ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
😆😆Mtu katumbuliwa, tajiri kanyang'anywa Mali,mpinzani kaitwa msaliti.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆Mtu katumbuliwa, tajiri kanyang'anywa Mali,mpinzani kaitwa msaliti.....
Kato hotuba nzuri sana tena yenye kuanzisha mafanikio, Changamoto na nini kitafanyika.
Mama tayari keshaweza kushika hatamu vilivyo.
View: https://www.instagram.com/p/C1h5wizIrhm/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Neno MAONO mnalitumia hata pasipostahili.Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.
Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa
Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.
Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024