Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Matumizi mabaya ya madaraka tu,hapo jamaa atakua anakula mishahara miwili.
 
Kaka yangu Mwakilima ni heri heshima Kuliko wizi na fedheha, unaondoka huku kukiwa na taarifa za Wizi wa Nissan Patrol.ya Tanapa mpya, aliyojimilikisha aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Mkwe wa Rais, mpaka Sasa serikali imeshindwa kutoa maelezo ni Kwa Nini gari ya mradi Imebadilishwa namba mara mbili? Mwandishi wa Panorama kakamatwa na Sasa Mwalilema kapewa demotion. Tunataka Katiba mpya itakayowalinda watumishi kama Mwakilima na Maliasili na kuwawajibisha wezi waliovaa ngozi za kondoo kumbe ni mbwa mwitu wanaotumaliza.#NO2DPWorld Kongamano Mwanza kesho October 4, 2023 Vijana Center Mwanza kuanzia saa 4
.
 
Watamshangilia kuwa kapata uteuzi but in real sense kimasirahi imemega kwake, title sawa! Anaacha OC ya B1, Dev B 12 hadi Oc ya Mil 3, Dev 0. Anaenda kupiga magot kwa DED!
 
Karibu sana Jukwaani Rosemary Mwakitwange
 
Kuna jamaa alianza kazi pale kama mlinzi. Nilipomuuliza maokoto yake akaniambia salary laki 9 na point nje ya posho. Hapo alikuwa na Form IV tu na fani ya ulinzi. Sijui kama alinidanganya ?
DA POLE YAKE SANA AMESHUSHWA SANA CHEO JAMAA HUYO KAMISHNA WA TANAPA ANALAMBA MILLION 6 na kenda na posho za hatari hatari
 
Mshahara unabaki vile vile, hapo kakosa marupurupu
Ukizingatia waziri wake wa awali anaendelea kuwa waziri wake!
Kifupi Mwakilema kapewa adhabu Kali sana! Itavuruga utulivu wake wa akili na amani ya nafsi!

Lakini kwanini Prince Mchengerwa ana nguvu kiasi hicho??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…