Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Chama kitambo kipo mikonono mwa wahuni,wengine wamebaki wala mabaki ya mifupa ya samaki,huku minofu ikiliwa na wachache.
 
Ila wanaohoji na kuondoka Chadema hao wamenunuliwa! Ahahahahaha! Very stupid thinking!
 
Hapo mwisho ulipojitambulisha ndio pamenigusa zaidi kwani huyo ndio ilikuwa ndoto yangu.

Big Up kwako.
 
Katiba ya chama unaielewa?

Mwenyekiti ni kama rais wa Tanzania. Haguswi
 
Gwajima amejaribu kumkabili gendere yaliyomkuta sasa ninauhakika anajuta asilimia 100 alichofanya.
 
Kinacho tokea hakihusiani na mahitaji ya wananchi, mahitaji ya watanzania ni barabara nzuri kuanzia za mikoani mpaka mtaani

Taratibu na huduma safi na salama za afya nchi nzima

Umeme wa uhakika usio katika wala shida yoyote

Usalama na uhuru wa watu na mali zao

Ulinzi wa rasilimali za nchi

Sera na sheria za kuwalinda na kuwakuza wazalishaji wazawa

Kulinda na kuheshimu wafanyabiashara kwa kuweka kodi stahiki na hizo kodi zifanyiwe kazi kwa kurekebisha mazingira ya masokoni

Kutengeneza mfumo mzuri wa elimu inayo endana na dunia ya sasa

Kutoruhusu viongozi wenye maarifa, weledi, uelewa na utendaji mdogo kushika nafasi au kupewa ridhaa za kitaifa maana zitaua utekelezaji wa maendeleo yetu watanzania

Na mengine mengi mnaweza ongezea

Kwa namna hiyo kupishana kwa itikadi, mienendo ya kiungozi au kimaslahi inatakiwa iwe kwa maslahi ya wananchi na si watu wa mataifa mengine ama kundi la watu fulani

Tanzania ikijengwa vizuri hata viongozi na wananchi hawatoweza kwenda nnje kutibiwa kusomesha au kutembea kama sehemu ya mapumziko.

Tunahitaji utendaji unaonekana na si data za kwenye makaratasi na machapisho

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hivi na wewe kumbe hua unajitoa akili sometimes? hivi kwa utawala huu wa samia alivoivuruga ccm you think is easy kupambana nae ukiwa still muajiliwa wake? thats why mtu anajiondoa kwanza kwa muajiri ila anabaki kwenye chama cas ni rahisi kupambana na mtu kuanzia kwenye mzizi wake uliomfanya awe hapo alipo.
 
alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
si ndo mana karudi chamani 100% sababu akiwa bado mwajiri wake bado kuna kanuni.zitambana tu asiweze kitu.
 
Katiba ya chama unaielewa?

Mwenyekiti ni kama rais wa Tanzania. Haguswi
Kitu hujui achana nacho. Kwenye chama cha MAPINDUZI, mwenyekiti ni kiongozi wa vikao. CEO ni Katibu Mkuu -SG. Nikufahamishe katika Kamati Kuu hapa wajumbe humpinga hata Mwenyekiti.

Sema Rais wa Tanzania ndiye Mungu Mtu.
 
Umeandika vizuri sana. My worries ni kuwa you are not well informed of what is on the ground in Tanzania with regard to understanding ya watanzania! Kila mtanmzania, na huyu Zwazwa Lucas Mwashambwa linajua fika kuwa Samia is a mess, wanasema , tunawasikia kuwa nchi imemshinda! Kila kona kuna vilio vya chini chini kuogopa kupotezwa/kuuawa! For your iformation, wanajua kila kitu. Ni waoga...tunaogopa kufa!

Finally hujaeleza ni kitu gani watanzania hatukielewi!
 


Nchi ipo kwenye laana. Kiongozi anafurahia watu kutekwa na kuuawa. Njia zote kuu za uchumi wa nchi anawagawia waarabu.
 
Mayalla unakiri Kuna uhuni ndani ya chama chenu,Polepole ameukabiri kwa kukosoa kwa lugha ngumu na hata kujiondoa kwenye genge la wahuni.Wewe binafsi umeukabili kwa kiwango kipi huo uhuni?
alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…