Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

Kwa kweli kwenye Umeme mheshimiwa kajitahidi, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Unapoulizwa jibu si kila kitu mnaweka hayo mavyama yenu. Mkoa nilioko bado umeme ni tatizo, ni kama vile mgao upo ila taarifa hazitolewi tu mkuu. Najua unafanya kazi yako.
Kuna watu wasenge sana.
Yaani kila jambo wanalihusisha na chama. Ni mambo ya kipumbavu kabisa.
 
Kuna watu wasenge sana.
Yaani kila jambo wanalihusisha na chama. Ni mambo ya kipumbavu kabisa.
Mkuu hawa wana kazi maalumu na wameamua kujitoa ufahamu kwa wakati huu, wanafanya makusudi mmoja ninamfahamu na ni kijana smart tu. Ila ni kiashiria kibaya kwa mustakabali wa nchi yetu
 
Mkuu hawa wana kazi maalumu na wameamua kujitoa ufahamu kwa wakati huu, wanafanya makusudi mmoja ninamfahamu na ni kijana smart tu. Ila ni kiashiria kibaya kwa mustakabali wa nchi yetu
Yaani wananikera hawa viumbe.
 
Yaani wananikera hawa viumbe.
Hao inakupasa uwachukulie hivyo hivyo, wanafanya kazi maalumu ya kupooza upepo ingawa wanaifanya kitoto na kweli wanakera. Wanakuwa kama maroboti ukiliprogramu kufanya kazi fulani litafanya hivyo hivyo, halihitaji kufikiri.
 
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza.

Ulipoingia madarakani ulisema hili tatizo litakuwa kweli mwisho. Na kwa hakika sasa tumesahau. Maana kama umeme ukikatika ujue kuna hitilafu na matengenezo. Lakini sio mgao wa umeme eti kwa sababu umeme hautoshelezi.

Swali ambalo mimi nimejiuliza kichwani kwangu je kwa nini kipindi hicho kulikuwa na mgao wa umeme wa karibu siku tatu au wiki kwa baadhi ya mikoa ? Je ilikuwa ni dili za wauza jenereta? Na wewe ulipoingia ukazibana na sasa umeme unapatikana masaa 24!

Je zilikuwa deal za wajanja wachache kama akina Harbinder Seth na wenzake ili waweze kupata tenda za kuizuia umeme Tanesco na kisha kulipwa malipo ya capacity charges yanayoiumiza Tanesco. Ila wewe ulipoingia ukavunja na mkataba wa Tegeta Escrow.

Au ndio zilikuwa hujuma za watumishi wa Tanesco kwenye hydropower stations ambao walishirikiana na mafisadi ili kufungulia maji yapungue kwenye mabwawa ili umeme usizalishwe kama inavyohitajika. Ila wewe ulilishutukia hili na kuwatimua. Sasa mgao wa umeme sio hadithi tena.

Je, kama hali iko hivi Je JNHPP ikikamilika mambo yatakuwaje?

Jambo linalosikitisha pamoja na mambo mazuri unayoyafanya wafuasi wa Chadema na wanachama wao hawana uzalendo na kukushukuru kwa namna ulivyojitoa ili Tanzania iliyokuwa imepinda inyooke.

Ila nakupa pongezi kwa hili na kwa mantiki hii kura za urais Mungu akipenda utapata 99.5%.
As we speak nipo gizani, kila siku lazima umeme ukatike hapa kwetu Buswelu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMEME HAUKATIKI KABISA

Kwani wewe upo Nchi gani, ulishawahi kuona magenerator yakinguruma Maduka yote mwezi mzima na Kidatu, mtera maji yamejaa? Ungeweza kushinda JF km leo simu full charge na computer hazizimwi tunashusha mavitu usiku kucha?
Hapo huna Shukrani kabisa kwa Magufuli, ulizia Nchi jirani zinavyolia na mgawo
Mm sitamsahau huyu jamaa nalipia kwa mwezi sh 9,500. @ mwezi na ninawasha kila kitu 24hr/7/30/mwaka nipo mwaka wa 4 sijazima
Kwani kabla ya hapo nchi ilikuwa inaongozwa na CHADEMA au TLP?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri unajibu kitu bila kujua hoja ni nini? Nimekuambia awali Tanesco walikuwa wanauwezo kuzalisha Megawatts tena sio mia nane ni zaidi ya mia nane. Ikafanyika hujuma zikawa zinapatikana kama 650 megawatts.
Hoja yako kubwa, inayoweza ku-support madai yako kwamba JPM ndie kamaliza tatizo la umeme ni hii hapa chini, usijifanye kuisahau:-
Hata kabla ya mtambo wa gas pale ubungo na na mtambo wa kinyerezi .Hydropower stations zote zilikuwa na uwezo wa kuzalisha Megawatts zaidi ya 800, lakini zilipatikana kama megawatt 650
Umedai at full capacity, TANESCO walikuwa na uwezo wa kuzalisha 800MW kwa kutumia maji, nami nimekupa data kutoka TANESCO kwamba capacity yao kwa hydropower ni 561MW.

