Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Moja ya kutoruhusu ni kuonesha kwa vitendo. Ndio mana barua yake kaiweka hadharan watu wajue. Angeandika bqrua privately kwenda kwa Rais….. Rais angemuwahi kwa kumtengua

Maamuzi yake ni sahihi na nifundisho kwa wenye weledi

Ili watanzania wote kwa usawa tuneemeke na resources zetu ni lazima mabadiliko. Kwa sasa some people think they are better than others just because wananyonya mirija ya maisha kwa uchawa na ufisadi
 

Attachments

  • instdown.mp4
    19.8 MB

Attachments

  • IMG_5669.jpeg
    IMG_5669.jpeg
    214.2 KB · Views: 10
Upuuzi mtupu...
Huyo kilaza anarudi kuwachangisha wajinga kwenye darasa lake la siasa,
Mtu aliesomea chuo cha vilaza kivukoni atakuwa kajaza tope za ccm kichwani....
 
Safi
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.

Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.

Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.

kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.

Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana

Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.

Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .

That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing

Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!

Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.

The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Safi kabisa.
 
Back
Top Bottom