Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Kweli? Promotion hii kiboko!
 
Mentality ya ajabu hiyo....

Huo ni UTUMISHI WA UMMA...

Hayo masuala ya fikra za asali ndiyo yanayotuumiza kufikia ubora zaidi....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu, ndo mentality za wengi Tz...mtu kateuliwa awatumike wananchi, lakini utasikia jamaa kaula' aiseee na ndio maana kila anayepata fursa hafanyi makosa...... kaazi kwelikweli.
 

Hiyo ni demotion basicaly ametolewa kwenye maziwa kapelekwa kwenye oil
 
Kuna sehemu atakua aliwazibia rizki sio bure, yani unatolewa kwenye ajira ya uhakika unaletwa huku ambako mfalme juha akipiga hata chafya unakua na wasi wasi wa kuendelea kuwepo ofisini πŸ€”πŸ€” amdindie kama baba katibu wa chama cha walimu
Na mbaba wa watu alivyo nyooka na asivopenda siasa!
Labda ni njia ya kumla kichwa kwa kuingilia mambo yao!!
 
Wewe ni bingwa msanifu wa kusanifu, Bwana Mwakilema ameondoka kwenye mabilion anapelekwa kwenye tumilion hahahaaa anaenda kuisoma namba.
 
DA POLE YAKE SANA AMESHUSHWA SANA CHEO JAMAA HUYO KAMISHNA WA TANAPA ANALAMBA MILLION 6 na kenda na posho za hatari hatari
 
ASKARI WA TANAPA ANAEANZA LEO AKIWA FORM 4 NA CHETI CHA JKT analipwa 1.7 m au akiwa amepitia pasias
 
Ha ha ha !
Mkuu mimi nampongeza mama Samia kwa kumuoana huyu jamaa na utopolo ndani ya TANAPA.
Naona unamdhihaki huyu Mwakilema, kaporomshewa jumba bovu kama huna habari.
Alikuwa anaringia wadhifa wake unaofadhiliwa na World Bank.
 
Dah TANAPA kuna asali unanitoaje huko [emoji1] na kunipeleka wilayani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…