Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

Hizi pesa zilipigwa miaka yote nilikuwa bungeni na hakuna la maana mlifanya

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ulikuwa bungeni si ungezuia zisipigwe? Hiyo miaka ya nyuma si ndio hadi waziri Mkuu alishinikizwa kujiuzulu, na mawaziri kibao walipigwa chini kwa shinikizo la bunge? Je enzi za dhalimu uliona hilo zaidi ya watu kuitwa toka nje kutishiwa na kudhalilishwa ikiwemo CAG, Paskali Mayalla nk?
 
Huyo mtu unayepoteza muda kumjibu ni kati ya waathirika wakuu wa kifo cha jiwe.

Kipindi jiwe yupo hai alipewa kibarua bandarini akasumbua sana lkn baada ya msiba akatimuliwa.
 
MkuuP hbu nitumie audio ya hiki ulichoandika, unajua nikisoma mambo marefu kama haya napata mkanganyiko wa akili
 
Mkuu Paskal sheria, uhasibu ni backroom profession ila kwa bahati mbaya hapa Tanzania tumezitanguliza mbele na kuacha taaluma ambazo zinapaswa kuongoza nchi. Tumeharibikiwa na kuharibu mambo mengi kwa kutanguliza sheria na uhasibu. Kwa misingi hiyo naomba nitofautiane na wewe kwenye hoja yako.
 
Msamehe bure mzee wetu
 
brother hizo clipu nilizoona na hapa nakuunga mkono kabisa,ni kweli tulia is very good kabisa.paskal mimi nakushauri ufanye mpango wa kukusanya haya maandiko yako ili uandike kitabu

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Kaka p,. Mimi na kuelewa Sana. Endelea kutupa vitu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…