Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Ni pasco huyu huyu wa humu au ni mwingine?
 
Sasa huyu muandamizi wetu ameshindwa kujua kwamba kwanini Raisi alitumia Bunge kutoa hio hotuba.hajui kwamba Rais anafanya mambo kwa itifaki.
 
Aisee kweli, hata mimi nimesikia. Bravo Paskali
 
Safi sana, ndio swali pekee lililompa shida Rais kulijibu, kalijibu kisiasa sana
 
Hongera sana Pascal, nmejisikia fahari sababu umetoka kwenye jukwa letu ,lkn ajabu ya mkuu kajibu kiutani utani na maswali mengine hajajibu daaaaaaa
 
mi nimefurah kaipaisha jamii foroum tu..hv hajui kua katiba ndio inayompa madaraka?????lkatiba ya tanzania si ya marekani.
 
Nimefurahishwa sana na swali la pasco....najivunia kuwa jukwaa moja na mwandishi kama huyo hapa jf, like swali mpk nimemuona mheshimiwa Rais akitoka nje ya mood...... heko Pascal......sio hao waandishi wengine wanajikomba na maswali mepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…