Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

TISS mnafanya kazi nzuri sana.Kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo anajua hilo. You are doing a wonderful job for our great nation. Mnasitahili sifa zote. Mungu awabariki sana.

Nchi sasa iko barabarani. Mambo ya msingi yote yanaenda vizuri. Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo. Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sababu ulitisha.

Hatujawahiona uwezo wa TISS wa hali ya juu wa kumlinda Commander in Chief of the Armed forces kama ule. TISS you are good in all terms.Keep it up. We love you, we respect you. Songeni mbele kwa mwendo huo. Tutafika.

I am proud of our TISS.

Ni jambo la kheri kabisa kuona watanzania sasa tunaanza kuitambua idara ya TISS na umuhimu wake kwa kuimarisha ulinzi na usalama wa taifa, viongozi na miundombinu yote mikuu, viwanja vya ndege na njia zote za usafiri pamoja na uchumi wa taifa.

Wale wanaodai TISS kujihusisha na mauaji kama yale ya Kibiti wanaokosea kwani hiyo ni kazi ya IGP Sirro na vijana wake.

Kazi ya jasusi ni kuwa msiri yaani "discreet" ukisoma hali zote na kukusanya taarifa zote muhimu ambazo ndizo zitakazoifanya idara ifanikiwe au ifeli.

Huko nyuma kulikuwa na kuyumba kwa kiasi kikubwa lakini sasa TISS ni imara na imerudia hali yake ya kawaida yaani mtu kama Sethi aliezoea kuondoka Tanzania kupitia VIP lounge, leo hii yuko rumande akisubiri kesi iendelee.

Tujikumbushe mtizamo wangu kuhusu TISS niloutoa mwezi Octoba 2016

Wazee Mwang'onda na Hassy Kitine waasisi wa TISS imara Tanzania
 
UBORA wa KITENGO chochote au IDARA ni KUGUNDUA na kuzuia TATIZO lisitokee kwa maoni au mtazamo wangu WAKENYA wako juu kuliko hata WATANZANIA ref:MATUKIO yanayoendelea KIBITI mpaka leo SERIKALI hawajagundua chanzo chake
Unauhakika hawajagundua chanzo chake? Kama jibu ndio, we we umejuaje? Je wakisema we we unakifahamu chanzo ukamatwe uisaidie Polisi kuna ubaya?
 
hata mimi na elimu yangu ndogo najua kuwa ufanisi wao kwasss ni mzur sana ila unanichanganya kuwahusisha na hizo megawat 2100?kwan wao siku hizi ni wajenzi au umeongelea tiss ya tofauti na usalama wa taifa.........
Ukisona vizuri Act zao zipo mitandaoni utaelewa vizuri, hao jamaa wanahusika na intelligence ya kila kitu nchini na kuishauri Serikali, zaidi ya ulinzi na usalama, uchumi, siasa. Kwakweli jamaa wako active sana zamu hii. Hata mie nawapongeza
 
Awamu zote walikuwa wanafanya kazi Ila watekelezaji ndio walikuwa shida

There you are!!! Mi naweza sema ilifikia mahala walikatishwa tamaa na watendaji kutokufanyia kazi mambo yao!!!! Na wengine wachache "rogue elements" wakaungana na wapiga dili kupiga dili!!!!!!
 
nimekuja mbio nikajua hao TISS wamefanya jambo la maana kutegua jaribio la kumdhuru raisi nakutana na bunduki walizo beba na nguo mpya

yaani unapongeza kwa kubeba bunduki na nguo mpya machoni petu

Tiss ni oparesheni sio upuuzi wa kubeba bunduki kama za kwenye video
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Naamini Rais wa awamu ya sita atakuta hamna wapiga dili otherwise ni majanga tu
Kesi za ununuzi wa ndrge kienyeji kwa cash, ujenzi wa chato Airport, reli na ukarabati wa bandari zitaibuliwa na Rais wa 6
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwanza yale ni mabehewa na siyo vichwa mweleze kilaza wenu hivyo...na tangu lini behewa za Gwajima zikawa na chata la TRL we mburula?
Kwahyo we we uliyeangalia picha kwenye mtandao ndio ndio unamacho, na akili ya kutofautisha behewa na kichwa kuliko wale waliokuwa bandarini na kuyakagua? Hebu kueni na aibu kulazimisha ujuaji, sio lazima ucoment kila kitu
 
TISS mnafanya kazi nzuri sana.Kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo anajua hilo. You are doing a wonderful job for our great nation. Mnasitahili sifa zote. Mungu awabariki sana.

Nchi sasa iko barabarani. Mambo ya msingi yote yanaenda vizuri. Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo. Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sababu ulitisha.

Hatujawahiona uwezo wa TISS wa hali ya juu wa kumlinda Commander in Chief of the Armed forces kama ule. TISS you are good in all terms.Keep it up. We love you, we respect you. Songeni mbele kwa mwendo huo. Tutafika.

