Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

alitakiwa ahakikishe tusiruhuni uhuni ndani ya chama chetu,tusiruhusu wahuni wateke chama!,
P
Moja ya kutoruhusu ni kuonesha kwa vitendo. Ndio mana barua yake kaiweka hadharan watu wajue. Angeandika bqrua privately kwenda kwa Rais….. Rais angemuwahi kwa kumtengua

Maamuzi yake ni sahihi na nifundisho kwa wenye weledi

Ili watanzania wote kwa usawa tuneemeke na resources zetu ni lazima mabadiliko. Kwa sasa some people think they are better than others just because wananyonya mirija ya maisha kwa uchawa na ufisadi
 

Attachments

  • instdown.mp4
    19.8 MB
Upuuzi mtupu...
Huyo kilaza anarudi kuwachangisha wajinga kwenye darasa lake la siasa,
Mtu aliesomea chuo cha vilaza kivukoni atakuwa kajaza tope za ccm kichwani....
 
Safi
Safi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…