Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hainaga makombo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahaha huyu bwana naye ni wa kolomije? i mean huyu mpya ngoja nimsake imma nimfariji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hainaga makombo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahaha huyu bwana naye ni wa kolomije? i mean huyu mpya ngoja nimsake imma nimfariji
Kwa wenye hela inawezekana.
Kuna kosa gani hadi ufikie kuita mtu kwa jina hilo ndugu. Binafsi nilifurahi sana kupata habari hii toka nyumbani ukizigatia kijana namfahamu sana. Jifunze ustaarabu na usifikiri suala la ndoa ni siri na ndiyo maana ndoa hutangazwa kwa muda kanisani ili mtu kama ana pingamizi aweke. Ila usifikiri mie matusi hayapoAISEE nyie mashilawadu umetumiwa kadi ya harusi unakuja kuichapisha jamii forums huo ni USENGErema wa kiwango cha PHD na ni ubashite
Siku zote watu wenye mtindio wa ubongo huhukumu binadamu wezao wakati na wao wanasubiri hukumu.Roho ya uzinzi na uasherati at work. Pathetic.
Hii inadhihirisha Binadamu tulivo mbumbumbu wa maisha, hatujui la kesho wala keshokutwa.hahaha huyu bwana naye ni wa kolomije? i mean huyu mpya ngoja nimsake imma nimfariji
Utasubiri hadi Trump atoke madarakaniOkay ngoja na mimi nijipange ili akiachana na Daudi nimdake mimi
Kwani shida ipo wapi..? Mm nilikuwa sifaham ila sasa nimefahamuHii kitu haikuwa na ulazima wa kuletwa jf
OK kumbe wote wanao omba michago hawana hela? Tuambie ni mwanasiasa yupi unaowafahamu wako vizuri financially hawakuchagiwa. Yes kijana ni mtu wa kijijini kwetu na ni mtu bright kiakili. Pesa inatafutwa na maisha hayana formulaSidhani kama huyu muoaji mpya ana hela, otherwise asingeomba michango.
Biblia inaruhusu kuaana pale utakapomfumania mwenza wako na mtu mwingine.Hivi taratibu za dini ya kikristo zikoje juu ya hili???..Unaweza kumuacha mke wako wa ndoa na kuoa mwanamke mwingine?
Leta maandiko wacha upoyoyo. Nyie watu wa kolomije mna shida sanaSiku zote watu wenye mtindio wa ubongo huhukumu binadamu wezao wakati na wao wanasubiri hukumu.
NINI HIYO KILA KITU KITAMU KWA PANDE ZOTE HAINA MAKOMBO WE UNAIFURAHIA PALE UNAPOIGEGEDA ATIIHainaga makombo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
MEANING?Hii inadhihirisha Binadamu tulivo mbumbumbu wa maisha, hatujui la kesho wala keshokutwa.
Na mkiachana mnaweza kurudiana tena??..Tuseme Leo Flora kaolewa na mwanaume mwingine,Wakafumaniana then wakaachana..Mbasha anaweza kumrudia tena wakafunga ndoa?Biblia inaruhusu kuaana pale utakapomfumania mwenza wako na mtu mwingine.