Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Ni rahisi sana kuwanasa watu wa kanda ile kwenye 'misifa' jamaa aliikana hii real ID yake mara kadhaa ila nimeshangaa leo anatembea nayo kifua mbele!!

Kama Mtukufu tu ni rahisi sana kumwondoa kwenye key ukimpa sifa au ukimkosoa!!

Ila nimebaki kucheka tuuu... kumbe pasco ni mdogo wangu Pascal Mayalla!!!

But nampongeza kwa 'kipaji' kinamuweka mjini kimtindo!!
 
Mkuu Nico, nimekuelewa na kiukweli umefanya uamuzi wa busara sana, kwa kutokwenda kwenye ile link, ungeishia kupoteza tuu muda wako bure.

Paskali
 
ID ya Pascally Mayala ipo humu miaka mingi!!
 
Ni naisi zaidi ukaribu wao kutumika hata ktk mambo serious ya kitaifa.Hawajali sana kupeana dili .
 
Mkuu Lusungo asante, ni kweli kinachoniweka mjini ni kipaji tuu, vyeti vya elimu viko kabatini.

Paskali
Kwa nini usimalizie ni UKARIMU WA KINYUMBANI+ UKANGAROO. Kinachonishangaza kwanini miaka yote hujasimama kwa miguu yako,hata umrudie Mungu na kuwa mtu mwenye kujiamini?Sasa km mpo 300 hapo dar taifa litakuwa na vidili vya ukarimu kiasi gani?Ndio maana CCM wanaokolewa na nyie. Ndio maana wengine wana vyombo vikubwa vya habari ila zaidi ya kukaa ktk kivuli cha ccm wangefilisiwa tuu. Kwa maisha haya Pascal, sidhangai kwanini siku zote mpo busy kushambulia kanda fulani na kudai wasahau nchi.
 
Kwani Pasco amekudhurumu nini ewe kiumbe?

Ina maana wewe hupendi connection za kupiga pesa?

Badoo sikuelewi point yako ni nini hasa? Naona unatomboka.
 
Pasco umeenda kutushtaki kwa magu jamiiforum mwenyewe hata haifahamu
Mkuu nadhani pasco ameona mbali mpaka amesema yupo Jamii forum...ni kama vile kumvuta rais gasometer mada zake...na kutambua uwepo na mchango wake pasco.
Uteuzi unafata....
 
Anatokea Tanzania. Queen Esther ni mzalendo hasa.
Ha ha ha ha ha
Sasa km ni mzalendo kwann anakashifu majina yetu ya kiafrika?
Mayalla jina tamu sana lenye maana murua kbsa ya kitanzania.

Queen Esther siyo mzalendo bali ni mtumwa wa wazungu angekuwa mzalendo asingekashifu majina yetu.

Unaitwa Queen Esther halafu haujatoka kwenye ukoo wwte wa kifalme. Ww utakuwa chiz kbsa.
 
Kwani Pasco amekudhurumu nini ewe kiumbe?

Ina maana wewe hupendi connection za kupiga pesa?

Badoo sikuelewi point yako ni nini hasa? Naona unatomboka.
Ukangaroo na upuuzi ktk issue za kitaifa ni makosa kwa kila raia mwenye akili timamu.
 
Very tricky question ongera Pascal Mayalla
Tatizo hilo swali Pascal hakupanga liwe win-loose ila WIN_WIN. Ni kwamba CCM siku zote hupanda vitu zaidi ya uwezo wao wa kuvifanya matokeo yake huwa sio waliyotegemea
 
Tatizo hilo swali Pascal hakupanga liwe win-loose ila WIN_WIN. Ni kwamba CCM siku zote hupanda vitu zaidi ya uwezo wao wa kuvifanya matokeo yake huwa sio waliyotegemea
Ulimwengu "unaoishi" ni wa kipekee. Usiishi na kufikiri ndani ya nafsi yako. Unaweza kuona kila Mtu ni adui yako
 
Wote wameweka rekodi zinazofanana,Mayalla kaweka rekodi ya kuuliza swali bora zaidi kuzidi wanahabari wenzake wote na mh rais kaweka rekodi bora kwa kushindwa kujibu swali aliloulizwa zaidi ya marais wenzake wote waliomtangulia.
 
Aisee maswali kama haya ndiyo hufanya CCM wakimbie midahalo,na si ajabu huu ndio ukawa mwanzo na mwisho kwa mh rais kuulizwa maswali live na kujibu maswali live,maana yake kigongo hiki hakikuwa cha kawaida na mh rais hakutegemea kama angeweza kuulizwa swali kama hili tena kwa ujasiri mkubwa kiasi hiki,kwa vyovyote vile mh atakuwa aliondoka huku ubongo ukiwa unatoa cheche ndani kwa ndani,kumbe mh rais anapopiga marufuku mikutano ya siasa ana fanya hivyo kwa kujihami ili asiwe ana kutana na vigongo kama hiki.
 
Acheni ukabila ....naona kuna watu wanajaribu kuunga ukabila kuchafuana tu ....JPM na Pasco si kabila moja kama mnavyotaka kuungaunga ....
 
Muyluza swali anajua kuongea.anaonekana anauelewa wa hali ya juu katika kupangilia maneno kuanzia jinsi ya kupanga neno la kwanza,lipi lifuate na amalize vipi.swali ni la msingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…