Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
TISS mnafanya kazi nzuri sana.Kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo anajua hilo. You are doing a wonderful job for our great nation. Mnasitahili sifa zote. Mungu awabariki sana.
Nchi sasa iko barabarani. Mambo ya msingi yote yanaenda vizuri. Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo. Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sababu ulitisha.
Hatujawahiona uwezo wa TISS wa hali ya juu wa kumlinda Commander in Chief of the Armed forces kama ule. TISS you are good in all terms.Keep it up. We love you, we respect you. Songeni mbele kwa mwendo huo. Tutafika.
I am proud of our TISS.
Ni jambo la kheri kabisa kuona watanzania sasa tunaanza kuitambua idara ya TISS na umuhimu wake kwa kuimarisha ulinzi na usalama wa taifa, viongozi na miundombinu yote mikuu, viwanja vya ndege na njia zote za usafiri pamoja na uchumi wa taifa.
Wale wanaodai TISS kujihusisha na mauaji kama yale ya Kibiti wanaokosea kwani hiyo ni kazi ya IGP Sirro na vijana wake.
Kazi ya jasusi ni kuwa msiri yaani "discreet" ukisoma hali zote na kukusanya taarifa zote muhimu ambazo ndizo zitakazoifanya idara ifanikiwe au ifeli.
Huko nyuma kulikuwa na kuyumba kwa kiasi kikubwa lakini sasa TISS ni imara na imerudia hali yake ya kawaida yaani mtu kama Sethi aliezoea kuondoka Tanzania kupitia VIP lounge, leo hii yuko rumande akisubiri kesi iendelee.
Tujikumbushe mtizamo wangu kuhusu TISS niloutoa mwezi Octoba 2016
Wazee Mwang'onda na Hassy Kitine waasisi wa TISS imara Tanzania