Ndipo nimekuuliza, hizo habari za 800MW umezitoa wapi wakati wenyewe wanasema 561MW? Unaweza kutoa reference link kama nilivyofanya mimi?
Hapa ndio ikawa chanzo cha mgao na ufisadi mwongi. Hoja sio kujenga plant au kuanzisha. Hoja ni kudeal na hujuma mpaka akahahakikisha mgao unapotea.
Na ndio maana nimekupa data kwamba, umeme wa maji is just 41.5%. JPM hajafanya chochote kwenye huo uwekezaji zaidi madai yake kwamba watu walikuwa wanafunga mabwawa ya maji ili kutengeneza mgao!

Fine, tuseme madai yake ni sahihi sawa na madai yake mengine meeeeeengi kama vile barakoa kuwa na corona, testing kits kuwa mbovu, kwamba makinikia unaweza kuchenjua hapa hapa TZ bila kwenda Japan ingawaje na mwenyewe unaenda mwaka wa tano sasa hajaweza kujenga hiyo plant ya kuchenjua ambayo alidai ni rahisi kweli kweli.... FINE! Tuseme madai yake ya watu kufunga maji ni sahihi kwa 100%!

Lakini kwavile Magu kayakuta tu hayo mabwawa, ina maana contribution yake ni ile ya kudhibiti wafunga maji... yaani ka-contribute only small portion kwenye 41.5%! Sasa how come useme ndie kamaliza mgao wakati huo udhibiti wake ume-contribue only small portion ya umeme wa maji?!

Nakuuliza hivyo kwa sababu kila anayetaka kujua anajua kwamba tatizo letu kubwa lilikuwa kutegemea umeme wa maji na mafuta! Kwa upande wa mafuta, tatizo likamalizwa baada ya kuletwa gas Dar kutoka Mtwara; na aliyefanya hiyo kazi sio Magu!!

Again, how come asifiwe Magu?
Kuhusu nani alianzisha wala halina tabu hii ni serikali ya Ccm na wanapokezana vijiti. Mimi hoja yangu sio nani alijenga plant. Hoja ni kudhibiti hujuma zilizosababisha kuwepo mgao wa umeme naomba uelewe.
Ulichotaja alichofanya JPM ni kudhibiti maji kwa sababu kama issue ni mitambo ya kifisadi, hadi kesho inatumika!

So, swali linabaki pale pale... huo udhibiti wake umeokoa MW ngapi za umeme hadi uone ndie anastahili sifa tofauti na wale ambao waliwekeza kuvuta gas kutoka Lindi na Mtwara hadi Dar es salaam; gas ambayo ndiyo kwa sasa ndio chanzo za MW nyingi zaidi za umeme, let alone waliowekeza kwenye umeme wa maji!
Hata JNHPP ilibuniwa wakati wa Mwl Nyerere lakini amekuja kujenga JPM.
Hoja ni kuwekeza na sio kubuni! Ni kutokana na hilo, ndio maana hata nilipotoa mfano wa flyover, sikutaka kuitaja SGR badala yake ingawaje nafahamu JPM kaingia madarakani wakati mpango wa SGR wote umekamilika, hadi funding!

Lakini kwa kuwa yeye akaja na financing plan nyingine, basi sitakuwa na budi pale inapohitaji Credit, JPM ndie atastahili ingawaje approach mzima ya SGR ni ya hovyo compared na vile alivyokuwa amekusudia mtangulizi wake! !
Labda unajibu hoja kwa kuangalia heading tu.
Nimehoji suala la umeme unaozalishwa with reference na madai yako ya 800MW vs 650MW! Unaweza kuniambia suala la 800MW lipo sehemu ipi ya heading yako?!
Na anae kufundisha kuandika anakudanganya. Mikoa ambayo haikuwa kwenye grid ya taifa ni michache sana ambayo ilikuwa inatumia jenereta. Haiwezi kufikisha megawati 796+.
Look at you!! Nimekuwekea link za TANESCO kama reference halafu unasema aliyenifundisha kuandika kanidanganya?! Hivi ulifungua hizo link ukajiongezea ufahamu?!

And to be honest, nilikuwa siifahamu Nyakato Power Plant ambayo inazalisha 63MW, na hili kumtendea haki JPM, nikahisi Nyakato Power Plant ni kazi ya JPM lakini kuja kufuatilia, nakutana na hii habari ya The Daily News:
According to TANESCO, the Sh 129 billion, 60MW generators, were commissioned and started generating electricity in 2013 to offset shortages....
kumbe, na wenyewe kaukuta!!
Mimi nilikuwa nazungumzia uzalishaji wa umeme kabla ya Songas na Kinyerezi projects. Na hapo kulikuwa na uwezo wa kupata megawatss zaidi ya 800. Ila kuna mafisadi walifanya hujuma na leo wamezibitiwa.
Weka source ya madai yako kwa sababu TANESCO wenyewe wameshasema capacity yao ni 561MW! And remember, unapoambiwa capacity; inamaanisha pale mabwawa yanapokuwa full, and other factors while being constant, uwezo wa hayo mabwawa ni hizo 561MW! Sasa wewe hizo 800MW umezitoa wapi?

Alll in all, hata nikikubaliana na hoja yako kwamba:-
Hydropower stations zote zilikuwa na uwezo wa kuzalisha Megawatts zaidi ya 800, lakini zilipatikana kama megawatt 650.Mafisadi na wahuni wakaleta kisingizio cha ukame kuwa mabwawa hayatoshelezi. Ndio kukawa na mgao mkubwa sana ambao ulikuja kuzalisha Richmond,Dowans na Escrow. Kule kwenye Hydropower stations kulikuwa na hujuma ya kufungulia maji. Ili ionekane hayatoshi.
Kwanza, sio tu hoja yako ya 800MW sio ya kweli na ndio maana umeshindwa kuthibitishwa lakini hata kama ingekuwa kweli, ina maana huo udhibiti wake umeokoa 150MW!

Sasa how come useme yeye ndie anahitaji pongezi kwa kumaliza mgao wakati jitihada zake zimeokoa only 150MW out of more than 1300 MW?! Leo hii tukiondoa angalau Ubungo Power Plant let alone Kinyerezi halafu mabwawa yakazalisha 800MW unazodai ndio uwezo wake ingawaje sio kweli; je hakutakuwa na mgao?!

In short, huna uelewa kuhusu chanzo cha tatizo la umeme Tanzania na utatuzi wake mwaka hadi mwaka vinginevyo usingesema mgao umeanza mwaka 2006... labda kama ndio mwaka uliokuja mjini![/QUOTE]
 
Hoja yako kubwa, inayoweza ku-support madai yako kwamba JPM ndie kamaliza tatizo la umeme ni hii hapa chini, usijifanye kuisahau:-Umedai at full capacity, TANESCO walikuwa na uwezo wa kuzalisha 800MW kwa kutumia maji, nami nimekupa data kutoka TANESCO kwamba capacity yao kwa hydropower ni 561MW.

Ndipo nimekuuliza, hizo habari za 800MW umezitoa wapi wakati wenyewe wanasema 561MW? Unaweza kutoa reference link kama nilivyofanya mimi?Na ndio maana nimekupa data kwamba, umeme wa maji is just 41.5%. JPM hajafanya chochote kwenye huo uwekezaji zaidi madai yake kwamba watu walikuwa wanafunga mabwawa ya maji ili kutengeneza mgao!

Fine, tuseme madai yake ni sahihi sawa na madai yake mengine meeeeeengi kama vile barakoa kuwa na corona, testing kits kuwa mbovu, kwamba makinikia unaweza kuchenjua hapa hapa TZ bila kwenda Japan ingawaje na mwenyewe unaenda mwaka wa tano sasa hajaweza kujenga hiyo plant ya kuchenjua ambayo alidai ni rahisi kweli kweli.... FINE! Tuseme madai yake ya watu kufunga maji ni sahihi kwa 100%!

