Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

Mkuu umenena vyema kbsa...
Siku zote ukiona dini inafanywa kuwa nyepesi kwa ku modify baadhi ya sheria ujue ishakua ya kitapeli

Wapi sheria zimekuwa modified. Tofautisheni ukristo na Cults please.
 
Kwa hivyo siku hizi uaminifu ni suala la dini sio mtu binafsi. Juzi hapa Kuna mwislamu kakimbiwa na mke wake Dubai, hapo utasema dini inahusika. Naona siku hizi jf imekuwa platform ya kushambulia ukristo.

Uaminifu unajengwa na mafundisho, sasa dini zinamafundisho ambayo MTU anatakiwa kuyakubali, kuyafuata na kuyaamini.

Kwa uelewa wako unafikiri ni Kwa nini ukiwa Mahakamani unaapa Kwa Kutumia Biblia au Quran Kwa MTU mwenye dini?
 
Ila huku pwan wanavaa vzr hawa mabint lakn mbona wanaaongoza kwakugawa sana na kuachika kwa ndoa , mimi naona labda kam kuna sababu zngne si hiz

Wadada wa kisababo/ kikikrost wanavaa min ila had uu mre kasheshe.
Wenzetu wametuzidi sisi wakiristo hata kwenye mavazi ni hovyo sana tujirekebishe
 
Naon mtoa mada point zako hazijanishawish


Ila Jamaa kam hakuamin anachosimamia angeach peacefully akafanye anacho amin yeye
 
Hapa issue sio uaminifu kati ya mabinti wa kiislam na kikristo,ni statistic's tu-katika watanzania 10 kuna wakristo 8 na waislam 2 tu .So, katika Watanzania 60M unaweza ukajua wakristo ndio wengi-hivyo wataonekana zaidi kwa matendo yao na kwa kila kitu na wachache hawatoonekana
 
Vijana wa paulo wakisoma huu Uzi wakati wanakula kimtimoto na bia..

Screenshot_20230117-164635.png
 
Naelewa sana maana ya kuwa mkristo, sasa kama ukristo haufuati tabia za kristo tunasemaje..

Huyo sio mkristo. Huwezi kuita mtu mwanasheria na hajawahi kusoma sheria. Kisa tu alikuwa anahudhuria mahakamani.
 
Na vijana wa Nyika za Tanga wanaangukia wapi....

Sababu hizi Imani wala sio Jadi yetu...
 
Na vijana wa Nyika za Tanga wanaangukia wapi....

Sababu hizi Imani wala sio Jadi yetu...
 
Mkristo kitabu chake ni Biblia, wanatumia Biblia.
Mkristo siku ya ibada ni jumamosi au jumapili, wanaabudu siku hiyo ya jumapili,
Mkristo anaamini ufufuo na Ujio WA Kristo mara ya pili, nao wanaamini.
Ukristo ni kumkubali Yesu kama BWANA na mwokozi wa Maisha yetu,nao wanaamini hivyo.

Sasa kipi kinakufanya usiwaite kuwa ni Wakristo?

Naona hujui maana ya ukristo ndio maana unapuyanga kila siku. Ndio maana nikasema wewe una shida sehemu.
 
Usisahau kuwa pamoja na uwaninifu wao ndio kundi kubwa la waharifu nenda gerezani asilimia 80 wafungwa ni wao nenda mahabusu asilimia 90 ni wao,

Njoo kwenye malezi na ndoa
Single mothers asilimia 80 ni wao
Single fathers asilimia 80 ni wao

Twende uko mitaani asilimia 80 ya watoto wa mitaani ni wao

Yani kiufupi ni kundi linalozarisha waharibu na matatizo kwenye jamii
 
Sasa sisi tufanyaje..

Wewe na Huyo Kimaro mkasilimu.

Mtuache na ukristo wetu.

Umesahau hao waislamu ndo wanaongoza kwa njaa,shida ,matatizo wadada wengi wanaojiuza vijana wavivu.

Wakristo wengi wamesoma na ndio walioshika nyadhifa nyingi Serikali na private sector.

Halfu alivyoongea hiyo kauli hiyo ni Tabia ya mtu wala sio DINi..

Namaliza kama unataka kuwa muislam mkaslimu.

Msituzoee na mtuache na ukristo wetu maana naona maneno yameanza kuwa mengi .

Tukigusa upande wao hata moderator wanafuta thread zetu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hii stori ya mito ya POMBE huko peponi.... ishaanza kuleta madhara huku down stairs.... soon watahamia upande wa tutagida....
 
Hapa issue sio uaminifu kati ya mabinti wa kiislam na kikristo,ni statistic's tu-katika watanzania 10 kuna wakristo 8 na waislam 2 tu .So, katika Watanzania 60M unaweza ukajua wakristo ndio wengi-hivyo wataonekana zaidi kwa matendo yao na kwa kila kitu na wachache hawatoonekana

😂😂😂

Twende nchi za kiislam, kaangalie wanavaaje, kisha njoo nchi za Kikristo kaangalie wanavaaje.
Kisha kaangalie miongozo/Misahafu Yao inawataka wavae vipi, kisha uje na Majibu hapa Nani ni muaminifu wa kufuata kile kilichoamrishwa na Dini yake.

Nakuuliza swali, hivi unafikiri nchi hii ingekuwa ya kiislam ingekuwaje?
 
  • Thanks
Reactions: ITR
mchungaji kasema ukweli lakini ndo hivo.
Vijana wa Kikristo hawana hofu yoyote wanafanya mambo ya ajabu tu aisee kama vile hawana dini
Nenda kule zanzibar kwenye waislam wengi, kuna ustaarabu unauona hivi
zanzibar watu wanaogopa dhuluma, kitu cha mtu kinaogopwa kwa namna fulani, dereva taxii atakurudishia simu iliyosahaulika kwenye gari
Nini Chanzo
Mimi nadhani ni matunda ya mafundisho yetu yametufikisha hapo.
Na nina amini mengi ya madhehebu ya Kikristo ni fake
1.kuna maKanisa/ madhehebu yamehalalisha pombe, japo ulevi umekatazwa
2.Vitu vingi vinavyokatazwa na biblia tunaambiwa tupo agano jipya lisilo na amri yoyote bali Yesu tu
tunaambiwa tule chochote kwani vimetakaswa
3.Tunaambiwa/kufundishwa kuwa tuwe tu imani ,hakuna shida mbingu ni yetu

Na hicho ndicho tunapaswa kukiangalia Kwa uangalifu
 
Naona hujui maana ya ukristo ndio maana unapuyanga kila siku. Ndio maana nikasema wewe una shida sehemu.

Msingi WA dini yoyote ni Utiifu Kwa Mungu (uaminifu)
Sasa kama MTU sio muaminifu Kwa sheria za dini yake anazoamini ni sheria Mungu unategemea MTU huyo awe mwaminifu?

Unataka kusema Ukristo ni kinyume na Uaminifu?
 
Back
Top Bottom