Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Huyu ndio alisemwa alitumia gharama za serikali kwenda kupandikiza mtoto India
Ndio yeye Mkuu..
India walishindwa, US wakashindwa, France nako walishindwa na Germany napo pia walishindwa..
Ila kama unavyojua hakuna ambacho Mchina hakiwezi..
Kwaiyo mtoto ikiandikwa historia yake neno China haliwezi kukosekana maana ndiko mbegu zilikopandikizwa kaa Ng'ombe.
 
Keagan Bashite ndio jina halisi la mtoto huyu, hata mamajusi wanatambua hilo

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha lakini nasikia hata siyo wake ila watu wamefanya yao
 
Huu ni udhalilishaji si uishie kupongeza tuu ,mungu ambariki mh Makonda na familia yake ,mtoto akakue kwa kima na hekima kama baba yake huku akiziharibu kazi za yule mwovu shetani.

Jamani mambo ya utu tusiweke mambo binafsi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…