa pilipili?.Huoni mafisadi WAMENYAMAZISHWA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unadhani Uhuru hajui pesa ya rambirambi ya Tetemeko la Bukoba mlivyoitapanya na kashfa juu kwa wahanga?