Chama kitambo kipo mikonono mwa wahuni,wengine wamebaki wala mabaki ya mifupa ya samaki,huku minofu ikiliwa na wachache.alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P

Ila wanaohoji na kuondoka Chadema hao wamenunuliwa! Ahahahahaha! Very stupid thinking!Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.
Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.
Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.
kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.
Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana
Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.
Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .
That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing
Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!
Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.
The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Hapo mwisho ulipojitambulisha ndio pamenigusa zaidi kwani huyo ndio ilikuwa ndoto yangu.Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.
Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.
Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.
kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.
Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana
Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.
Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .
That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing
Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!
Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.
The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Katiba ya chama unaielewa?kwanza naunga mkono,ukiwa kiongozi intellectual,ukaona uko kwenye uhuni,dawa sio kujiondoa na kukaa pembeni kumwachia ngedere shamba la mahindi!,dawa ni kumkabili ngedere kuokoa shamba msije mkaishia kuyavuna mabua!。
P
Gwajima amejaribu kumkabili gendere yaliyomkuta sasa ninauhakika anajuta asilimia 100 alichofanya.kwanza naunga mkono,ukiwa kiongozi intellectual,ukaona uko kwenye uhuni,dawa sio kujiondoa na kukaa pembeni kumwachia ngedere shamba la mahindi!,dawa ni kumkabili ngedere kuokoa shamba msije mkaishia kuyavuna mabua!。
P
Sii kweli!mimi sio tuu naielewa katiba ya CCM,mimi ni mwalimu wa katiba humu jf Ijue Katiba ya CCM: Malengo ya CCM, Nguvu za CCM, Vikao vya CCM, na Mamlaka ya Mkutano Mkuu wa CCM, Uamuzi Wake ni wa Mwisho!, Final & Conclusive!.Katiba ya chama unaielewa?
Mwenyekiti ni kama rais wa Tanzania. Haguswi
Hivi na wewe kumbe hua unajitoa akili sometimes? hivi kwa utawala huu wa samia alivoivuruga ccm you think is easy kupambana nae ukiwa still muajiliwa wake? thats why mtu anajiondoa kwanza kwa muajiri ila anabaki kwenye chama cas ni rahisi kupambana na mtu kuanzia kwenye mzizi wake uliomfanya awe hapo alipo.kwanza naunga mkono,ukiwa kiongozi intellectual,ukaona uko kwenye uhuni,dawa sio kujiondoa na kukaa pembeni kumwachia ngedere shamba la mahindi!,dawa ni kumkabili ngedere kuokoa shamba msije mkaishia kuyavuna mabua!。
P
si ndo mana karudi chamani 100% sababu akiwa bado mwajiri wake bado kuna kanuni.zitambana tu asiweze kitu.alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Anahakikishaje wakati uhuni ndio msimamo wa chama? Jibu lako ni la kishule ambapo kiuhalisia haiwezekani.alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Kitu hujui achana nacho. Kwenye chama cha MAPINDUZI, mwenyekiti ni kiongozi wa vikao. CEO ni Katibu Mkuu -SG. Nikufahamishe katika Kamati Kuu hapa wajumbe humpinga hata Mwenyekiti.Katiba ya chama unaielewa?
Mwenyekiti ni kama rais wa Tanzania. Haguswi
Nimekusaidia kumjibuSii kweli!mimi sio tuu naielewa katiba ya CCM,mimi ni mwalimu wa katiba humu jf Ijue Katiba ya CCM: Malengo ya CCM, Nguvu za CCM, Vikao vya CCM, na Mamlaka ya Mkutano Mkuu wa CCM, Uamuzi Wake ni wa Mwisho!, Final & Conclusive!.
P
Kwakweli wewe ni kilazaIla wanaohoji na kuondoka Chadema hao wamenunuliwa! Ahahahahaha! Very stupid thinking!
Umeandika vizuri sana. My worries ni kuwa you are not well informed of what is on the ground in Tanzania with regard to understanding ya watanzania! Kila mtanmzania, na huyu Zwazwa Lucas Mwashambwa linajua fika kuwa Samia is a mess, wanasema , tunawasikia kuwa nchi imemshinda! Kila kona kuna vilio vya chini chini kuogopa kupotezwa/kuuawa! For your iformation, wanajua kila kitu. Ni waoga...tunaogopa kufa!Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.
Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.
Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.
kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.
Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana
Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.
Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .
That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing
Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!
Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.
The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Both
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.

Baaba ya kuingia ilikuwaje?JPM kaingiaje?
Umesoma hadi la ngapi DOGO?
alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P