Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Masikitiko yangu ni ile generation curses kwa huyu mtoto. Wafunge na kuomba sana Mungu aifungue. Baba amejitengenezea maadui wengi sana.
Unataka kuniambia itakuwa zamu yake kutekwa na kukutwa kwenye kiroba Coco Beach?
 
Leo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo

Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku

Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba " Raha Kuzaa Bwanaaaaaa"

Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume
Kapata au kanunua china?
 
Mtoto umehakikisha ni wake au na wewe umesikia tu na kuona insta.....
 
LUMUMBA street katika ubora wenu
Buku 7 kwa siku
Hii nayo ajenda katika jiji kwa sasa.
 
Ni wangapi hawana watoto? Jiulize ni kwanini jamii imshupalie yeye na kumuombea mabaya? Nafurahi kwamba atajua uchungu wa mwana na kuhisi kile wazazi wengine wanachokihisi kwa sasa!!! Labda ilikuwa ni kwa vile hakuwa na mtoto!!!
 
Leo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo

Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku

Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba " Raha Kuzaa Bwanaaaaaa"

Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume

Asante maana dakika chache nilikuwa nawaza hivyo.Mambo ya kuzaa au kutozaa ni Mungu ajuaye ni wakati gani akupatie, ona sasa kk wawatu ameata mtoto shame on them.
 
mbona kupata mtoto siku hizi ni rahisi tu wengi tu wanalea watoto si wao.. unamlipa msela anakusaidia kupiga mashine ikiwa unajua huwezi pata mtoto.. kama una pesa basi mbegu za kidume mwingine zinapandikizwa kwenye yai la mkeo anazaa vyema kabisaaa

Hilo si shida SA kuna sperm bank pesa yako tu.ila huyu Mungu alichoka anavyosimagwa akaona awagunge midomo
 
Leo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo

Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku

Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba " Raha Kuzaa Bwanaaaaaa"

Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume

RGforever inabidi ujuwe kitu kimoja kuhusu Mange.....yule dada hajuwi kitu ila anachapisha tu habari anazoletewa na watu ambao wanaweza kuwa wanasiasa, wambea, wanafiki, wachekeshaji tu wa umma, watafuta sifa, ama marafiki wa mtu husika na ndicho kinachomfanya Mange asifike. Si kila habari anayoandika Mange ni ya ukweli, nyingi ni za umbea tu ila yeye kuzaa na baba yake ni ukweli mtupu.
 
Hongera sana mr and mrs P. Makonda..watoto ni furaha maishani.
 
kuna watu watapata shida sana na hizi taarifa.
Watu hawawezi kupata shida wao wakijaribu tayari mtu kubeba mimba sasa watapata shida ki vipi wakati wao wana uwezo wa kazalisha hawahitaji kwenda China?
 
Back
Top Bottom