Lakini kwavile Magu kayakuta tu hayo mabwawa, ina maana contribution yake ni ile ya kudhibiti wafunga maji... yaani ka-contribute only small portion kwenye 41.5%! Sasa how come useme ndie kamaliza mgao wakati huo udhibiti wake ume-contribue only small portion ya umeme wa maji?!

Nakuuliza hivyo kwa sababu kila anayetaka kujua anajua kwamba tatizo letu kubwa lilikuwa kutegemea umeme wa maji na mafuta! Kwa upande wa mafuta, tatizo likamalizwa baada ya kuletwa gas Dar kutoka Mtwara; na aliyefanya hiyo kazi sio Magu!!

Again, how come asifiwe Magu? Ulichotaja alichofanya JPM ni kudhibiti maji kwa sababu kama issue ni mitambo ya kifisadi, hadi kesho inatumika!

So, swali linabaki pale pale... huo udhibiti wake umeokoa MW ngapi za umeme hadi uone ndie anastahili sifa tofauti na wale ambao waliwekeza kuvuta gas kutoka Lindi na Mtwara hadi Dar es salaam; gas ambayo ndiyo kwa sasa ndio chanzo za MW nyingi zaidi za umeme, let alone waliowekeza kwenye umeme wa maji!
Hoja ni kuwekeza na sio kubuni! Ni kutokana na hilo, ndio maana hata nilipotoa mfano wa flyover, sikutaka kuitaja SGR badala yake ingawaje nafahamu JPM kaingia madarakani wakati mpango wa SGR wote umekamilika, hadi funding!

Lakini kwa kuwa yeye akaja na financing plan nyingine, basi sitakuwa na budi pale inapohitaji Credit, JPM ndie atastahili ingawaje approach mzima ya SGR ni ya hovyo compared na vile alivyokuwa amekusudia mtangulizi wake! !Nimehoji suala la umeme unaozalishwa with reference na madai yako ya 800MW vs 650MW! Unaweza kuniambia suala la 800MW lipo sehemu ipi ya heading yako?! Look at you!! Nimekuwekea link za TANESCO kama reference halafu unasema aliyenifundisha kuandika kanidanganya?! Hivi ulifungua hizo link ukajiongezea ufahamu?!

And to be honest, nilikuwa siifahamu Nyakato Power Plant ambayo inazalisha 63MW, na hili kumtendea haki JPM, nikahisi Nyakato Power Plant ni kazi ya JPM lakini kuja kufuatilia, nakutana na hii habari ya The Daily News:kumbe, na wenyewe kaukuta!! Weka source ya madai yako kwa sababu TANESCO wenyewe wameshasema capacity yao ni 561MW! And remember, unapoambiwa capacity; inamaanisha pale mabwawa yanapokuwa full, and other factors while being constant, uwezo wa hayo mabwawa ni hizo 561MW! Sasa wewe hizo 800MW umezitoa wapi?

Alll in all, hata nikikubaliana na hoja yako kwamba:-
Kwanza, sio tu hoja yako ya 800MW sio ya kweli na ndio maana umeshindwa kuthibitishwa lakini hata kama ingekuwa kweli, ina maana huo udhibiti wake umeokoa 150MW!

Sasa how come useme yeye ndie anahitaji pongezi kwa kumaliza mgao wakati jitihada zake zimeokoa only 150MW out of more than 1300 MW?! Leo hii tukiondoa angalau Ubungo Power Plant let alone Kinyerezi halafu mabwawa yakazalisha 800MW unazodai ndio uwezo wake ingawaje sio kweli; je hakutakuwa na mgao?!

