Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Mungu hadhiakiwi...! Vyote vilivyomo duniani ni mali yake. Chagua maneno vizuri ya kutumia mahali popote hapa duniani. Una bahati sana umepata furusa ya kukumbushwa hili.
Ungepeleka ujumbe huu kwa watu wasiojulikana
 
Watanzania wanapenda sana udaku( Habari zisizo rasmi)
Habari ya udaku hata iwe na page 100000 Mtanzania lazima aisome na kuimaliza!!!!.....

Watu wachache wameshaona fursa kwenye kasumba hiyo na wanapiga hela kwenye hilo....wakina Shigongo na Shilawadu!!!

Watanzania tuna aleji na taarifa rasmi , tunapenda taarifa z kunong'onezana pembeni.....na ndio zinazoaminika

Tanzania a wonderful country
Tanzanians are wonderful people
 
Issue ni hivi by Sky Eclat's voice: Mtoto raha yake ukojolewe Sky Eclat
 
Nadhani sasa atakua binadamu yale matendo ya kutekana nakutupwa kwenye viroba na watu wasiojulikana yatapungua maana furaha aliyoipata kwa mtoto na uchungu anaopata mwanae akiteseka ndo uchungu wanaopata wazazi wa sàanane,lissu,nk
 
Nadhani sasa atakua binadamu yale matendo ya kutekana nakutupwa kwenye viroba na watu wasiojulikana yatapungua maana furaha aliyoipata kwa mtoto na uchungu anaopata mwanae akiteseka ndo uchungu wanaopata wazazi wa sàanane,lissu,nk
Masikitiko yangu ni ile generation curses kwa huyu mtoto. Wafunge na kuomba sana Mungu aifungue. Baba amejitengenezea maadui wengi sana.
 
Hongera sana mkuu wa mkoa wa Dar kwa Baraka ya mtoto.
 
Laana za shekhe ziko kazini walahi!
Albadini hilo limewakumba walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…