Wao ndio wamiliki Wa lineJe nchi inamuachia Voda na Tigo aencrypt hizo info kwa niaba yake?.
Hao voda na tigo wanatupendea nini sisi au tumewalipa sh ngapi hadi watuwekee high level security ya data za Fingerprints zetu?

Aisee hadi nimeogopaHaupo salama kwasababu umesajili line kwa alama za vidole.
Huku mtaani wale vendors wanaosajili wanatumia data za watu waliojisajili kwa ku-backup kisha wanasajili line nyingine yenye jina la mtu aliyekwisha kamilisha usajili.
Baada ya hapo wanasajili line nyingine kwa data za mtu kisha inauzwa kwa tsh 3000 kwa mtu asiye na kitambulisho.
Hatari iliyopo kutakuwa na mtu mwingine huko Mbinga anatumia line ya jina lako.
Kwa kifupi tu ni kuwa zoezi la usajili limeshakosa usalama. Sio salama tena. Line zinauzwa zilizosajiliwa kwa majina mengine ya watu. Kesho watakamatwa watu kwa makosa ya mtandao bila hatia.
FINGERPRINT NOT SAFE ANY MORE!
======
Maoni ya wadau
Watakosa mapatoKama ndo hivyo, TCRA watakomaa na sera ya mtu moja line moja.
Huo ni uongo Mkubwa taharifa zote za usajili huwa zina tumwa online moja kwa moja kwenda TCRA hasa hiyo backup inafnyika je?
Haupo salama kwasababu umesajili line kwa alama za vidole.
Huku mtaani wale vendors wanaosajili wanatumia data za watu waliojisajili kwa ku-backup kisha wanasajili line nyingine yenye jina la mtu aliyekwisha kamilisha usajili.
Baada ya hapo wanasajili line nyingine kwa data za mtu kisha inauzwa kwa tsh 3000 kwa mtu asiye na kitambulisho.
Hatari iliyopo kutakuwa na mtu mwingine huko Mbinga anatumia line ya jina lako.
Kwa kifupi tu ni kuwa zoezi la usajili limeshakosa usalama. Sio salama tena. Line zinauzwa zilizosajiliwa kwa majina mengine ya watu. Kesho watakamatwa watu kwa makosa ya mtandao bila hatia.
FINGERPRINT NOT SAFE ANY MORE!
======
Maoni ya wadau
Yah n kweli, ila watu tunaliona hili la mitandao ya simu tanzania kuwa na data za watu wa vitengo nyeti serikalini lakini kampuni nyingine kama google au microsoft nazo tunazisahau japo kuwa ni kampuni binafsi halafu sio za kitanzania kitu ambacho ni hatari zaidi kwa usalam wetuNa sababu kuu serikali kuomba mtu awe na laini moja kutoka mtandao mmoja ni kwamba kila number ya simu na fingerprint zake zinahifadhiwa kwenye database ya mtandao husika na TCRA. Kwa kuwa fingerprint huwa hazifanani kama unasajili line ya pili kwa fingerprint zile zile kwa mtandao huo huo line ya pili itagoma kukubali usajili kwa kua fingerprint unazotumia kusajili line 2 zinakuwa zimeishasajiliwa kwenye database mpaka line 1 na taarifa zake walinganishe na kitambulisho chako unachotaka kusajilia line 2 hivyo watajua mmiliki halali wa line 1 ni nani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona uhamiaji wameanzisha uzi kwa ajili ya maoni, maswali na taarifa nadhani hata Nida nao inabidi wasogee hukuNafikiri taarifa hizi zinafikirisha kweli ingawa mimi siamini kuwa TCRA wameiacha system porous kiasi cha kufanyiwa ujanja na wanaosajili hizi laini. Ukweli ni kwamba hii haraka ya kuwatambua raia na kuwapa namba naitilia shaka kiasi kwamba ni rahisi kuwapa uraia watu wasiostahili. Pale mwanzo kulikuwa na mchakato bora sana wa kumfanyia vetting mlengwa uliohusisha watu wa uhamiaji, lakini kinachoendelea sasa huku mitaani yaelekea ni kwa ajili ya kusajili laini za simu tu na si kutambua yupi ni raia anayestahili ID na yupi sio.
Hata hivyo ni wajibu wa NIDA kuutolea maelezo kitaalamu kila wasi wasi wa wadau juu ya uwezekano wa mfumo kuingiliwa na kusajili line nyingi kwa taarifa za mtu mmoja, kwani kama hii inaweza kutokea basi itakuwa hatari sana na zoezi zima likawa halina maana. Yawezekana ni wasi wasi tu wa wadau lakini ni vizuri TCRA na NIDA wakatuhakikishia raia sisi mambumbu wa taaluma ya Tehama usalama wa mfumo wetu. Huku mitaani ni vululu vululu kwani kuna maeneo watu wanalipisha kusajili line kama mdau alivyodai line iliyosajiliwa inauzwa elfu tatu.
Kama ndo hivyo, TCRA watakomaa na sera ya mtu moja line moja.
Private investigator, Nachofahamu mtu haruhusiwi kuwa na laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja bila kuwepo kwa maombi maalumu ya barua. Kuomba kumiliki laini 2 au zaidi kutoka mitandao mmoja. Unaruhusiwa kumiliki laini zaidi ya moja kutoka mitandao tofauti tu. Embu kafanye utafiti upya ndio uweke thread.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa linaloyapa makampuni binafsi power za kukusanya Fingerprints za watu wake ni taifa lisilojitambua.
