Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
paskal mayala apewe tuzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizbon hajauliza kuwa kuna watu wana Imani na ukwa??? Je rais unalisemeajeKamuuliza kuwa kapata wapi mamlaka ya kuzuia safari za watumishi nje wakati kuna mihimili mitatu na yote inajiongoza yenyewe? Pia kwa nini mikusanyiko ya kisiasa inatambulika na katiba lakini yeye kaizuia wakati aliapa kutumikia nchi kwa mujibu wa katiba?
Kama wangekuwepo hata watano tuu wenye mwelekeo wa Pasco hakika angependa hayo masaa mawili ya ishe aondoke, lakini kwa vile waliopo wengi ni makanjanja basi kawaambia waulize mpaka wachoke wenyewe.
Katiba ya nchi. Hujui kwamba Rais ni Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Nchi?Kwa mamlaka yapi????
Hapana, huyu ni wa LumumbaNdio yule mkuu anajiita Pasco
Halafu mwisho akamaliza kwa kusema Mayala hoyeeeeMaana ya Mayala ni "njaa" kwa kisukuma,amesema Magufuli
Kweli Mayalla ameuliza maswali ya msingi sana na bahati mbaya rais amekwepa kujibu swali kuhusu kuzuia shughuli za kisiasa na Tido kachangia kwa kulipotezea swali hilo na kukimbilia kwenye swali jingine
naunga mkojoWakuu JF Amani iwe Nanyi.
Sina mengi ya Kuongea, ila Hongera sana Mwana JF kwa Pascal kwa Maswali yako Mujarabu Kabisa
Wangepatikana watu kumi kama wewe Leo Pale Pangechimbika, Ki Msingi swali lako halikuwa na Majawabu.
JF Mubashara leo ilikuwa Bora kuzidi Vituo vyote vya Habari including kile kinachoendeshwa kwa PAYE zetu.
Nimefuatilia Live Coverage through JF Bila Chenga, kwingine ilikuwa ni Full Chenga.
JF is everywhere, imetisha Mpaka ndani ya Jumba Jeupe
Muwe na Siku Njema
Note
Mods Naomba huu uzi usimame kama ulivyo, Huu ni Uzi wa Pongezi
Henry Mhanika alikuwa amehamaki hana utulivu hata kidogo.Hata Mr Muhanika kauliza maswali ya msingi sana
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
Kwanza kaanza kwa kuitaji JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
Kwanza kaanza kwa kuitaji JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.