Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Kwa wenzetu nchi zilizo endelea mtu hawezi kukukomoa kukuadhibu sababu yeye ako na madaraka au kuwa Karibu na top leader,

Kwenye Katiba mpya kiwekwe namna mtumishi akionewa akashtaki kwenye Tume asikilizwe.

Ila uzuri yupo Mungu mwenye nguvu zote asopendezwa Na uzalimu.
 
Mwenyezi Mungu ni zaidi ya fundi na Mhandisi.

Ni Kheri kuchagua kutenda haki na rehema.

La sivyo utajikuta unajitahidi kufanya kazi lakini hukubaliki na watu ,

Mambo yanakuwia magumu kila uchao,

Tujitafakali kuendenda kwetu.
 
Ringia proffession yako hiyo hiyo ya kubwabwaja mitandaoni utafika mbali sana kimaemdeleo
 
Ikiwa watu baki wananchi walio mbali wanasikitika Na kuuma hivi sipati picha yeye mwenyewe huyo mhanga anaumia kiasi gani?!
 
William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Nasimama pale kama ataweza vaa viatu vya yule mwalimu wa cwt aliyegomea uteuzi wa kipuuzi kwa masilahi ya mtu flani
 
🤣🤣🤣 wewe mfuasi wa Mbowe umenichekesha. TANAPA na Ngorongoro nimeona wengi wamepanda vyeo na kuwa wakuu wa wilaya. Umesahau kusema kuwa atakuwa mjumbe wa kamati ya siasa ngazi ya wilaya CCM.
 
🤣🤣🤣 wewe mfuasi wa Mbowe umenichekesha. TANAPA na Ngorongoro nimeona wengi wamepanda vyeo na kuwa wakuu wa wilaya. Umesahau kusema kuwa atakuwa mjumbe wa kamati ya siasa ngazi ya wilaya CCM.
Masahihisho : Mimi si Mfuasi wa Mbowe , ni mfuasi wa Chadema
 
Back
Top Bottom