Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.

Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.

Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.

kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.

Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana

Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.

Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .

That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing

Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!

Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.

The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Uchaftu. Andika kiswahili
 
Leo hii Polepole amekuwa lulu!
Kweli waTz ni wasahaulifu
 
Hayo hayatusaidii bhana, mtu kubadilika sidhani kama ni dhambi. Kwani ni nani binadamu ambaye hakosei kiasi kwamba kwa Polepole hatakiwi kusema kwakuwa tu alishawahi kukosea before.
Sawa. Sasa inatakiwa agombee uRais kabisa ili kuchangamsha uchaguzi
 
Hongera sana Polepole kwa uamuzi wako wa busara na hekima.
Taifa linapita ktk kipindi kigumu mno, viongozi rudini ktk njia ya Mola acheni kuandamana na "mwovu"
 
Kitu hujui achana nacho. Kwenye chama cha MAPINDUZI, mwenyekiti ni kiongozi wa vikao. CEO ni Katibu Mkuu -SG. Nikufahamishe katika Kamati Kuu hapa wajumbe humpinga hata Mwenyekiti.

Sema Rais wa Tanzania ndiye Mungu Mtu.
Mbona huyo mwenyekiti kajipitisha kibabe na hakuna aliepinga hadharani?
 
We
Unapaswa Usome Mada na Ujadili Mada Husika
Mjaribu kuficha Upumbavu wenu walau kidogo kwa faida ya Watoto wenu kesho.
Ndiyo mpumbavu namba moja sasa ukweli lazima usemwe kwanini alishindwa kujiuzuru kipindi magufuli anafanya uchafuzi wa mwaka 2020?
 
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.

Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.

Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.

kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.

Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana

Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.

Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .

That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing

Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!

Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.

The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Polepole ana unafiki ndani yake na ni opportunist mzuri
 
Mbona huyo mwenyekiti kajipitisha kibabe na hakuna aliepinga hadharani?
Huijui CCM; kwa CCM masuala ya CCM katika kikao yanaishia katika chumba cha Kikao. Kwa kawaida vikao huwa vya moto ila wakiafikiana huwa ni msimamo wa kila mmoja aw anapenda au hapendi
 
Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.
Uko sahihi sana, kuna udumavu wa kuhoji chochote TZ, na ikitokea mtu akafanya hivyo watu wanamshangaa, mfano Gwajima na sasa Polepole.
Kuna mambo yanapita kimyakimya.
 
alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Kaka umejibu hili kwa kutumia akili yako yote ninayoijua au umejibu mradi usiharibu kwa kua umeulizwa swali hapo juu??

Too low
 
alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Wewe binafsi ni mwana CCM, je unaona kuna uhuni? Kama ndio umechukua hatuna gani? Kama sio basi nakushauri usimshauri chochote kwani wewe si mgeni na yanayoendelea kwani hujui Ndugai yaliyomkuta, na ya huyo Gwajima je?
 
Hivi na wewe kumbe hua unajitoa akili sometimes? hivi kwa utawala huu wa samia alivoivuruga ccm you think is easy kupambana nae ukiwa still muajiliwa wake? thats why mtu anajiondoa kwanza kwa muajiri ila anabaki kwenye chama cas ni rahisi kupambana na mtu kuanzia kwenye mzizi wake uliomfanya awe hapo alipo.
Siyo easy atleast kutoka hadharani kuacha uoga, Pole Pole , Gwajima wamefanya
 
Ndugu P ukweli ni kwamba huwezi kupambana ndani ya mfumo kwa sababu boss wako ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usakama. Kukaa pembeni ndio unakuwa salama zaidi huku ukisaidiwa na kuwa karibu na Mungu ambaye atakupa ulinzi ambao mwanadamu hawezi kukudhuru.
 
Back
Top Bottom