In short, huna uelewa kuhusu chanzo cha tatizo la umeme Tanzania na utatuzi wake mwaka hadi mwaka vinginevyo usingesema mgao umeanza mwaka 2006... labda kama ndio mwaka uliokuja mjini!
[/QUOTE]
Kwa ufupi uelewa wako ni mdogo ila una kariri mambo. Sijakuambia mgao umeanza 2006. Ila nilikuwa namaanisha crisis ilizidi kuwa kubwa zaidi kuanzia 2006 baada ya mafisadi kutaka kujineemesha kupitia mgao wa umeme. Wewe mwenyewe unaandika kama punguani ambae anatekenyawa ili akumbuke kitu. Umesema mara thermal and dieasel ni 58.9% na hydropower ni 41.5% amabazo ni 561 Megawatss. Sasa hizo 58.9 za thermal and diesel zinaenda wapi? Na ni kiasi gani?. Mimi nimekuambia ukiondoa hujuma zilizokuwepo Tanesco walikuwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya Megawatss 800 hii ni pamoja na thermal and hydropower. Ila kukawa na hujuma za mafisadi ndio maana uzalishaji ulikuwa hauzidi 650 Megawatts na hii ndio ikawa chanzo cha mikataba fake kama Richmond na Dowans. Lakini upungufu wa umeme umeanza miaka ya 1992 kuja juu. Na hapo ndipo mafisadi walianza kutengeneza kampuni kama Iptl.
Diesel plants kama iliyokuwepo mwanza zilikuwa zinatumika mikoa mingi ambayo haikuwa katika grid ya taifa.Mojawapo ni mkoa wa kigoma. Mwanza ni mkoa ambao ulikuwa na grid ya taifa hiyo diesel plant iliwekwa kwa nini? Ndio ufisadi na hujuma. Ndio maana grid ya taifa kwenda mwanza ikaongezewa nguvu na sasa sina uhakika kama hiyo diesel generator ipo. Umeme mwingi ulikuwa unazalishwa kwenye powerstations na mwingi sana ulikuwa unapotea njiani. Hizi zote zilikuwa ni hujuma. Kwa hiyo acha kukariri. Hujuma zote zimeondolewa alipoingia JPM. Acha unafiki. Na kwa taarifa yako nyakato Disel generator sidhani kama bado ipo ilishapelekwa mkoa mwingine nafikiri baada ya grid ya taifa kwenda kanda ya ziwa kuongezewa nguvu. Ulikuwa ni mradi wa kifisadi. Ila kama 41.5% ya capacity ya Hydropowerstations ni 561 Megawatts,je hizo 58.9% za thermal power stations zinaenda wapi?
Any way kwa hili by any means necessary lazima ukubali JPM anastahili sifa.
 
Kwa hili la umeme kweli wangalau amefanya vizuri, sio kwamba haukatiki kabisa, bali haukatiki muda mrefu kama zamani. Hao unaotaka wamshukuru sio wajibu wao kwani rais anafanya hilo kama wajibu wake maana analipwa mshahara. Ila hakuna anayemlaumu kwenye eneo hilo, maana umeme unapatikana kwa asilimia kubwa baada ya watu kuulipia. Kama unataka kumsifia msifie kwa muda wako. Itakuwa wendawazimu kumsifia mzazi aliyemlipia ada mtoto mpaka chuo kikuu huku akimlawiti.
Kwa hiyo ulitaka wananchi wapewe umeme bure?
 
Kwa ufupi uelewa wako ni mdogo ila una kariri mambo. Sijakuambia mgao umeanza 2006. Ila nilikuwa namaanisha crisis ilizidi kuwa kubwa zaidi kuanzia 2006
Naona unajaribu kukataa ulichoandika mwenyewe less than 36 hours ago kwamba:-
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme.
Sasa mimi na wewe sijui ni nani mwenye uelewa mdogo ikiwa umeshasahau kitu ulichoandika mwenyewe takribani saa 24 tu zilizopita!
baada ya mafisadi kutaka kujineemesha kupitia mgao wa umeme.
Ndo maana nimekuambia hujui lolote!! Tatizo la umeme lilianza wakati wa Mwinyi, na issue ya ufisadi ilianzia mwaka 1994 kwa ununuzi wa mitambo ya IPTL lakini mkataba ukaja kuvurugwa zaidi na utawala wa Mkapa! Sasa hiyo 2006 na 1994 wapi na wapi!
Wewe mwenyewe unaandika kama punguani ambae anatekenyawa ili akumbuke kitu.
Umeshindwa kujibu hoja hatimae umeamua kukimbilia matusi! Seems like hatimae unataka shari; the question is: Shari zenyewe unaziweza au unaigiza?
Umesema mara thermal and dieasel ni 58.9% na hydropower ni 41.5% amabazo ni 561 Megawatss. Sasa hizo 58.9 za thermal and diesel zinaenda wapi? Na ni kiasi gani?
Yaani kwa hoja hii unaonesha wazi ni jinsi gani ulivyo na uelewa finyu! Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuuliza hizo (sis) 58.9 zinaenda wapi?Aidha unauliza ni kiasi gani wakati nilishasema:
TANESCO wenyewe wanasema 58.5% ambayo ni 796.34MW ya umeme unaozalishwa nchini unatokana na thermal gas and diesel.
You're typical Magufuli Minion!
Mimi nimekuambia ukiondoa hujuma zilizokuwepo Tanesco walikuwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya Megawatss 800 hii ni pamoja na thermal and hydropower.
Yaani ndo mtu wa kuhoji uelewa wangu wewe wakati less than 24 hours uliandika:-
Hata kabla ya mtambo wa gas pale ubungo na na mtambo wa kinyerezi .Hydropower stations zote zilikuwa na uwezo wa kuzalisha Megawatts zaidi ya 800, lakini zilipatikana kama megawatt 650.
Mbali na kushindwa kutoa official reference ya kuthibitisha madai yako kwamba walikuwa na uwezo wa kuzalisha 800MW lakini pia umeshasahau ulichoandika mwenyewe less than 24 hours, na matokeo yake unajaribu kukitaa!!

