Leo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo
Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku
Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba " Raha Kuzaa Bwanaaaaaa"
Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume