Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

Neno MAONO mnalitumia hata pasipostahili.
 
Hotuba ya Mhe Rais iliyorushwa mubashara kuptia television ya TBC, Mhe Rais kwa mdomo wake wakati akihutubia nchi alitamka wazi kuwa treni ya mwendo kasi itaanza kazi kwenda Dodoma kabla ya Juni, 2024. Asemayo Mhe. Rais lazima tuamini na ni agizo. Kama Treni ya mwendo kasi kwenda Morogoro haijaanza kazi mpaka leo ni miujiza gani itatokea treni ya mwendo kasi kwenda Dodoma kuanza kazi kabla ya Juni, 2024. Yangu ni macho and time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…