Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
Ila magaidi wengi ni waislamuUaminifu hauwi kwa watu wa imani ya dini fulani, ni tabia ya mtu binafsi awe mkristo, mwislamu au wa dini yoyote ile, na hata asiye na dini. Wapo wakristo wasio waaminifu na walio waaminifu. Wengi tu! Iko vivyo hivyo kwa waislamu na hata wasio na dini yoyote ile.