Amemaanisha Hao waislam wanaofata maadili ya quruan mbona wanakopa kwenye bank zisizo za kiisilam na wanatozwa riba?Wewe kama sio Muislam lazima ukopeshwe Kwa Riba Kwa sababu wewe sio Ndugu Yao.
Wapi huelewi Mkuu
Endelezeni uwizi,uwongo,usheratiUtuachie ukristo wetu.. wewe nenda kasilimu tu..!!
Hapo kwenye riba, hao hao unaosema mabenki yao yanatoa mikopo bila riba, waislamu wangapi wanakopa huko kwenye mikopo yenye riba? AU DHAMBI NI KUKOPESHA TU KWA RIBA ILA WEWE KUKOPESHWA KWA RIBA SIYO DHAMBI..!!
Mtuache na ukristo wetu
Sawa mia khalifaHata wadangaji, wengi ni wakristo.
Ukristo imekuwa dini ya dili tuKama kavunja taratibu Acha apigwe.
Hilo kwangu sioni kama ni tatizo.
Hapa ninachojadili ni uaminifu baina yetu Vijana WA Kikristo Vs Vijana wa Kiislam.
Wewe Kwa muono wako unaonaje?
Imejaaa matapeli tuMkuu umenena vyema kbsa...
Siku zote ukiona dini inafanywa kuwa nyepesi kwa ku modify baadhi ya sheria ujue ishakua ya kitapeli
Umejaaa umly uongo utapeliWenzetu wametuzidi sisi wakiristo hata kwenye mavazi ni hovyo sana tujirekebishe
Sahihi 100%Mtu anaemtumikia Mungu wa kweli hatashushwa na mwanadamu.
Mungu atamuinua zaidi. Jipe mda kuujua ukweli
truth naked aisee!!! lakini ata waislam kuna ki2 wanasaliti,hayakatazwa kula nguruwe tu,,,no,,,pia bata,sungura na kamabale lakini wao wanakomaa na ngurue,pia wanashindwa kutofautishakati ya mila za kiarabu na uislam,,,alaf waslam wengi waliooa wake wengi hawataingia mbinguni kwani q'ran tujufu inasisitiza kutokuwepo kwa upendeleo unapodeal na wake zako,yaani kuwe na haki sawa!!{hili ni jambo gumu sana kwao na kwangu pia}....then wanamdharau MARIAM {mama yake ISSA-YESU}...}wakati ukisoma SURATUL MARIAM inaelezea waziwazi kwamba MARIAM ni mwanamke aliyebarikiwa na aliye na daraja la juu kabisa kuliko mwanamke yeyote aliyewahi kutokea zamani sasa na wakti ujao na wala hajaonja mauti{nadhani tatizo ni kutoelewa lugha iliyoandikiwa kwenye q'ran--wamebaki kukariritu}'''''''''''then wakati wao waislam wakiwaita majini kuwa ni viumbe kama sisi na wanakufa na siku ya kihama watahukumiwa kama wanaadam{soma SURATUL JINN}..na hao majinni pia yanaingia misiskitini kuswali na ndo manake waislam wanaposali wanageuka kushoto na kulia ili kuwapa hao jamaa salaam kwani hawaonekani kwa macho mpaka waamue kujigeuza kna kupata mwili wautakao,,,wakati hayo ya majini yakijiri hivo kwa upande wa waislam,wakriso kwa upande wao majinni ni PEPO wachafu na cha ajabu majinni wanaogopa kuingia makanisani kwani linapotajwa jina la YESU huwa wanaungua@!!!!!......naa unajua kwa nini maeneo au nchi zenye waislam wengi kama SOMALIA IRAN,AFGHANSTAN ,ZANZIBAR na kwingineko hawapendi makanisa yajengwe? do you know why? kwa sababu waskaj wao hao MAJJIN wanapata shida sana na wanateseka sana linapotajwa jina la YESU,,,na ujue waislam wanashirikiana katika riski kwani majinni yanatumika ktk utaftaji aisee,,nahapo ndo utagundua kwamba mtume MUHHAMD Hawasaidii waislam kwa sasa kwani nae anasubiri ISSA BIN MARIAM ashuke kuhukumu siku ya kiama ndo nae afufuke THAT IZ WHY WAISLAM HUWA WAKISEMA"TUMSWALIE MTUME-yaani anahitaji maombi huko aliko}..na wakriso wao wanamtegemea YESU aliye hai,,kwani kwa mujibu wa Q'RAN tukufu ISSA hakuuwawa kwani alibadilishiwa mtu akauwawa badala yake nae ISSA linyakuliwa kwenda mbinguni...na hapo utabaini ukweli flan kwenye BIBLIA TAKATIFU kwani YESU alipozidiwa na adhabu SIMON WA KIRENE alilazimishwa na askari amsaidie YESU msalaba,,,,anzia hapo na utaujua ukweli baada ya utafiti wako!!Sasa sisi tufanyaje..
