Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

Kama wa Kwangu, anarudi Kumi na Moja jioni, anarudi na homework, anakula, anaoga, anakaa mezani! Hapana hatuwatendei haki watoto wetu
True mtoto anasoma maisha yake yote tangu la kwanza hadi chuo KILA siku ni shule,home work,likizo tuition.
Thus tuna kizazi kilicho shallow thinking, general knowledge ni sifuri kabisa zaidi ya kukariri tu
 
Acheni kuhemka mbuzi anakula huku anafata kamba
 
Ila haya matoto ya siku hizi ya chips kuku IQ zao zipo chini Sana ukiwapuumzisha bila kuwashindilia masomo utakuwa umetupa tu bure pesa zako. Wana capacity kubwa tu ya kukariri bongo flavors, season na mpira na sio masomo
 
Kwani hapo unapoishi hamna shule ya Serikali jirani,acha kulalamika hayo mateso umemechagulia mwenyewe.

Kama ulitaka shule nzuri hizo ndio sacrifices,acha malalamiko.
 
  1. Kwetu wakubwa watasema hatuwezi kukaiga kanchi kadogo hako
  2. Changamoto za usafiri mijini zitawafikisha watoto nyumbani saa 6 usiku ikiwa watatoka saa 11 shuleni
  3. Kumbuka hapa kwetu zama hizi ni za yule aliyeambiwa shut-up ...hawaivi kabisa na slim boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…