Tatizo nyinyi ni wanafiki. Nani asiyependa mshahara, marupurupu mazuri? Wewe hutaki> Ukweli ndio huo. Kwanini CCM haitaki katiba mpya? wanajua kwa katiba mpya saa 12 asubuhi wako nje ya serikali...asali!Mentality ya ajabu hiyo....
Huo ni UTUMISHI WA UMMA...
Hayo masuala ya fikra za asali ndiyo yanayotuumiza kufikia ubora zaidi....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Anahama na salary yake ulijue hiliWilliam Simon Mwakilema alikuwa ndio Mkurugenzi wa TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa ccm , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Hawawezi kuwa Nje ila itawapukutisha wengi.Hakuna chama Cha kushinda ccm Kwa Sasa huko upinzaniTatizo nyinyi ni wanafiki. Nani asiyependa mshahara, marupurupu mazuri? Wewe hutaki> Ukweli ndio huo. Kwanini CCM haitaki katiba mpya? wanajua kwa katiba mpya saa 12 asubuhi wako nje ya serikali...asali!
Kwa mawazo yako hayo basi tuna safari ndefu sana.....Ameweza kuamka kweli asubuhi hii?
Ukiwa na akili ndogo kama za kwako huwezi nielewaKwa mawazo yako hayo basi tuna safari ndefu sana.....
Teuzi ni kwa ajili ya kumsaidia MTEUA....
Hayo masuala ya "asali" ndiyo yanayokita KUKOSA UWAJIBIKAJI ,UMIMI ,UBAGUZI ,RUSHWA,UVIVU ,KUBEBANA ,UCHAWI ULIOTOPEA , MAJUNGU,UZANDIKI ,FITINA ,KUABUDIANA....
#SiempreJMT[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hoja yangu ni hizo nafasi za utumishi wa umma.....Tatizo nyinyi ni wanafiki. Nani asiyependa mshahara, marupurupu mazuri? Wewe hutaki> Ukweli ndio huo. Kwanini CCM haitaki katiba mpya? wanajua kwa katiba mpya saa 12 asubuhi wako nje ya serikali...asali!
[emoji1787][emoji1787]Ukiwa na akili ndogo kama za kwako huwezi nielewa
HISIA sio UHALISIA....Kuna sehemu atakua aliwazibia rizki sio bure, yani unatolewa kwenye ajira ya uhakika unaletwa huku ambako mfalme juha akipiga hata chafya unakua na wasi wasi wa kuendelea kuwepo ofisini [emoji848][emoji848] amdindie kama baba katibu wa chama cha walimu
Marupurupu na posho kibao kaziacha plus hongo bye bye sasa korogwe nani atakupa hongoAnahama na salary yake ulijue hili
Itakuwa ndiyo hivyo maana huyu mtu ni mtendaji mzuri sana.Ndo kastaafishwa kwa manufaa ya umma (mfuko wa wakubwa)
Atakuwa ni kikwazo cha wanaofisadi mbuga zetu ndo maana katolewa kapelekwa machinjioni
Youngsters should fight for greener pastures using justified/legal means!Hoja yangu ni hizo nafasi za utumishi wa umma.....
Nafasi ziko nyingi....mishahara na posho hailingani.....
Kwa mentality "usemayo" tunalijengaje taifa ?!!!
Tunawakuzaje "youngsters"?!!![emoji15]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
πππππππππWilliam Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa ccm , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Kwani kuna sehemu nimeandika ni hisia zako π€HISIA sio UHALISIA....
Hisia zako hizo[emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
kashuka big time, kutoka kuwa mkuu wa hifadhi zote za taifa nchini means report zote za hifadhi ikiwemo maokoto zilikuwa zinamfikia yeye before hazina mpaka kuwa DC (mpiga mapambio) hii ni zaidi ya kushuka mkuu.Hivi kapanda au kashuka