Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

kwanza naunga mkono,ukiwa kiongozi intellectual,ukaona uko kwenye uhuni,dawa sio kujiondoa na kukaa pembeni kumwachia ngedere shamba la mahindi!,dawa ni kumkabili ngedere kuokoa shamba msije mkaishia kuyavuna mabua!。
Tuonyeshe mfano wa kwenda mahakani kupinga sheria mbaya ya vyombo vya habari.
 
The enemy of your enemy is your friend.
How sure now is your friend!
Mind you that he was your enemy in the past few years and he's still in the same party.
Yaelekea bado hamjajifunza. CCM ni lidude hatari sana. Huyo anaweza kupelekwa chama flani akagombea na nyie mtamshabikia kwa kuwa tu anamponda msiyemtaka
 
kwanza naunga mkono hoja,ukiwa ni kiongozi intellectual,ukaona kuna ujinga fulani au uhuni fulani unafanyika na wewe uko kwenye kundi la ujinga huo au uhuni huo na ukaunyaazia,wote mtaonekana ni wajinga,ni wahuni。

Dawa sio kujiondoa na kukaa pembeni kujitenga na ujinga au na uhuni, nakumwachia ngedere shamba la mahindi!,dawa ni kumkabili ngedere kuokoa shamba msije mkaishia kuyavuna mabua, hivyo waelimishe hao wajinga waache ujinga wao,na kuwaelimisha hao wahuni waache uhuni wao!。

Juhudi zote kuwabadilisha zikishindikana ndipo unapisha jumla!,sio unapisha nusu nusu!。

P
Kama Lisu alivyo ishughulikia Chadema ngedere kina Mrema wangeachiwa Shamba ingekuwa hatare
 
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.

Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.

Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.

kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.

Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana

Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.

Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .

That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing

Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!

Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.

The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Ndiyo maana Pole Pole alijiondokea kwenye serikali ya JPM na alikataa nafasi zote alizokua anateuliwa
 
Huijui CCM; kwa CCM masuala ya CCM katika kikao yanaishia katika chumba cha Kikao. Kwa kawaida vikao huwa vya moto ila wakiafikiana huwa ni msimamo wa kila mmoja aw anapenda au hapendi
Ndio nasema mbona kwenye hicho kikao hawakuyapinga hayo maamuzi?
 
How sure now is your friend!
Mind you that he was your enemy in the past few years and he's still in the same party.
Yaelekea bado hamjajifunza. CCM ni lidude hatari sana. Huyo anaweza kupelekwa chama flani akagombea na nyie mtamshabikia kwa kuwa tu anamponda msiyemtaka
What the problem with that ikiwa anachokisema ndio hicho hicho kinachopigiwa kelele na wengine?
 
Dk
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.

Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.

Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.

kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.

Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana

Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.

Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .

That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing

Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!

Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.

The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Dkt Samia akitoka madarakani, mtamkumbuka sana
 
"That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing"

ARE YOU SURE ALIPEWA IVO IVO? UMEISOMA KATIBA INASEMAJE?
 
kwanza naunga mkono hoja,ukiwa ni kiongozi intellectual,ukaona kuna ujinga fulani au uhuni fulani unafanyika na wewe uko kwenye kundi la ujinga huo au uhuni huo na ukaunyaazia,wote mtaonekana ni wajinga,ni wahuni。

Dawa sio kujiondoa na kukaa pembeni kujitenga na ujinga au na uhuni, nakumwachia ngedere shamba la mahindi!,dawa ni kumkabili ngedere kuokoa shamba msije mkaishia kuyavuna mabua, hivyo waelimishe hao wajinga waache ujinga wao,na kuwaelimisha hao wahuni waache uhuni wao!。

Juhudi zote kuwabadilisha zikishindikana ndipo unapisha jumla!,sio unapisha nusu nusu!。

P
Mim naamini kuna wengi ndani ya CCM wanahitaji Reform , reform sio kwa ajili ya CHADEMA bali reform ni kwa ajili ya our future generations… kwa sasa nchi inaendeshwa kisela sela na kiutapeli sana
 
Attachments

  • instdown.mp4
    11.5 MB
"That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing"

ARE YOU SURE ALIPEWA IVO IVO? UMEISOMA KATIBA INASEMAJE?
 
Attachments

  • instdown.mp4
    17.3 MB
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.

Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.

Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.

kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.

Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana

Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.

Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .

That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing

Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!

Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.

The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Siasa ni uhuni tu.
 
Ndugu P ukweli ni kwamba huwezi kupambana ndani ya mfumo kwa sababu boss wako ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usakama. Kukaa pembeni ndio unakuwa salama zaidi huku ukisaidiwa na kuwa karibu na Mungu ambaye atakupa ulinzi ambao mwanadamu hawezi kukudhuru.
Tunakariri sana.

Mambo yameshabadilika, amiri jeshi mkuu kwani anapigana yeye? Unaweza kuona huko ndani kuna mgomo baridi.
 
Back
Top Bottom