Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu.

Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni wezi, matapeli na wagai gai kabisa! Nakupongeza mchungaji Kimaro

"Bring back mchungaji kimaro"
 
Sasa sisi tufanyaje..

Wewe na Huyo Kimaro mkasilimu.

Mtuache na ukristo wetu.

Umesahau hao waislamu ndo wanaongoza kwa njaa,shida ,matatizo wadada wengi wanaojiuza vijana wavivu.

Wakristo wengi wamesoma na ndio walioshika nyadhifa nyingi Serikali na private sector.

Halfu alivyoongea hiyo kauli hiyo ni Tabia ya mtu wala sio DINi..

Namaliza kama unataka kuwa muislam mkaslimu.

Msituzoee na mtuache na ukristo wetu maana naona maneno yameanza kuwa mengi .

Tukigusa upande wao hata moderator wanafuta thread zetu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na hoja zako nzuri sana, ukweli sisi wakristo sio waaminifu, kimavazi, kimaongezi, kiimani..amenena vizuri. Sisi sio waaminifu.
 
Yesu Alikaimisha Mamlaka Yake kwa Kanisa!
[emoji116][emoji116]
Matthew 16:19
[19]Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Uaminifu ndio hoja.
Kama tunashindwa kuwa waaminifu Kwa kufuata yaliyomo kwenye Misahafu yetu mpaka inafikia kipindi MTU anaanzisha na dhehebu linalopingana na Aya za Biblia huoni mpaka hapo tunashida?
 
Sasa sisi tufanyaje..

Wewe na Huyo Kimaro mkasilimu.

Mtuache na ukristo wetu.

Umesahau hao waislamu ndo wanaongoza kwa njaa,shida ,matatizo wadada wengi wanaojiuza vijana wavivu.

Wakristo wengi wamesoma na ndio walioshika nyadhifa nyingi Serikali na private sector.

Halfu alivyoongea hiyo kauli hiyo ni Tabia ya mtu wala sio DINi..

Namaliza kama unataka kuwa muislam mkaslimu.

Msituzoee na mtuache na ukristo wetu maana naona maneno yameanza kuwa mengi .

Tukigusa upande wao hata moderator wanafuta thread zetu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Embu linganisha uaminifu baina yetu Sisi Vijana Wakristo Vs Waislam Kwa Hoja. Ili tupime je ELIONA KIMARO kakosea au yupo sahihi
 
Hakuna sehemu panapotupumbaza wa-TZ kama udini haswa Ukristo na Uislamu.

Ieleweke kwangu siwezi kujifia na tai shingoni kisa tu udini.

UPENDO kwa vitendo ndipo ninapopatikana kitabia.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Upendo NI nini?
Upendo unatafsiriwaje kiisimu? Kifalsafa, kiimani na kisheria?
Eleza MTU anawezaje kuwa na upendo Kwa mujibu wa Maana utakazozitoa
 
Utuachie ukristo wetu.. wewe nenda kasilimu tu..!!
Hapo kwenye riba, hao hao unaosema mabenki yao yanatoa mikopo bila riba, waislamu wangapi wanakopa huko kwenye mikopo yenye riba? AU DHAMBI NI KUKOPESHA TU KWA RIBA ILA WEWE KUKOPSHWA KWA RIBA SIYO DHAMBI..!!

Mtuache na ukristo wetu

Wewe kama sio Muislam lazima ukopeshwe Kwa Riba Kwa sababu wewe sio Ndugu Yao.
Wapi huelewi Mkuu
 
Utuachie ukristo wetu.. wewe nenda kasilimu tu..!!
Hapo kwenye riba, hao hao unaosema mabenki yao yanatoa mikopo bila riba, waislamu wangapi wanakopa huko kwenye mikopo yenye riba? AU DHAMBI NI KUKOPESHA TU KWA RIBA ILA WEWE KUKOPSHWA KWA RIBA SIYO DHAMBI..!!

Mtuache na ukristo wetu
Mkuu ukweli hata uwe mchungu vp we upokee
 
Kimoro aende tu kwenye dini ya haki badala ya kulia lia mitandaoni.

#mchagakapigwanawajanja

Kama kavunja taratibu Acha apigwe.
Hilo kwangu sioni kama ni tatizo.

Hapa ninachojadili ni uaminifu baina yetu Vijana WA Kikristo Vs Vijana wa Kiislam.
Wewe Kwa muono wako unaonaje?
 
Mwizi hana dini

Back
Top Bottom