Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

Sasa sisi tufanyaje..

Wewe na Huyo Kimaro mkasilimu.

Mtuache na ukristo wetu.

Umesahau hao waislamu ndo wanaongoza kwa njaa,shida ,matatizo wadada wengi wanaojiuza vijana wavivu.

Wakristo wengi wamesoma na ndio walioshika nyadhifa nyingi Serikali na private sector.

Halfu alivyoongea hiyo kauli hiyo ni Tabia ya mtu wala sio DINi..

Namaliza kama unataka kuwa muislam mkaslimu.

Msituzoee na mtuache na ukristo wetu maana naona maneno yameanza kuwa mengi .

Tukigusa upande wao hata moderator wanafuta thread zetu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu ukweli hata uwe mchungu vp we upokee
Uzuri wa imani, kila mmoja anajiona mkweli. Kunipa ukweli wako kwa kutumia imani unayoiamini wewe ni ujinga tu. Ni sawa na mimi leo aje muislamu aniambie kula kitimoto ni dhambi kisa kwenye uislamu wanaamini hivyo, ni ujinga tu. SIKU ZOTE, MABISHANO YA KIIMANI YATAISHA PALE TU MMOJA ATAKAPOHAMIA KWA MWINGINE. ILA KAMA KILA MMOJA ATABAKI KWAKE UBISHI NI HADI KIFO KIWATENGANISHE
 
Usisahau kuwa pamoja na uwaninifu wao ndio kundi kubwa la waharifu nenda gerezani asilimia 80 wafungwa ni wao nenda mahabusu asilimia 90 ni wao,

Njoo kwenye malezi na ndoa
Single mothers asilimia 80 ni wao
Single fathers asilimia 80 ni wao

Twende uko mitaani asilimia 80 ya watoto wa mitaani ni wao

Yani kiufupi ni kundi linalozarisha waharibu na matatizo kwenye jamii
Leta takwimu hapa za ukweli nikupe epsa achana na porojo za kijinga ..nyie wezi matapeli, wazinzi ,

Hao labda waislamu jina sio waumini..
 
Pamoja na hoja zako nzuri sana, ukweli sisi wakristo sio waaminifu, kimavazi, kimaongezi, kiimani..amenena vizuri. Sisi sio waaminifu.
Pia ni wavivu tunasubiri kupoke tu.I receive.Kiamaro yuko sahihi kwa Mimi ninaesali kwa Katunzi.
 
Nenda bar kahesabu katika waumini wa kikristo na waislamu ...Ninaposema waumini ni wle dini sana wanaenda kanisani na msikitini sio majina ..Then njoo uniambia Nan ni wengi?
 
Usisahau kuwa pamoja na uwaninifu wao ndio kundi kubwa la waharifu nenda gerezani asilimia 80 wafungwa ni wao nenda mahabusu asilimia 90 ni wao,

Njoo kwenye malezi na ndoa
Single mothers asilimia 80 ni wao
Single fathers asilimia 80 ni wao

Twende uko mitaani asilimia 80 ya watoto wa mitaani ni wao

Yani kiufupi ni kundi linalozarisha waharibu na matatizo kwenye jamii
Hii kauli ya kwamba walio magerezani wengi ni waislamu aliitoa Mwinyi alipokuwa madarakani
 
Kwani Africa Kabla ya Dini walikuwa wanaishi vipi? C tulikuwa na imani zetu na utamaduni wetu?
Hizi dini mlizoletewa na mungu wenu wa uongo mbona zinataka kuwachanganya akili? ukiwa mkristo au muislam halafu ukafata mafundisho ya kwenye bible au Quran totally unakuwa hauna akili ubongo wako unakuwa hauna tofauti na mavi
 
Exactly. I so agree. Unakuta mtu mweusi mpumbavu sana anakaa kujifanya yeye muislamu safi. WTF
 
Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu.

Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni wezi, matapeli na wagai gai kabisa! Nakupongeza mchungaji Kimaro

"Bring back mchungaji kimaro"
Uaminifu hauwi kwa watu wa imani ya dini fulani, ni tabia ya mtu binafsi awe mkristo, mwislamu au wa dini yoyote ile, na hata asiye na dini. Wapo wakristo wasio waaminifu na walio waaminifu. Wengi tu! Iko vivyo hivyo kwa waislamu na hata wasio na dini yoyote ile.
 
Back
Top Bottom