Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

Tuonyeshe mfano wa kwenda mahakani kupinga sheria mbaya ya vyombo vya habari.
 
The enemy of your enemy is your friend.
How sure now is your friend!
Mind you that he was your enemy in the past few years and he's still in the same party.
Yaelekea bado hamjajifunza. CCM ni lidude hatari sana. Huyo anaweza kupelekwa chama flani akagombea na nyie mtamshabikia kwa kuwa tu anamponda msiyemtaka
 
Kama Lisu alivyo ishughulikia Chadema ngedere kina Mrema wangeachiwa Shamba ingekuwa hatare
 
Ndiyo maana Pole Pole alijiondokea kwenye serikali ya JPM na alikataa nafasi zote alizokua anateuliwa
 
Hayo hayatusaidii bhana, mtu kubadilika sidhani kama ni dhambi. Kwani ni nani binadamu ambaye hakosei kiasi kwamba kwa Polepole hatakiwi kusema kwakuwa tu alishawahi kukosea before.
wanatafuta justification tu lakin ukweli wanauona
 
Huijui CCM; kwa CCM masuala ya CCM katika kikao yanaishia katika chumba cha Kikao. Kwa kawaida vikao huwa vya moto ila wakiafikiana huwa ni msimamo wa kila mmoja aw anapenda au hapendi
Ndio nasema mbona kwenye hicho kikao hawakuyapinga hayo maamuzi?
 
What the problem with that ikiwa anachokisema ndio hicho hicho kinachopigiwa kelele na wengine?
 
Dk
Dkt Samia akitoka madarakani, mtamkumbuka sana
 
"That is why viongozi wenye busara walishauri siku ile kuwa Bidada apewe ivo ivo even tho her competency was questionable, only to protect the integrity of the constitutional..... . ; for now .... she is running the opposite direction, very disappointing"

ARE YOU SURE ALIPEWA IVO IVO? UMEISOMA KATIBA INASEMAJE?
 
Mim naamini kuna wengi ndani ya CCM wanahitaji Reform , reform sio kwa ajili ya CHADEMA bali reform ni kwa ajili ya our future generations… kwa sasa nchi inaendeshwa kisela sela na kiutapeli sana
 

Attachments

  • instdown.mp4
    11.5 MB
 

Attachments

  • instdown.mp4
    17.3 MB
Siasa ni uhuni tu.
 
Tunakariri sana.

Mambo yameshabadilika, amiri jeshi mkuu kwani anapigana yeye? Unaweza kuona huko ndani kuna mgomo baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…