Uchaftu. Andika kiswahiliKuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.
Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.
Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.
kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.
Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana
Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.
Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .
That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing
Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!
Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.
The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.

Leo hii Polepole amekuwa lulu!Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.

Sawa. Sasa inatakiwa agombee uRais kabisa ili kuchangamsha uchaguziHayo hayatusaidii bhana, mtu kubadilika sidhani kama ni dhambi. Kwani ni nani binadamu ambaye hakosei kiasi kwamba kwa Polepole hatakiwi kusema kwakuwa tu alishawahi kukosea before.
Mbona huyo mwenyekiti kajipitisha kibabe na hakuna aliepinga hadharani?Kitu hujui achana nacho. Kwenye chama cha MAPINDUZI, mwenyekiti ni kiongozi wa vikao. CEO ni Katibu Mkuu -SG. Nikufahamishe katika Kamati Kuu hapa wajumbe humpinga hata Mwenyekiti.
Sema Rais wa Tanzania ndiye Mungu Mtu.
Ndiyo mpumbavu namba moja sasa ukweli lazima usemwe kwanini alishindwa kujiuzuru kipindi magufuli anafanya uchafuzi wa mwaka 2020?Unapaswa Usome Mada na Ujadili Mada Husika
Mjaribu kuficha Upumbavu wenu walau kidogo kwa faida ya Watoto wenu kesho.
ule yenyewe sijakanyagaJPM kaingiaje?
Umesoma hadi la ngapi DOGO?
The enemy of your enemy is your friend.Leo hii Polepole amekuwa lulu!
Kweli waTz ni wasahaulifu
Polepole ana unafiki ndani yake na ni opportunist mzuriKuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.
Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.
Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.
kwa Competency gani ya kutamani kuendelea kuongoza nchi? Only then , you will realize kuna boss wa maboss mwenye maslahi binafsi na sio maslahi mapana ya nchi.
Kiongozi aliingia madarakani kwa kigezo kwamba tukiruhusu katiba kuwa breached, basi baadae watu watabreach sana
Sadly — kiongozi amekaribisha pepo ndani ya chama kuwa .... tunaweza kupindisha katiba ya chama to maintain maslahi.
Pepo linalomtafuna museveni limeingia ndani ya CCM .... na si ajabu likaingia ndani ya katiba ya nchi. Little sparks start big fire .
That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing
Kiongozi ambae ni intellectual, hawezi kuwa ni sehemu ya uhuni unaoendelea kwa sasa ambao lengo lake kuu ni kulinda maslahi ya UNKNOWN!
Nchi imekuwa kama dampo. Shimo la tewa... survival of the fittest ndio applicable theory kwa sasa.
The worst part , kiongozi hajui what else she can do .... labda boss wake knows better
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow ( WHO) - Division of Medical Oncology.
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ontario
Elgin st. 123
Huijui CCM; kwa CCM masuala ya CCM katika kikao yanaishia katika chumba cha Kikao. Kwa kawaida vikao huwa vya moto ila wakiafikiana huwa ni msimamo wa kila mmoja aw anapenda au hapendiMbona huyo mwenyekiti kajipitisha kibabe na hakuna aliepinga hadharani?
Aisee! Ni yepi hayo yalomkuta?Gwajima amejaribu kumkabili gendere yaliyomkuta sasa ninauhakika anajuta asilimia 100 alichofanya.
Uko sahihi sana, kuna udumavu wa kuhoji chochote TZ, na ikitokea mtu akafanya hivyo watu wanamshangaa, mfano Gwajima na sasa Polepole.Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na chama hakuna watu wanaoweza kumrudisha kiongozi kwenye mstari pale anapotoka...... we are all FUCKid.
Ambaye ndiye mwenyejitiSema Rais wa Tanzania ndiye Mungu Mtu.
🙏🙏👌2 Wakorintho 5:17
[17]Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.
Kaka umejibu hili kwa kutumia akili yako yote ninayoijua au umejibu mradi usiharibu kwa kua umeulizwa swali hapo juu??alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Angehakikisha hilo kwa kufanya nini?alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Wewe binafsi ni mwana CCM, je unaona kuna uhuni? Kama ndio umechukua hatuna gani? Kama sio basi nakushauri usimshauri chochote kwani wewe si mgeni na yanayoendelea kwani hujui Ndugai yaliyomkuta, na ya huyo Gwajima je?alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Siyo easy atleast kutoka hadharani kuacha uoga, Pole Pole , Gwajima wamefanyaHivi na wewe kumbe hua unajitoa akili sometimes? hivi kwa utawala huu wa samia alivoivuruga ccm you think is easy kupambana nae ukiwa still muajiliwa wake? thats why mtu anajiondoa kwanza kwa muajiri ila anabaki kwenye chama cas ni rahisi kupambana na mtu kuanzia kwenye mzizi wake uliomfanya awe hapo alipo.