Unataka kuniambia itakuwa zamu yake kutekwa na kukutwa kwenye kiroba Coco Beach?Masikitiko yangu ni ile generation curses kwa huyu mtoto. Wafunge na kuomba sana Mungu aifungue. Baba amejitengenezea maadui wengi sana.
mr misifa ktk ubora wake...ndio maana watu wengi wanakuombea mabaya BADILIKA kijana!
Kwan tutamsikia tena!!? Tokea mumwangushe kweny maandamano yale hana ham na nyie wabongo...Kajinyonge ili usiendelee kumsikia hata kidogo.
Kwahiyo na wewe ulikuwa unamfuatilia?Kwan tutamsikia tena!!? Tokea mumwangushe kweny maandamano yale hana ham na nyie wabongo...
Apana...ila kila post hum ilikuwa inamzumgumzia yey tuKwahiyo na wewe ulikuwa unamfuatilia?
Kapata au kanunua china?Leo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo
Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku
Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba " Raha Kuzaa Bwanaaaaaa"
Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume
Hujajibu swali lakini umelazimishaKwani aliyezaa ni mke wa nan? Kama amezaa mke wa makonda basi mtoto ni wa mume wake (makonda)
Hizo post zilizokuwa zinazomhusu wewe ulizionaje kama sio mfuatiliaji wake?Apana...ila kila post hum ilikuwa inamzumgumzia yey tu
Bila shaka ni wako!mtoto sio wa makonda
Leo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo
Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku
Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba " Raha Kuzaa Bwanaaaaaa"
Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume
mbona kupata mtoto siku hizi ni rahisi tu wengi tu wanalea watoto si wao.. unamlipa msela anakusaidia kupiga mashine ikiwa unajua huwezi pata mtoto.. kama una pesa basi mbegu za kidume mwingine zinapandikizwa kwenye yai la mkeo anazaa vyema kabisaaa
Leo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo
Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku
Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba " Raha Kuzaa Bwanaaaaaa"
Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume
Watu hawawezi kupata shida wao wakijaribu tayari mtu kubeba mimba sasa watapata shida ki vipi wakati wao wana uwezo wa kazalisha hawahitaji kwenda China?kuna watu watapata shida sana na hizi taarifa.