Hongera sana homeboy kwa kumleta Flora (Mbasha) Henry nyumbani

Hongera sana homeboy kwa kumleta Flora (Mbasha) Henry nyumbani

Status
Not open for further replies.
AISEE nyie mashilawadu umetumiwa kadi ya harusi unakuja kuichapisha jamii forums huo ni USENGErema wa kiwango cha PHD na ni ubashite
Kuna kosa gani hadi ufikie kuita mtu kwa jina hilo ndugu. Binafsi nilifurahi sana kupata habari hii toka nyumbani ukizigatia kijana namfahamu sana. Jifunze ustaarabu na usifikiri suala la ndoa ni siri na ndiyo maana ndoa hutangazwa kwa muda kanisani ili mtu kama ana pingamizi aweke. Ila usifikiri mie matusi hayapo
 
Duh, aisee.
Haya kila la kheri.
Halafu kamchango kao kazuri hakaumizi akili. Wakati wengine utasikia double laki...jamani (mtu ukisoma kadi ya mchango mpaka kichwa kinaanza kuuma, halafu ukute ni mtu wa karibu).
Ha ha ha haaa
 
47d7f62d602ca58e0b5c398e0201e970.jpg
6f31dfc767cad2cee10eaf19d686df53.jpg
9fecff5962b9672b9a1ddd5ef54052a8.jpg

Huna sababu ya kuwapongeza, wape pole maana moto hakika na wao. Hawawezi kuuepuka. Kuwa mkristo siyo jambo la kisipoti sipoti aisee.

Na kama Mbasha Emanuel anahamasisha ndoa badala ya kukemea jambo hili, naye moto ni halali yake.

Anyway, walete ushahidi wa maandiko.

Someni hapa kuhusu ndoa

11639145b26d759b3ac743c6675d3cba.jpg


4526e56724d94bc0d297568b83bb1fd7.jpg


Malizia na injili, maana wengine huwa hawaamini agano la kale

70de392e1e79eba6b422a3975df8d1d8.jpg
 
Sidhani kama huyu muoaji mpya ana hela, otherwise asingeomba michango.
OK kumbe wote wanao omba michago hawana hela? Tuambie ni mwanasiasa yupi unaowafahamu wako vizuri financially hawakuchagiwa. Yes kijana ni mtu wa kijijini kwetu na ni mtu bright kiakili. Pesa inatafutwa na maisha hayana formula
 
Lady Jaydee yeye kuolewa haina nogwa lakini Flora tu ndo hapana!!! "when I come to you...motherfck by 2PAC
 
Biblia inaruhusu kuaana pale utakapomfumania mwenza wako na mtu mwingine.
Na mkiachana mnaweza kurudiana tena??..Tuseme Leo Flora kaolewa na mwanaume mwingine,Wakafumaniana then wakaachana..Mbasha anaweza kumrudia tena wakafunga ndoa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom