Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

Kwa hili HE Dr. Samia Hassan anastahili pongezi nyingi sana
 
Kumbe CCM tungeamua tu, hata ndoo ya AfCON tungeibeba!
 
Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha.

Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika kuleta Maendeleo ya nchi. Kwa kweli tumefanikiwa sana na naona huko mbeleni tutakuja kufanya makubwa zaidi ya haya.

Angalau tumepata faraja katika kipindi hiki cha majonzi kwa kuwa na wawakilishi wawili kimataifa. Si jambo dogo. Ni maendeleo makubwa sana.
Chizi Maarifa again!
 
Hebu Imagine Raisi wa Brazil ambae hata huwa hasifiwi angekuwa wa Taifa hili la masikini wa kifikra labda wangesema Raisi ajengewe masanamu ya pure goldi 🤔
 
Jinga lingine hili, hiyo 10M kwa goli kwenye football ndo mchango!? Unajua Bonus na gharama zinazotumika kuendesha team? Hizo bonus zimezisaidia nini Azam na Singida FG zilizokuwa sirikisho? Na zimeisaidia vipi Team ya CCM Taifa Stars?
Jinga lenzake na Chizi Maarifa!
 
Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha.

Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika kuleta Maendeleo ya nchi. Kwa kweli tumefanikiwa sana na naona huko mbeleni tutakuja kufanya makubwa zaidi ya haya.

Angalau tumepata faraja katika kipindi hiki cha majonzi kwa kuwa na wawakilishi wawili kimataifa. Si jambo dogo. Ni maendeleo makubwa sana.
We @chizimaarifa Ni uongozi wa timu na makocha pamoja na juhudi za wachezaji ndiohuleta mafanikio.
Samia kazi yake Ni pamoja na kuhakikisha Bei ya sukari imeshuka toka 5000 Hadi angalau 3k, umeme haukatiki Kama Jana kutwa nzima, nauli hazipandi kiholela Kama ilivyo sasa.
Sukari tu zaidi ya mwezi Sasa no light in the tunnel. Umeme wamewasha mtambo 9 no Ray of hope.
Kumbe kajikitakwenye mpira.
 
Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha.

Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika kuleta Maendeleo ya nchi. Kwa kweli tumefanikiwa sana na naona huko mbeleni tutakuja kufanya makubwa zaidi ya haya.

Angalau tumepata faraja katika kipindi hiki cha majonzi kwa kuwa na wawakilishi wawili kimataifa. Si jambo dogo. Ni maendeleo makubwa sana.
Hiyo sifa unaitoa kwa msingi upi.
Ungekuwa na ufahamu ungezipeleka kwa wakufunI wa timu na wakurugenzi wao.
Huyu unayempa sifa alikuwa na kipaumbele cha kutangaza dau ungeelekeza hapo.
Shida waTanzania wengi ni machawa kupindukia.
 
We n msengeleeeee... Samia alikuwa uwanjani?
 
Back
Top Bottom