Nimekuwekea official data kutoka TANESCO zinazothibitisha umeme unaozalishwa kwa maji at full capacity, AGAIN, weka official data kuthibitisha madai yako, na kama huna, then shut-up kwa sababu narudia: HUJUI LOLOTE!!
Ila kukawa na hujuma za mafisadi ndio maana uzalishaji ulikuwa hauzidi 650 Megawatts
Uzalishaji ulikuwa hauzidi 650MW kivipi wakati TANESCO wenyewe wanasema at full capacity hydropewer inayozalishwa ni 561MW?!

Narudia, unasema masuala ya 650MW ni kwamba unahusisha na hoja yako kwamba at full capacity, umeme wa maji ulikuwa 800MW! Nimeshakuambia huo ni UONGO, or else, thibitisha hapa kutoka valid source na kama huwezi again, shutup!
na hii ndio ikawa chanzo cha mikataba fake kama Richmond na Dowans. Lakini upungufu wa umeme umeanza miaka ya 1992 kuja juu.
Mkataba fake haukuanza na Richmond bali ni IPTL mwaka 1994! Na muasisi wa IPTL ni Katibu Mkuu wa CCM, the late Horace Kolimba! Mkataba ukazidi kunajisiwa zaidi mwaka 1997 na tena mwaka 2002 chini ya Mkapa... again Rais kutoka CCM!

Kwa maana nyingine, ni kama rais wa sasa kutoka CCM ile ile, Dr. John Magufuli alivyofanya ufisadi kwenye nyumba za serikali na ununuzi wa boti kimeo aliyoamua kuificha jeshini ili kuwaziba watu mdomo wasihoji!
Diesel plants kama iliyokuwepo mwanza zilikuwa zinatumika mikoa mingi ambayo haikuwa katika grid ya taifa.Mojawapo ni mkoa wa kigoma. Mwanza ni mkoa ambao ulikuwa na grid ya taifa hiyo diesel plant iliwekwa kwa nini?
Ona ulivyo na uelewa finyu! Ni nani aliyekuambia kwamba umeme wa grid unatoka kwenye source moja tu?! Yaani kwa akili yako unaposikia National Grid unadhani ni umeme wa maji, sio?!

FYI, hata umeme unaozalishwa na Nyakato Power Plant na wenyewe umeingizwa kwenye national grid! Na hata 796.31MW zilizo kwenye national grid zinazotokana na thermal gas and diesel na zenyewe zinatoka kwenye vituo mbalimbali including Ngara (2.50 MW), Biharamulo (4.14 MW), Songea (7.67 MW), Mbinga (2.00 MW), Ludewa (1.27 MW) and Namtumbo (0.34 MW), Liwale (0.848 MW), Tunduru (2.996 MW, Madaba (0.476 MW). Zima hizo, including na zile 60MW za Nyakato kisha rudi tena hapa useme baada ya Magu kudhibiti maji, mgao ukapotea!!
Ndio maana grid ya taifa kwenda mwanza ikaongezewa nguvu na sasa sina uhakika kama hiyo diesel generator ipo.
Kumbe hata kinachoendelea hujui lakini unakuja kuropoka ropoka hapa!!
Umeme mwingi ulikuwa unazalishwa kwenye powerstations na mwingi sana ulikuwa unapotea njiani. Hizi zote zilikuwa ni hujuma.
Hivi ndo wewe vile ambae nilikuambia kwavile JPM hana kikubwa cha kujivunia kwa sababu miradi mingi kaikuta, basi Misukule yake ina-force hata pasipohusika na kuonesha Magufuli ndie muhusika kama ilivyo kwenye issue ya flyover! Umehama kwenye Magu kudhibiti ufunguliaji maji na sasa upo kwenye majenereta kadhaa ya mikoani!!!

