Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #101
Maswali ya kipumbavu nenda kamuulize basha wako.We cho'oko usidhani matusi yanuzwa kima wewe!! Badala ya kujibu hoja, umebaki kumwaga matusi! Halafu mbona unaumia sana Jiwe akisemwa?! Au ni mke mwenza wa Mrs Jiwe wewe?! Btw, kama unaona mbona umeshindwa kujibu maswali niliyokuuliza? Pumbavu sana shenzi wahed wewe!
Baada ya kuwazulumu korosho wamakonde sasa mambo yamehamia kwenye sukariSukari ipo bandarini anataka kulazimisha iwahi. Huyu nae ana matatizo si watumie iliyopo? Hawa ndio wanaomharibia kazi JPM
Kwa bahati mbaya hakuna hata mmoja miongoni mwenu mwenye uwezo wa kujenga na kutetea hoja! Kama kapunguza makali ya umeme, jibu maswali ambayo mwenzako ameshindwa kujibu: Je, tangu ameingia amejenga power plants ngapi, zipo wapi na zinazalisha MW ngapi!achana na Chige akili yake ni ya wale wanaopinga kila kitu akishirikiana na mamluki wa Ubelgiji
Honera kwa Magufuli kutupunguzia makali ya umeme sijui leo tungekuwa wapi
sasa CORONA inawapelekesha wengi lkn ulitabiri Mataifa na Mabenki yasamehe madeni na Corona inawezekana tukaishi navyo
Mliacha kumfuatilia Herbindder Sigh na yule Mhaya jirani yake JPM mkashangiliaMie situmii umeme wa bure, sijui mwenzangu unapata wapi umeme wa free, itabidi Tanesco wakufuatilie, nyie ndio wezi wa umeme mnaolitia hasara shirika letu.
Sukari hamna tatizo. Imeshaingia ya kutosha. Watu wamepanic tu. Kwani kwenye korosho alidhurumu?Baada ya kuwazulumu korosho wamakonde sasa mambo yamehamia kwenye sukari
Huwa anapenda kutengeneza tatizo halafu anakuja kulitatua ili asifiwe
Jibu swali kima wewe... unakazwa na Jiwe na ndio maana unafikia kutukana watu ukiona anapigwa vitofa?
Mkuu hasira za nini na matusiKwa bahati mbaya hakuna hata mmoja miongoni mwenu mwenye uwezo wa kujenga na kutetea hoja! Kama kapunguza makali ya umeme, jibu maswali ambayo mwenzako ameshindwa kujibu: Je, tangu ameingia amejenga power plants ngapi, zipo wapi na zinazalisha MW ngapi!
Hali ni mbaya sana hapa mwakitolio chai imepanda beiSukari hamna tatizo. Imeshaingia ya kutosha. Watu wamepanic tu. Kwani kwenye korosho alidhurumu?
Watu wanachimba tu na kuhila?Hali ni mbaya sana hapa mwakitolio chai imepanda bei
Watu wamepiga hela kwenye marudioWatu wanachimba tu na kuhila?
Sana. Watu wametajirika sana.Watu wamepiga hela kwenye marudio
Jumanne Kishimba alikuja na huo mpango nasikia aliutoa ZimbabweSana. Watu wametajirika sana.
Kwanini usimuulize mwenzako ambae baada ya kushindwa kujibu maswali niliyomuuliza, akaanza matusi!!Mkuu hasira za nini na matusi
Silipii... sasa cha ajabu hapo ni kipi? Tatizo lenu huwa hamfuatilii mambo vinginevyo mngejua gharama kadhaa zilianza kuondolewa na Muhongo Awamu ya IV. Kwanza walishusha bei za kuunganisha umeme, pia wakaja kushusha hadi Sh.27,000 kwa watu wa vijijini!wewe lile Tozo la kila mwezi unalipia bado
Kwani hayo makampuni tumeacha kutumia umeme wake?! Au unazungungumzia IPTL ambayo imepelekea serikali kutakiwa kuilipa Standard Chartered USD 185 Million? ingawaje hata hivyo mkataba wake ulishaisha?hayo Makampuni ya Wizi waliokuwa wanatuchuna na kila siku bei kupanda ungeyadhibiti na kuyatumbua
Danganyaneni wenyewe kwa sababu anayefuatilia anajua bado mambo ya hovyo hovyo yapo pale pale!Nchi ilishapotea kaa mkubali, Magufuli hajaongeza lolote ila kudhibiti kidogo kilichopa wanyonge km wewe utumie mtandao wa JF kutukana 24/7
Tatizo hawana zile carpet za kuweka kwenye mabwawa. We busindi na Bugarama plant kibao unategemea nini?Jumanne Kishimba alikuja na huo mpango nasikia aliutoa Zimbabwe
Ila mazingira ndio yanakoma majaruba yote yamejaa Cyanide
Sisi makapuku ndio afya zetu zimeathiriwa sana na pollutionTatizo hawana zile carpet za kuweka kwenye mabwaw. We busindi na Bugarama plant kibao unategemea nini?