Wewe na Huyo Kimaro mkasilimu.
Mtuache na ukristo wetu.
Umesahau hao waislamu ndo wanaongoza kwa njaa,shida ,matatizo wadada wengi wanaojiuza vijana wavivu.
Wakristo wengi wamesoma na ndio walioshika nyadhifa nyingi Serikali na private sector.
Halfu alivyoongea hiyo kauli hiyo ni Tabia ya mtu wala sio DINi..
Namaliza kama unataka kuwa muislam mkaslimu.
Msituzoee na mtuache na ukristo wetu maana naona maneno yameanza kuwa mengi .
Tukigusa upande wao hata moderator wanafuta thread zetu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ukristo Una Tbs!Uaminifu ndio hoja.
Kama tunashindwa kuwa waaminifu Kwa kufuata yaliyomo kwenye Misahafu yetu mpaka inafikia kipindi MTU anaanzisha na dhehebu linalopingana na Aya za Biblia huoni mpaka hapo tunashida?
Kama wote watakuwa waaminifu jehannam isingekuwepo!Uaminifu ndio hoja.
Kama tunashindwa kuwa waaminifu Kwa kufuata yaliyomo kwenye Misahafu yetu mpaka inafikia kipindi MTU anaanzisha na dhehebu linalopingana na Aya za Biblia huoni mpaka hapo tunashida?
Wizi hauna dini.Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu.
Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni wezi, matapeli na wagai gai kabisa! Nakupongeza mchungaji Kimaro
"Bring back mchungaji kimaro"
Kiongozi wa wakristo akisema maneno hayo ni mpumbavu kabisa.Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu.
Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni wezi, matapeli na wagai gai kabisa! Nakupongeza mchungaji Kimaro
"Bring back mchungaji kimaro"
Hamzidi Yesu Aliyewazogodoa hata watu Alio Wafia Msalabani na kuwaita mbweha, nyoka wana wa majoka, na wengine aliwatandika bakora za makalio...Kiongozi wa wakristo akisema maneno hayo ni mpumbavu kabisa.
Kwa nini nasema hivi?
Ni hawa hawa viongozi wanahamasisha waumini wao watafute pesa kwa njia yoyote.Ni hawa hawa viongozi wanawabagua vijana wasio na mali hata kama ni waadilifu sana.
Ni hawa hawa viongozi wanaendekeza matumizi makubwa ya pesa kwenye mahari na arusi za kifahari.Kwa nini mtu asiibe huko TRA n.k ili apate heshima kanisani?
Imefika mahali watoto wa kikristo wanakuwa na mahusiano na waabudu shetani ili wapewe magari mazuri.
Viongozi wengi wa kikristo ni masonic na wana support sana mambo ya kushetani kwani yanawapa maisha mazuri ya kifahari.Kwa nini vijana wanaowaongoza wasiige?
Simuungi mkono kuwalaumu vijana kwani yeye ameshiriki kuwafanya wawe hivyo.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sasa sisi tufanyaje..
Wewe na Huyo Kimaro mkasilimu.
Mtuache na ukristo wetu.
Umesahau hao waislamu ndo wanaongoza kwa njaa,shida ,matatizo wadada wengi wanaojiuza vijana wavivu.
Wakristo wengi wamesoma na ndio walioshika nyadhifa nyingi Serikali na private sector.
Halfu alivyoongea hiyo kauli hiyo ni Tabia ya mtu wala sio DINi..
Namaliza kama unataka kuwa muislam mkaslimu.
Msituzoee na mtuache na ukristo wetu maana naona maneno yameanza kuwa mengi .
Tukigusa upande wao hata moderator wanafuta thread zetu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wewe sio muaminifu. Umetunga takwimu za uongo😅😅Usisahau kuwa pamoja na uwaninifu wao ndio kundi kubwa la waharifu nenda gerezani asilimia 80 wafungwa ni wao nenda mahabusu asilimia 90 ni wao,
Njoo kwenye malezi na ndoa
Single mothers asilimia 80 ni wao
Single fathers asilimia 80 ni wao
Twende uko mitaani asilimia 80 ya watoto wa mitaani ni wao
Yani kiufupi ni kundi linalozarisha waharibu na matatizo kwenye jamii
Usisahau kuwa pamoja na uwaninifu wao ndio kundi kubwa la waharifu nenda gerezani asilimia 80 wafungwa ni wao nenda mahabusu asilimia 90 ni wao,
Njoo kwenye malezi na ndoa
Single mothers asilimia 80 ni wao
Single fathers asilimia 80 ni wao
Twende uko mitaani asilimia 80 ya watoto wa mitaani ni wao
Yani kiufupi ni kundi linalozarisha waharibu na matatizo kwenye jamii