Anyway, tell me! Mwanzoni ulidanganya kwamba umeme wa maji at full capacity ni 800MW lakini ukawa unazalishwa 650MW na alipoingia Sterling JPM akaweka mambo sawa na sasa umeme wa maji umerudi kwenye 800MW ingawaje TANESCO wenyewe wanasema ni 561.843MW!

Leta story... na huko kwenye hayo majenereta zilikuwa zinahujumiwa MW ngapi, na baada ya Sterlling Magu kuingia hayo majenereta yanazalisha MW ngapi?
Kwa hiyo acha kukariri. Hujuma zote zimeondolewa alipoingia JPM. Acha unafiki.
Umeshasema kwenye hydropwer alidhibiti wafungulia maji, na hii wengi walimsikia! Je, huko kwenye majenereta alidhibiti nini?
Na kwa taarifa yako nyakato Disel generator sidhani kama bado ipo ilishapelekwa mkoa mwingine nafikiri baada ya grid ya taifa kwenda kanda ya ziwa kuongezewa nguvu. Ulikuwa ni mradi wa kifisadi. Ila kama 41.5% ya capacity ya Hydropowerstations ni 561 Megawatts,je hizo 58.9% za thermal power stations zinaenda wapi?
Angalia ulivyo zuzu! Kumbe ulikuwa wala hujui huo umeme unaozalishwa na Nyakato Power Plant na wenyewe uliingizwa kwenye grid ya taifa! Sasa unahamisha vp mtambo wa kuzalishia umeme kupeleka mkoa mwingine?! Hivi kwa akili yako unadhani kila mkoa una uwezo wa kutumia 60MW zinazoweza kuzalishwa na Nyakato Power Plant?
Any way kwa hili by any means necessary lazima ukubali JPM anastahili sifa.
Atasifiwa na mazuzu ambao hata aliposema nyungu inatibu coronavirus, na yenyewe yakashangilia! Magufuli yule yule alipoachana na nyungu na kuhamia kwenye kikombe cha Madagascar, mazuzu nayo hivi sasa yameacha simulizi za nyungu na kuhamia kwenye kikombe cha Madagascar!
 
Naona unajaribu kukataa ulichoandika mwenyewe less than 36 hours ago kwamba:-Sasa mimi na wewe sijui ni nani mwenye uelewa mdogo ikiwa umeshasahau kitu ulichoandika mwenyewe takribani saa 24 tu zilizopita!
Ndo maana nimekuambia hujui lolote!! Tatizo la umeme lilianza wakati wa Mwinyi, na issue ya ufisadi ilianzia mwaka 1994 kwa ununuzi wa mitambo ya IPTL lakini mkataba ukaja kuvurugwa zaidi na utawala wa Mkapa! Sasa hiyo 2006 na 1994 wapi na wapi!
Umeshindwa kujibu hoja hatimae umeamua kukimbilia matusi! Seems like hatimae unataka shari; the question is: Shari zenyewe unaziweza au unaigiza?
Yaani kwa hoja hii unaonesha wazi ni jinsi gani ulivyo na uelewa finyu! Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuuliza hizo (sis) 58.9 zinaenda wapi?Aidha unauliza ni kiasi gani wakati nilishasema:
You're typical Magufuli Minion!
Yaani ndo mtu wa kuhoji uelewa wangu wewe wakati less than 24 hours uliandika:-
Mbali na kushindwa kutoa official reference ya kuthibitisha madai yako kwamba walikuwa na uwezo wa kuzalisha 800MW lakini pia umeshasahau ulichoandika mwenyewe less than 24 hours, na matokeo yake unajaribu kukitaa!!

Nimekuwekea official data kutoka TANESCO zinazothibitisha umeme unaozalishwa kwa maji at full capacity, AGAIN, weka official data kuthibitisha madai yako, na kama huna, then shut-up kwa sababu narudia: HUJUI LOLOTE!!
Uzalishaji ulikuwa hauzidi 650MW kivipi wakati TANESCO wenyewe wanasema at full capacity hydropewer inayozalishwa ni 561MW?!

