Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Pamoja na hoja zako nzuri sana, ukweli sisi wakristo sio waaminifu, kimavazi, kimaongezi, kiimani..amenena vizuri. Sisi sio waaminifu.Sasa sisi tufanyaje..
Wewe na Huyo Kimaro mkasilimu.
Mtuache na ukristo wetu.
Umesahau hao waislamu ndo wanaongoza kwa njaa,shida ,matatizo wadada wengi wanaojiuza vijana wavivu.
Wakristo wengi wamesoma na ndio walioshika nyadhifa nyingi Serikali na private sector.
Halfu alivyoongea hiyo kauli hiyo ni Tabia ya mtu wala sio DINi..
Namaliza kama unataka kuwa muislam mkaslimu.
Msituzoee na mtuache na ukristo wetu maana naona maneno yameanza kuwa mengi .
Tukigusa upande wao hata moderator wanafuta thread zetu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yesu Alikaimisha Mamlaka Yake kwa Kanisa!
[emoji116][emoji116]
Matthew 16:19
[19]Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Sasa sisi tufanyaje..
Wewe na Huyo Kimaro mkasilimu.
Mtuache na ukristo wetu.
Umesahau hao waislamu ndo wanaongoza kwa njaa,shida ,matatizo wadada wengi wanaojiuza vijana wavivu.
Wakristo wengi wamesoma na ndio walioshika nyadhifa nyingi Serikali na private sector.
Halfu alivyoongea hiyo kauli hiyo ni Tabia ya mtu wala sio DINi..
Namaliza kama unataka kuwa muislam mkaslimu.
Msituzoee na mtuache na ukristo wetu maana naona maneno yameanza kuwa mengi .
Tukigusa upande wao hata moderator wanafuta thread zetu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakuna sehemu panapotupumbaza wa-TZ kama udini haswa Ukristo na Uislamu.
Ieleweke kwangu siwezi kujifia na tai shingoni kisa tu udini.
UPENDO kwa vitendo ndipo ninapopatikana kitabia.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Utuachie ukristo wetu.. wewe nenda kasilimu tu..!!
Hapo kwenye riba, hao hao unaosema mabenki yao yanatoa mikopo bila riba, waislamu wangapi wanakopa huko kwenye mikopo yenye riba? AU DHAMBI NI KUKOPESHA TU KWA RIBA ILA WEWE KUKOPSHWA KWA RIBA SIYO DHAMBI..!!
Mtuache na ukristo wetu
Mkuu ukweli hata uwe mchungu vp we upokeeUtuachie ukristo wetu.. wewe nenda kasilimu tu..!!
Hapo kwenye riba, hao hao unaosema mabenki yao yanatoa mikopo bila riba, waislamu wangapi wanakopa huko kwenye mikopo yenye riba? AU DHAMBI NI KUKOPESHA TU KWA RIBA ILA WEWE KUKOPSHWA KWA RIBA SIYO DHAMBI..!!
Mtuache na ukristo wetu
Hapo ulipomalizia ndio umekosea kabisa. Hujui kwamba uislamu huenezwa kwa upanga ?
Kimoro aende tu kwenye dini ya haki badala ya kulia lia mitandaoni.
#mchagakapigwanawajanja
Kama kavunja taratibu Acha apigwe.
Hilo kwangu sioni kama ni tatizo.
Hapa ninachojadili ni uaminifu baina yetu Vijana WA Kikristo Vs Vijana wa Kiislam.
Wewe Kwa muono wako unaonaje?
Kama kavunja taratibu Acha apigwe.
Hilo kwangu sioni kama ni tatizo.
Hapa ninachojadili ni uaminifu baina yetu Vijana WA Kikristo Vs Vijana wa Kiislam.
Wewe Kwa muono wako unaonaje?