ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mnisamee bure ....yule baba kwa matukio waliyopigwa mwaka 1994'Genocide....makaburi ya halaiki....hili la kwetu nadhani anaona tone dogo....Wadau vipi kwa swaiba wetu no 1 kwa sasa Rwanda,Hajasema chochote kuhusiana na Tukio hili??
Wtz wanatongozeka,rubunika kirahisi mno...mbona askari wetu walipouwawa hakutupa pole...kipindi hiki cha kampeni bila shaka anatafuta political stunt...nothing elseHekina za Uhuru na Lowasa hazina tofauti, tabia ya mtu unaweza kuijua kupitia marafiki alionao.
Wakenya kupitia raisi wao ametumia muda wa sekunde kadhaa kuwasimamisha wakenya kwa shughuli zote ili kuungana nasi ktk msiba wa watoto wetu huko arusha.
Mungu akuzidishie hekima hizo baba.Umeonesha upendo kwetu.
Bukoba alitoa msaada kwa wahanga wa tetemeko sijui jana wakipewa wakusudiwa.Ametoa sh. Ngapi? Za pole.
Wadau vipi kwa swaiba wetu no 1 kwa sasa Rwanda,Hajasema chochote kuhusiana na Tukio hili??
Ingekuwa Siri usingejuaNa sio kwamba hajui kuwa kuna vikao vya siri baina ya odinga na dereva wa lori,
Uhuru ni rais muungwana haonyeshi visasi.
Ajabu wa kwetu badala ya pole kala rambirambi na matusi juu kwa ndugu zetu wa bukoba eti serikali haikuleta tetemeko kila mtu atajiju..... jamani hv kweli huyu ndiye aliyetabiriwa ama tungoje mwingine?.Naona viwete hawaponi,wenye ukoma hatutakasiki wala viziwi hawasikii msaada jamani kabla sijapeleka ripoti kwa yohana.
Zimefika.Kawambie kuwa mwenyewe yupo anapambana na Herode kwa amri ya Cesar Agusto kuhusu orodha iandikwe. Kwahiyo Yusuf na Mariam wamekimbilia Monduli ili hiyo shughuli ikisha warudi DSM kuchukua jengo Jeupe la Mjerumani lililojengwa na Von Schee akitokea Tabora enzi za Dutch Ousta Africa company 1884 - 1919.
Siasa ya ndani ya lori tu haiwezi ataiweza ya nje ya lori?Na sio kwamba hajui kuwa kuna vikao vya siri baina ya odinga na dereva wa lori,
Uhuru ni rais muungwana haonyeshi visasi.
Nimempenda sana Rais wa Kenya Mh.Uhuru Kenyatta Kwa Ubinadamu wake Kwa Watanzania Na kuamua kulisimamasha Taifa lake Kwa Dakika 1 kuwaombea watoto 33 wa Kitanzania waliopatwa Na ajali Na kupoteza maisha.Hapa kwetu halijafanyika sana Redio Na Televisheni zinapiga nyimbo za furaha kama vile hazijui kama Taifa lina msiba.Bado TFF inaruhusu Yanga Na Prison kucheza mechi na leo Simba na African Lyoni badala ya kuziairisha kuonyesha majonzi.Watanzania kuweni Na mapenzi Kwa wapendwa wetu wanapopata matatizo sio kuendelea Na starehe.
Haya maneno uliyoyaandika hata Kinana hawezi kuyaandika.Wtz wanatongozeka,rubunika kirahisi mno...mbona askari wetu walipouwawa hakutupa pole...kipindi hiki cha kampeni bila shaka anatafuta political stunt...nothing else