Narudia, unasema masuala ya 650MW ni kwamba unahusisha na hoja yako kwamba at full capacity, umeme wa maji ulikuwa 800MW! Nimeshakuambia huo ni UONGO, or else, thibitisha hapa kutoka valid source na kama huwezi again, shutup! Mkataba fake haukuanza na Richmond bali ni IPTL mwaka 1994! Na muasisi wa IPTL ni Katibu Mkuu wa CCM, the late Horace Kolimba! Mkataba ukazidi kunajisiwa zaidi mwaka 1997 na tena mwaka 2002 chini ya Mkapa... again Rais kutoka CCM!

Kwa maana nyingine, ni kama rais wa sasa kutoka CCM ile ile, Dr. John Magufuli alivyofanya ufisadi kwenye nyumba za serikali na ununuzi wa boti kimeo aliyoamua kuificha jeshini ili kuwaziba watu mdomo wasihoji!
Ona ulivyo na uelewa finyu! Ni nani aliyekuambia kwamba umeme wa grid unatoka kwenye source moja tu?! Yaani kwa akili yako unaposikia National Grid unadhani ni umeme wa maji, sio?!

FYI, hata umeme unaozalishwa na Nyakato Power Plant na wenyewe umeingizwa kwenye national grid! Na hata 796.31MW zilizo kwenye national grid zinazotokana na thermal gas and diesel na zenyewe zinatoka kwenye vituo mbalimbali including Ngara (2.50 MW), Biharamulo (4.14 MW), Songea (7.67 MW), Mbinga (2.00 MW), Ludewa (1.27 MW) and Namtumbo (0.34 MW), Liwale (0.848 MW), Tunduru (2.996 MW, Madaba (0.476 MW). Zima hizo, including na zile 60MW za Nyakato kisha rudi tena hapa useme baada ya Magu kudhibiti maji, mgao ukapotea!!
Kumbe hata kinachoendelea hujui lakini unakuja kuropoka ropoka hapa!!
Hivi ndo wewe vile ambae nilikuambia kwavile JPM hana kikubwa cha kujivunia kwa sababu miradi mingi kaikuta, basi Misukule yake ina-force hata pasipohusika na kuonesha Magufuli ndie muhusika kama ilivyo kwenye issue ya flyover! Umehama kwenye Magu kudhibiti ufunguliaji maji na sasa upo kwenye majenereta kadhaa ya mikoani!!!

Anyway, tell me! Mwanzoni ulidanganya kwamba umeme wa maji at full capacity ni 800MW lakini ukawa unazalishwa 650MW na alipoingia Sterling JPM akaweka mambo sawa na sasa umeme wa maji umerudi kwenye 800MW ingawaje TANESCO wenyewe wanasema ni 561.843MW!

Leta story... na huko kwenye hayo majenereta zilikuwa zinahujumiwa MW ngapi, na baada ya Sterlling Magu kuingia hayo majenereta yanazalisha MW ngapi? Umeshasema kwenye hydropwer alidhibiti wafungulia maji, na hii wengi walimsikia! Je, huko kwenye majenereta alidhibiti nini?
Angalia ulivyo zuzu! Kumbe ulikuwa wala hujui huo umeme unaozalishwa na Nyakato Power Plant na wenyewe uliingizwa kwenye grid ya taifa! Sasa unahamisha vp mtambo wa kuzalishia umeme kupeleka mkoa mwingine?! Hivi kwa akili yako unadhani kila mkoa una uwezo wa kutumia 60MW zinazoweza kuzalishwa na Nyakato Power Plant? Atasifiwa na mazuzu ambao hata aliposema nyungu inatibu coronavirus, na yenyewe yakashangilia! Magufuli yule yule alipoachana na nyungu na kuhamia kwenye kikombe cha Madagascar, mazuzu nayo hivi sasa yameacha simulizi za nyungu na kuhamia kwenye kikombe cha Madagascar!
Kama wewe unaona hakufanya juhudi kudhibiti mgao wa umeme kalisha makalio kimya. Official data hizo ni official data au upuuzi. Kwani sisi hatuoni kuwa hakuna mgao sasa hivi.
 
Mgao wa Umeme umepungua ila mgao wa Sukari ndio kwanza umeanza tunaigia kwenye resheni za sukari kama wakati wa Mchonga meno
 
Back
Top Bottom