Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

Sio kweli,
Mimi hapa nimeshasajili line tatu za mtandao mmoja, na sikuambiwa habari za barua wala kitu chochote japo kila mara nilikuwa nawaambia kuwa tayari nimesajiri line nyingine kwa mtandao husika. Nilipomwuliza mtoa huduma ukomo wa idadi ya line kwa mtandao mmoja alinambia ni tano na akasea ukomo ukifika mtoa huduma atataarifiwa kuwa mteja amefikia ukomo wa kusajili kwa mtandao huo. (Hata hivyo sina uhakika kama kweli ukomo ni hizo line tano kwa mtandao mmoja).
Private investigator, Nachofahamu mtu haruhusiwi kuwa na laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja bila kuwepo kwa maombi maalumu ya barua. Kuomba kumiliki laini 2 au zaidi kutoka mitandao mmoja. Unaruhusiwa kumiliki laini zaidi ya moja kutoka mitandao tofauti tu. Embu kafanye utafiti upya ndio uweke thread.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watu hata hamfikirii.... Kwa hiyo ukirudia kuweka fingerprint kwenye kile kidude unasajili mara ya pili.. ? Inamaanisha laini zinakuwa mbili mamba moja...Na vipi zote zikiwa hewani.... Ww ni Muongo.
We jamaa unakichwa kigumu sana
[/QUOTE]
Mtu mwenyewe mdesi... Unaelewa hata kinachoendelea....?
 
Taifa linaloyapa makampuni binafsi power za kukusanya Fingerprints za watu wake ni taifa lisilojitambua.

Just Imagine Majenerali wa Jeshi, Mabrigadier, Makanali, Macaptain, Makamishna wa polisi, watu wa vitengo vya usalama wa Taifa Fingerprints zao ziwe kwenye database ya kampuni binafsi za simu za Mabeberu. Kuna hatari kubwa zaidi kwa nchi kuliko hii?

Ngoja Intelligence links za nchi hii zianze kuwa busted moja baada ya nyingine huko nje ya nchi kwa sababu ya zoezi lisilo na kichwa wala miguu kama hili.

Kwa watu wa usalama na wakuu wa majeshi unaweza kufake passport zao wakaenda huko nje wakafanya tukio wakarudi, lakini sasa kama fingerprints zao zikiwa ndani ya mifumo ya watu binafsi, Data mining operations zinaweza kufanyika kirahisi na kugundua chain nzima ya wenzao na hivyo kuwezesha Intelligence rings kuwa busted na hivyo kuhatarisha maisha ya hawa watu.
Mtasababisha majasusi wetu hawa waanze kupigwa vyuma mmoja baada ya mwingine huko Kigali, Kampala, Lilongwe, Nairobi n. k mmoja baada ya mwingine kwa sababu kwa hizi data ni rahisi sana kutumika kuidentify watu na kisha kuanza kutambua ring zao!

Nashauri hili Zoezi lisitishwe au Liandaliwe upya ambapo mamlaka ya serikali peke yake kama nida ndo wawe na power za kuchukua na kutunza Fingerprints na siyo kampuni binsfsi
Mkuu una Hoja sana Kwa kuwajuza tu ni kuwa biometric ndo highest security identification hio Uhakika ni 98% ivo kuwa na uhakika huyu ni huyu ni through biometric kama fingerprints na Mboni ya jicho au facial pia Hivo collection yake kiholela ni threat kwa kweli nasijui tu wanasheria wetu wana kazi gani wamelala , Lakini sambamba na ilo pia ila tu Nahisi kwa hawa watu wa High profiles kama Military Leaders na watu wa kitengo nahisi wana kautaratibu kao nje ya kukusanya fingerprints kama njugu
 
Yeye Rais mwenyewe finger print zake voda wamezichukua kiulaini. Ningekuwa IT wa voda nauza database yote kwa CIA. Maana tumewarahisishia kazi sisi wenyewe kwa ujinga wetu
Mkuu ile ilikuwa ni jaribio tu hakuna Fingerprints zilikokuwa collected pale
 
Watu wanaandika tu bila kufanya research... Fanyeni research kwanza... Hayo mnayoyawaza sasa yalishafikiriwa hata kabla huu mfumo haujaanza kufanya kazi... Kuna taratibu za kufuata ili upate laini ya pili within the same network.
Hakuna utaratibu mimi nime verify line zangu mbili za Voda kwa same ID
 
Missile of the Nation,
kila mtanzania ni mtaalamu wa vitu vyote unajua wanatumia teknolojia gani ku encrypt finger print au unazani inatumwa image kama ile unayoiona kwenye matangazo?
 
