Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Kuna maswali ukiuliza tuu utajulikana kama umetumwa alafu yanashusha cv yako muda mwingine bora unyamaze ili watu wajue huna swali kauliza upuuzi tuu
Unahisi alitumwa eti,lakni anakuambia alishawah kumuuliza swali hilihili Sababa,kasema hivyo huko star tv asubhi ya leo
 
Kuna maswali ukiuliza tuu utajulikana kama umetumwa alafu yanashusha cv yako muda mwingine bora unyamaze ili watu wajue huna swali kauliza upuuzi tuu
Kama swali lake lilikuwa ni la kipuuzi naomba unitajie aliyeuliza swali la maana.
 
Katika maswali ya hovyo kabisa kuulizwa jana na wanahabari ni lile lililotoka kwa Pascal Mayala.

Unawezaje kuuliza ni kwa mamlaka gani aliyopata rais ndani ya mihimili 3 iliyopo yaani bunge, serikali na mahakama kwa yeye kujitwalia mamlaka ya kubana matumizi?

Kwanza napenda ifahamike kuwa pamoja na kuwepo kwa mihimili 3 inayojitegemea bado ifahamike kwamba inaingiliana Katika Utendaji.

Na Katika muingiliano huu ifahamike kwamba katiba yetu inamtambua rais kama:

1. Sehemu ya bunge na anawakilishwa na Waziri mkuu Bungeni.

2. Rais ndiye msimamizi mkuu wa mipango yote ya ukusanyaji na matumizi ya fedha za umma Katika nchi yetu.

3. Rais ndiye msimamizi mkuu wa Utendaji kazi kwa watumishi wote wa umma Katika nchi yetu. Iwe ni kwenye fedha, afya, ulinzi, usalama, Elimu n.k.

Bunge na mahakama ni taasisi za umma na watendaji wake ni watumishi wa umma wanaowajibika kuteleza sera zinazopangwa na kusimamiwa na raisi Katika matumizi ya fedha za umma.

Hivyo Swali la Pascal Mayala hali kuwa bora bali lilionyesha hafaham vema katiba yetu na majukumu ya rais wetu.

Alipaswa ajifunze kabla ya kuuliza.

Kwa wale mnaomshangilia mnaonyesha pia mnahitaji kufahamu haya.
 
Hakuna Kitu umeandika ww ..Utumbo Mtupu.
Ungepata akili ya kuuliza swali kama la Mayalla na Ile Confedence yake ...nadhani Ungekua kiherehere saana Ww .
Mod Futa Huu upuuzi hapa .
 
Katika maswali ya hovyo kabisa kuulizwa jana na wanahabari ni lile lililotoka kwa Pascal Mayala.

Unawezaje kuuliza ni kwa mamlaka gani aliyopata rais ndani ya mihimili 3 iliyopo yaani bunge, serikali na mahakama kwa yeye kujitwalia mamlaka ya kubana matumizi?

Kwanza napenda ifahamike kuwa pamoja na kuwepo kwa mihimili 3 inayojitegemea bado ifahamike kwamba inaingiliana Katika Utendaji.

Na Katika muingiliano huu ifahamike kwamba katiba yetu inamtambua rais kama:

1. Sehemu ya bunge na anawakilishwa na Waziri mkuu Bungeni.

2. Rais ndiye msimamizi mkuu wa mipango yote ya ukusanyaji na matumizi ya fedha za umma Katika nchi yetu.

3. Rais ndiye msimamizi mkuu wa Utendaji kazi kwa watumishi wote wa umma Katika nchi yetu. Iwe ni kwenye fedha, afya, ulinzi, usalama, Elimu n.k.

Bunge na mahakama ni taasisi za umma na watendaji wake ni watumishi wa umma wanaowajibika kuteleza sera zinazopangwa na kusimamiwa na raisi Katika matumizi ya fedha za umma.

Hivyo Swali la Pascal Mayala hali kuwa bora bali lilionyesha hafaham vema katiba yetu na majukumu ya rais wetu.

Alipaswa ajifunze kabla ya kuuliza.

Kwa wale mnaomshangilia mnaonyesha pia mnahitaji kufahamu haya.
Hivi CCM mnawaza kwa kutumia nini?
 
Atajifunzaje bila kuuliza? Ameuliza ili afahamu kosa lake lipi hivi nchi hii kuuliza ni kosa?
 
Hahahaha chinekeh!!! Umewaza mwenyewe [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Katika maswali ya hovyo kabisa kuulizwa jana na wanahabari ni lile lililotoka kwa Pascal Mayala.

Unawezaje kuuliza ni kwa mamlaka gani aliyopata rais ndani ya mihimili 3 iliyopo yaani bunge, serikali na mahakama kwa yeye kujitwalia mamlaka ya kubana matumizi?

Kwanza napenda ifahamike kuwa pamoja na kuwepo kwa mihimili 3 inayojitegemea bado ifahamike kwamba inaingiliana Katika Utendaji.

Na Katika muingiliano huu ifahamike kwamba katiba yetu inamtambua rais kama:

1. Sehemu ya bunge na anawakilishwa na Waziri mkuu Bungeni.

2. Rais ndiye msimamizi mkuu wa mipango yote ya ukusanyaji na matumizi ya fedha za umma Katika nchi yetu.

3. Rais ndiye msimamizi mkuu wa Utendaji kazi kwa watumishi wote wa umma Katika nchi yetu. Iwe ni kwenye fedha, afya, ulinzi, usalama, Elimu n.k.

Bunge na mahakama ni taasisi za umma na watendaji wake ni watumishi wa umma wanaowajibika kuteleza sera zinazopangwa na kusimamiwa na raisi Katika matumizi ya fedha za umma.

Hivyo Swali la Pascal Mayala hali kuwa bora bali lilionyesha hafaham vema katiba yetu na majukumu ya rais wetu.

Alipaswa ajifunze kabla ya kuuliza.

Kwa wale mnaomshangilia mnaonyesha pia mnahitaji kufahamu haya.
Unaelewa nini tunapo sema mihimili mikuu ya serikali
 
Ww ndio umeandika thread ya hovyo kabisah...kama ulikuwa na maswali makini ungeungana nao ukaulize kule ikulu jana na mwisho ungepata tunzo bhas na sio kukosoa aliyeweza kuuliza swali la msingi
 
Ameuliza ili ajue ....si ndio maana ya kuuliza swali??
 
Sheria ya kutembea na silaha kama marekani ingekuepo huku nadhani vichaa km hawa ingebaki story
 
Back
Top Bottom