Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ame accelerate to the lower gravity levelHivi kapanda au kashuka
It doesn’t matter.Anahama na salary yake ulijue hili
Five star promotionKweli? Promotion hii kiboko!
Tanapa ni nchi yenye asali na maziwa.Dah TANAPA kuna asali unanitoaje huko [emoji1] na kunipeleka wilayani
Ova
Nasimama pale kama ataweza vaa viatu vya yule mwalimu wa cwt aliyegomea uteuzi wa kipuuzi kwa masilahi ya mtu flaniWilliam Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Hivi kumbe ni kalahali siyo Kanaani? Au palitokea madaliko ya kimatamshi?amemtoa kenye maziwa na asali na kupeleka kwenye desert, Kalahali desert!
Usilolijua usiku wa giza nene!Sasa amewaachia miradi yao ikiwa salama kabisa waitafune vzr kabisa kwa raha zao. Ni bora kutoka kwa heshima kuliko kutoka kwa kashfa. Viva Mwakilema wewe ni jembe!
Na kweli nadhani utapewa mshahara wake na allowance zake hongera sanaBora na sisi TANAPA tupumue baada ya kutoka ili linyakyusa mpigaji
Usilolijua usiku wa giza nene!
amekatizaHivi kapanda au kashuka
Ataenda kushika bunduki kupambana na majangiliAfanye kama yule jamaa wa Chama Cha walimu Tanzania aliyegomea UDC! anao ubavu??
Masahihisho : Mimi si Mfuasi wa Mbowe , ni mfuasi wa Chadema🤣🤣🤣 wewe mfuasi wa Mbowe umenichekesha. TANAPA na Ngorongoro nimeona wengi wamepanda vyeo na kuwa wakuu wa wilaya. Umesahau kusema kuwa atakuwa mjumbe wa kamati ya siasa ngazi ya wilaya CCM.