Hapana ni namba tofauti lakini lazima ziwe ni kwenye kampuni moja, wanachokifanya pindi ukiweka vidole kwa mara ya pili ndipo huingiza ile namba ya mtu mwingine na yule mtu akipokea code Number humtumia msajili kwanjia ya msg na huyo Msajili humsajilia kijanja bila wewe kujua, hakuna kinachoshindikana Bongo, wabongo wanatosha
Kama unakili namba moja haiwezi kumilikiwa na mtu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja kwanini ulinikosoa niliposema sera ya mtu mmoja line moja inaweza kuzuia tatizo la mtu kutumia taarifa za mwingine kujipatia line?
Ni hivi ndugu, sera hii ikitumika maana yake mtu atakapojaribu kusajili namba mpya kwa kutumia taarifa ya mtu mwingine system itakataa na itaonesha kuwa kitambulisho husika kilishatumika kusajili line bila kujali ni mtandao huo huo au tofauti.
 
ile ile line moja uliyosajili anasajiliwa mtu mwingine pasipo wewe kujua na Mbinu inayotumika huwa ni kusingizia hakuna network ili wapate kisingizio cha kumwambia mtu arudie kuweka Alama ya vidole kwa mara ya pili, pia Tambua kuwa siyo kila kampuni ya Simu imesambaa Nchini kote, ndiyo maana huhijika line za kampuni zingine ili pindi ukisafiri uwe hewani popote unapokuwa Nchini, line moja ukienda kijijini kusiko na Network ya hiyo Line yako moja utafanyeje?

Bro nina ufahamu fulani wa programming na dbms. Kilichopo ni kuwa network operator anafanya usajili kwa 1 to 1, and not 1 to many. Katika maana ya kuwa, utaweza kusajiri line moja kwa taarifa ya mtu mmoja. Na primary key ni alama za vidole. Huwezi kufanya otherwise.

Kuhusu kubaki na taarifa kwa hawa operators hilo ni changamoto. Hasa kwenye suala la integrity.

Ila pia kuna baadhi ya bank wanatumia finger print za wateja kufungua ACCOUNT zao. Hamna anayejua hizo alama ziko salama kiasi gani.
 
Kwa maana hiyo unataka kunambia TCRA Mfumo wao ni mbovu hadi unapokea taarifa za lain zaidi ya moja na zote za mtandao mmoja bila shida

kwa vile mtu 1 hana idadi maalum ya kusajili line ndio tatizo linaanzia hapo sasa unaweza tumia kitambulisho cha mtu ata fingerprint ikiwa ya kwako tayari mashaka yatakuwa yameanza hapo na ndio matupu huko mitaani.

Tanzania nchi ya fingerprint bado sana kwa hizi taaluma mupo mupo tu
 
Sio kweli mkuu, wengi wakipoteza line hawaendi kurenew wanaona shida kwenda polisi, wanachofanya ni kusajili line mpya kwa id ile ile na wapo hewani kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo kweli kaka. Ukiingiza taarifa zako system inatambua kuwa una exist. Hivyo utaulizwa tu nr yako ya awali iko wapi?
 