Maige hata hajali kitu anakula bata tu.Sisi makapuku ndio afya zetu zimeathiriwa sana na pollution
Fuala yule tunapiga chiniMaige hata hajali kitu anakula bata tu.
Kwani hoja ya msingi ni kujenga Power plants? Au hoja ni kudhibiti hujuma ambazo zilisababisha mafisadi wanufaike na mgao wa umeme? Au unauliza kama punguani anae tafuta kick.Kwanini usimuulize mwenzako ambae baada ya kushindwa kujibu maswali niliyomuuliza, akaanza matusi!!
Silipii... sasa cha ajabu hapo ni kipi? Tatizo lenu huwa hamfuatilii mambo vinginevyo mngejua gharama kadhaa zilianza kuondolewa na Muhongo Awamu ya IV. Kwanza walishusha bei za kuunganisha umeme, pia wakaja kushusha hadi Sh.27,000 kwa watu wa vijijini!
Kwani hayo makampuni tumeacha kutumia umeme wake?! Au unazungungumzia IPTL ambayo imepelekea serikali kutakiwa kuilipa Standard Chartered USD 185 Million? ingawaje hata hivyo mkataba wake ulishaisha?
huyo Ruge na Sigh ungewaweza
Danganyaneni wenyewe kwa sababu anayefuatilia anajua bado mambo ya hovyo hovyo yapo pale pale!
NI Magufuli huyo huyo ndie alinunua kivuko kibovu.... hayo tuyaache!
Alipoingia tu madarakani likaibuka sakata la LUGUMI.... taja hapa serikali ya Magufuli imefanya nini?
Kila siku Magufuli wamebaki kupiga kelele kwamba nchi iliharibika! Kila mmoja anafahamu wezi wakubwa nchi hii ni Top Government Officials and High Profile Politicians.... nitajie Mwanasiasa mmoja TU na top government officials mmoja TU ambao wamefikishwa mahakamani kutokana na tuhuma za ufisadi!!
Kila mmoja anajua Ruge na Singh wapo mahabusu almost 3 to 4 years now! Na kila mmoja anajua hawa jamaa hawakwenda pale BoT na vifaru bali walishirikiana na wale wale niliowataja: Top Government Officials and High Profile Politicians.
Again, nitajie Top Government Officials mmoja TU and High Profile Politician mmoja TU waliounganishwa na ile kesi!!
Juzi tu hapa tukasikia sakata la Lugola... sie wengine siku ile ile tukasema wazi kwamba kelele za Magufuli kuhusu ufisadi, target yake ni wafanyabiashara ili baadae wawachomoe pesa, na Watendaji wa serikali wa ngazi ya kati kuja chini!
Again, tuambie sakata la Lugola limeishia wapi?!
Pamoja na hayo, jibu swali langu la msingi: Tangia Magu aingie madarakani, amejenga plants zipi na zinazozalisha MW ngapi!
Jibu kwanza hayo maswali, vinginevyo case closed manake sioni sababu ya ku-argue na watu wasiojibu wasichoulizwa! Sana sana nikikubanisha sana na kushindwa kujibu, huenda ukafanya kama mwenzako... kukimbilia matusi badala ya kujibu hoja!
Huko ni kupinga kila jambo. Sio siasa za kileo.
Hutaki JPM apewe pongezi. Wakati ni usimamizi wake na uchapakazi ndio umefanikisha haya.Unajua maana ya kupinga kila kitu? Au umesikia hilo neno na ww umelibeba kichwa kichwa kama zuzu? Hapo nimepinga nini?