Just Imagine Majenerali wa Jeshi, Mabrigadier, Makanali, Macaptain, Makamishna wa polisi, watu wa vitengo vya usalama wa Taifa Fingerprints zao ziwe kwenye database ya kampuni binafsi za simu za Mabeberu. Kuna hatari kubwa zaidi kwa nchi kuliko hii?
Ngoja Intelligence links za nchi hii zianze kuwa busted moja baada ya nyingine huko nje ya nchi kwa sababu ya zoezi lisilo na kichwa wala miguu kama hili.
Kwa watu wa usalama na wakuu wa majeshi unaweza kufake passport zao wakaenda huko nje wakafanya tukio wakarudi, lakini sasa kama fingerprints zao zikiwa ndani ya mifumo ya watu binafsi, Data mining operations zinaweza kufanyika kirahisi na kugundua chain nzima ya wenzao na hivyo kuwezesha Intelligence rings kuwa busted na hivyo kuhatarisha maisha ya hawa watu.
Mtasababisha majasusi wetu hawa waanze kupigwa vyuma mmoja baada ya mwingine huko Kigali, Kampala, Lilongwe, Nairobi n. k mmoja baada ya mwingine kwa sababu kwa hizi data ni rahisi sana kutumika kuidentify watu na kisha kuanza kutambua ring zao!
Nashauri hili Zoezi lisitishwe au Liandaliwe upya ambapo mamlaka ya serikali peke yake kama nida ndo wawe na power za kuchukua na kutunza Fingerprints na siyo kampuni binsfsi
NIDA si nao pia wanazo finger prints za wanaohitajika kusajiliwa kwenye mfumo wa biometric ?? Hata wakiwa wao pekee ndiyo provider wakuu bado wajanja kupitia kampuni za simu wanaweza kufikia DATA BASE ya NIDA na kukamilisha uhalifu wao.Taifa linaloyapa makampuni binafsi power za kukusanya Fingerprints za watu wake ni taifa lisilojitambua.
Just Imagine Majenerali wa Jeshi, Mabrigadier, Makanali, Macaptain, Makamishna wa polisi, watu wa vitengo vya usalama wa Taifa Fingerprints zao ziwe kwenye database ya kampuni binafsi za simu za Mabeberu. Kuna hatari kubwa zaidi kwa nchi kuliko hii?
Ngoja Intelligence links za nchi hii zianze kuwa busted moja baada ya nyingine huko nje ya nchi kwa sababu ya zoezi lisilo na kichwa wala miguu kama hili.
Kwa watu wa usalama na wakuu wa majeshi unaweza kufake passport zao wakaenda huko nje wakafanya tukio wakarudi, lakini sasa kama fingerprints zao zikiwa ndani ya mifumo ya watu binafsi, Data mining operations zinaweza kufanyika kirahisi na kugundua chain nzima ya wenzao na hivyo kuwezesha Intelligence rings kuwa busted na hivyo kuhatarisha maisha ya hawa watu.
Mtasababisha majasusi wetu hawa waanze kupigwa vyuma mmoja baada ya mwingine huko Kigali, Kampala, Lilongwe, Nairobi n. k mmoja baada ya mwingine kwa sababu kwa hizi data ni rahisi sana kutumika kuidentify watu na kisha kuanza kutambua ring zao!
Nashauri hili Zoezi lisitishwe au Liandaliwe upya ambapo mamlaka ya serikali peke yake kama nida ndo wawe na power za kuchukua na kutunza Fingerprints na siyo kampuni binsfsi
Jua kwamba kuna vijana chini ya miaka 20 wengi tu ambao tayari wameshajisajili, na hawa ndio watu wa usalama wa badae tena wengine huja kuwa viongozi wa kubwaMkuu una Hoja sana Kwa kuwajuza tu ni kuwa biometric ndo highest security identification hio Uhakika ni 98% ivo kuwa na uhakika huyu ni huyu ni through biometric kama fingerprints na Mboni ya jicho au facial pia Hivo collection yake kiholela ni threat kwa kweli nasijui tu wanasheria wetu wana kazi gani wamelala , Lakini sambamba na ilo pia ila tu Nahisi kwa hawa watu wa High profiles kama Military Leaders na watu wa kitengo nahisi wana kautaratibu kao nje ya kukusanya fingerprints kama njugu
Bofya link kusoma maelezo Serikali yatoa neno kila mtu laini moja ya simuMm mbona nimesajili line mbili za airtel mpaka sasa na sijaandika barua za maombi wala nn na wameniambia naweza kusajili ata line 5 za mtandao mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo unataka kunambia TCRA Mfumo wao ni mbovu hadi unapokea taarifa za lain zaidi ya moja na zote za mtandao mmoja bila shida
Private investigator, Nachofahamu mtu haruhusiwi kuwa na laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja bila kuwepo kwa maombi maalumu ya barua. Kuomba kumiliki laini 2 au zaidi kutoka mitandao mmoja. Unaruhusiwa kumiliki laini zaidi ya moja kutoka mitandao tofauti tu. Embu kafanye utafiti upya ndio uweke thread.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo basi TCRA ni jipuMiji Nina line 3 za mtandao mmoja. Binti yangu hana vitamulisho na nyingine ya home. Haina shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna ukomo wa laini za mtandao mmoja kusajiliwa na MTU mmoja?Kwa maana hiyo unataka kunambia TCRA Mfumo wao ni mbovu hadi unapokea taarifa za lain zaidi ya moja na zote za mtandao mmoja bila shida