I am proud of our TISS.
TISS mnafanya kazi nzuri sana.Kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo anajua hilo. You are doing a wonderful job for our great nation. Mnasitahili sifa zote. Mungu awabariki sana.

Nchi sasa iko barabarani. Mambo ya msingi yote yanaenda vizuri. Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo. Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sababu ulitisha.

Hatujawahiona uwezo wa TISS wa hali ya juu wa kumlinda Commander in Chief of the Armed forces kama ule. TISS you are good in all terms.Keep it up. We love you, we respect you. Songeni mbele kwa mwendo huo. Tutafika.

I am proud of our TISS.

Huu ni muendelezo wa makofi,vigeregere,maandamano na mauno kwa kila jambo,kweli Tanzania kama nchi ni ajabu jingine la dunia,huku watu na vyote vilivyomo ni vivutio vya utalii.Kwa akili hizi alafu kuna mtu anajisifu kuwa yeye ni kiongozi,kumbe uongozi kaupata kwa kuchaguliwa na wehu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kukutaarifu tu TAMISEMI wanafanya uchunguz juu ya upotevu wa zaidi ya mil 200 juzi Jafo amesema.

Na leo vichwa vya treni vimekutwa huko vinesukumwa nje ya bahar havijulikani vya nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanajua vichwa ni vyao lakini wameamua kutengeneza Sinema ili baadae wajidai kuvitaifisha kwa kukosa mwenyewe ni mwendelezo wa matukio lengo likiwa ni kuwasahaulisha juu ya vyeti vya Daud Bashite mpaka ifike 2020.
 
Mkuu hao jamaa wanafanya kazi tukufu sema tu ndio hivyo hawatangazwi, kazi nyingi na nyeti kwa nchi hii wanafanya lkn sifa zinakwenda kwa wengine maana maadili hayaruhusu kutangazwa, hata huko nyuma walifanya lkn mchukua maamuzi aliwaangusha hivi hamjiulizi ile orodha ya madudu bandari aliyokabidhiwa PM Majaliwa pale bandari ilitoka wapi? ilikuwepo mezani kwa mtu tayar lkn ndio hivyo tena hakuna wakumlazimisha achukue hatua ndio maana nashauri Sheria ya TISS ifanyiwe marekebisho hawa jamaa wapewe meno mtaona mambo yatakavyokuwa good maana sheria ya sasa inawawajibisha chini ya Rais so akitokea Rais asiyechukua hatua vitu vyao vingi vinabumia mezani kwa Rais..
 
nimekuja mbio nikajua hao TISS wamefanya jambo la maana kutegua jaribio la kumdhuru raisi nakutana na bunduki walizo beba na nguo mpya

yaani unapongeza kwa kubeba bunduki na nguo mpya machoni petu

Tiss ni oparesheni sio upuuzi wa kubeba bunduki kama za kwenye video
Mkuu acha ushamba Hakuna TISS anaebeba bunduki
 
Watu kama akina Mwandosya wanapuuzwa mpaka kuzeeka kwao.
Mwandosya kala Ice Cream za "The Bent Spoon" hapo Princeton.

Tanzania ukileta habari zako za highbrows wa Princeton moja kwa moja unawekwa kapuni.

Chama kinataka mtu anayejua kubusu matako ya wakubwa kama Kikwete au mtu kigeugeu kama Magufuli. Watu kama hao ndio wanaopata urais na kwa kuwa hawana principle za msingi, nchi haiwezi kuendelea.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kazi ya Tiss ni pamoja na kulinda usalama wa uchumi singa singa na rugemalila Tiss wamewadaka na ubilionea wao. Hongera TISS
Well said. Watu wanaoibeza TISS kabisa siwaelewi. Waje wapimwe usalama wa akili zao Milembe. TISS are heroes of this nation,specifically in th 5 phase.This is an obvious and fair observation made by a reasonable, fair minded and informed person.
 
.......Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sabasaba ulitisha.......

Tafsiri yake moja tu,kuwa amani ya nchi hakuna kama zamani,hata enzi za vita vya Kagera Mwlm Nyerere hakuwa na ulinzi huo kama tuko Somali Land ama Kabul,achilia mbali enzi za Mkapa,Mwinyi na Kikwete!!

............Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo........

Tulihubiriwa sana kuwa uvunaji wa gesi Mtwara ndio suluhu ya umeme wa uhakika,tutauza mpaka nje!!! Leo tunahangaika Uganda na Ethiopia kupata UMEME!!!
Ma pinga pinga kazini
 
Acha majungu. TISS ya sasa naipenda sana. Ningekuwa siyo mwanasheria ningeomba kujiunga nao for th public interest.
... Haya tumesikia kuwa wewe ni mwanasheria, mbona juzi kwenye mkutano wetu wa dharura wa TLS sijakuona?
 
Back
Top Bottom