Vipi kuhusu sisi raia wengine?
Usalama wetu uko wapi?
Umeshindwa kujiwazia wewe?
Kuna jambazi liko Tanga linatumia line ya jina lako. Fungua akili yako ndugu.
Hio ishu ya vidole haina usalama wowote kumbuka wanaosimamia zoezi hilo ni watu wenye njaa.Na mtu mwenye njaa yuko radhi kwa lolote ili ashibe.Technology haijawahi shindana na mwanadamu.
Lengo la fingerprint ili kuwanasa wakosoaji kama walitegemea kwa njia hio bado haitofanikiwa,mwanadamu ni sawa na panya na tundu lililozibwa kwa mkate
 
Missile of the Nation,
kila mtanzania ni mtaalamu wa vitu vyote unajua wanatumia teknolojia gani ku encrypt finger print au unazani inatumwa image kama ile unayoiona kwenye matangazo?

Je nchi inamuachia Voda na Tigo aencrypt hizo info kwa niaba yake?.
Hao voda na tigo wanatupendea nini sisi au tumewalipa sh ngapi hadi watuwekee high level security ya data za Fingerprints zetu?
 
Unajua kuwa wajua kumbe hujui.
Bro nina ufahamu fulani wa programming na dbms. Kilichopo ni kuwa network operator anafanya usajili kwa 1 to 1, and not 1 to many. Katika maana ya kuwa, utaweza kusajiri line moja kwa taarifa ya mtu mmoja. Na primary key ni alama za vidole. Huwezi kufanya otherwise.

Kuhusu kubaki na taarifa kwa hawa operators hilo ni changamoto. Hasa kwenye suala la integrity.

Ila pia kuna baadhi ya bank wanatumia finger print za wateja kufungua ACCOUNT zao. Hamna anayejua hizo alama ziko salama kiasi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa linaloyapa makampuni binafsi power za kukusanya Fingerprints za watu wake ni taifa lisilojitambua.

Just Imagine Majenerali wa Jeshi, Mabrigadier, Makanali, Macaptain, Makamishna wa polisi, watu wa vitengo vya usalama wa Taifa Fingerprints zao ziwe kwenye database ya kampuni binafsi za simu za Mabeberu. Kuna hatari kubwa zaidi kwa nchi kuliko hii?

Ngoja Intelligence links za nchi hii zianze kuwa busted moja baada ya nyingine huko nje ya nchi kwa sababu ya zoezi lisilo na kichwa wala miguu kama hili.

Kwa watu wa usalama na wakuu wa majeshi unaweza kufake passport zao wakaenda huko nje wakafanya tukio wakarudi, lakini sasa kama fingerprints zao zikiwa ndani ya mifumo ya watu binafsi, Data mining operations zinaweza kufanyika kirahisi na kugundua chain nzima ya wenzao na hivyo kuwezesha Intelligence rings kuwa busted na hivyo kuhatarisha maisha ya hawa watu.
Mtasababisha majasusi wetu hawa waanze kupigwa vyuma mmoja baada ya mwingine huko Kigali, Kampala, Lilongwe, Nairobi n. k mmoja baada ya mwingine kwa sababu kwa hizi data ni rahisi sana kutumika kuidentify watu na kisha kuanza kutambua ring zao!

Nashauri hili Zoezi lisitishwe au Liandaliwe upya ambapo mamlaka ya serikali peke yake kama nida ndo wawe na power za kuchukua na kutunza Fingerprints na siyo kampuni binsfsi
Awakufikiria hilo walichofikiria ni jinsi gani kuwabana wakosoaji wakashindwa elewa kwa ni risk taarifa za security officers au family member zao kuwa in private company ni risk kwao pia maana ni rahisi kuhackiwa na majasusi wakazidaka taarifa muhimu.Waangalie jinsi ya kudili na wakosoaji maana hakuna muhalifu yeyeto smart atakaekubali kujisajili hali room na upenyo wa kupata mawasiliano bado ni Mkubwa.
Technology tunaipenda lkn si salama kabisa hasa utunzaji wa siri.
Angalizo hizi smart phone za touch ukiichoka ni heri uidestroy usimpe mtu au kumuuzia mtu maana kupitia screentouch hackers wanaouwezo wa kuzitambua namba zako za siri na wakaiba taarifa zako,wana mbinu za kugundua ni namba zipi au herufi zipi huwa unazitumia mara kwa mara
 
Back
Top Bottom