Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

Vijana Fanyeni kazi. Punguzeni mapambio kwa kuvizia teuzi. Hii hali ime sababisha Taifa kukosa vijana wenye kuhoji na Kujenga hoja ktk masuala ya Msingi.
Tulia yupo kazini. Hiyo ndio kazi yake. Hata 40% ya Ubora tunao tegemea kutoka kwa Tulia kama speaker hajafikia. CAG Audit queries na miaka 5 na uwajibikaji haujawahi kutekelezwa. Bunge halina meno!!
 
Mkuu sibishani na observation zako, ila unapojaaliwa karama kubwa na mchango wako unapaswa kuwa kwenye vitu vya msingi na vyenye impact kwa jamii ili jamiii inufaike na karama yako. Issue whether or not hilo bwawa liko Pwani inamsaidiaje mwananchi wa kawaida?
 
daaaaaaaaah kwaiyo waliongeza ela ya ndege ndo stupid watupishe, ila wengine walioiba kwenye report ya cag wenyewe sio stupid wasitupishe
any
anyway its freedom of speech
 
Kiongozi Bora hapaswi kuwa na tabia kama ya kinyonga, kubadili rangi kulingana na mazingira. Speaker .ni Kama wasomi wetu wengi walivyo, ni mchumia tumbo lake kama paskali
 
Ni kweli, she is good at her job. Kwa mara nyingine tunaona miswada ya sheria yenye walakini inarudishwa ikafanyiwe maboresho na sio kupitishwa tu kama ilivyokuwa kipindi cha Ndugai.
 
Hivi kumsifia mtu bila kuitwa chawa?. Huyu ni Mwalimu wangu wa 1st Year, nikamtabiria atakuwa spika, amekuwa Spika!. Kuna ubaya kumsifu?.
Hivyo ilipotokea wewe ni Mwanafunzi umekutana na Mwalimu wako mambo yanakuwa hivi Kuna ubaya?.
P
Hakuna ubaya hata ukiamua kumnunulia pages zote za magazeti na medium zote au hata kuwa campaign manager wake....

Tatizo ni pale watu wanapokuja kwa mgongo wa kuzungumzia issues au kutumia muda wa wananchi kuzungumzia issue, au muda wa so called Great Thinkers kuchambua issues lakini issue inafichwa fichwa kwenye ma-paragraph na ma-paragraph ya ya kupakana mafuta kwa mgongo wa Chupa (ukizingatia hili ni Jukwaa la Siasa na sio Chit Chat) binafsi in my Humble Opinion sidhani kama hayo ni matumizi mazuri ya hii resource adimu ya Muda..... Especially coming from Mkongwe (tuna-set vipi trend kama sisi ni muendelezo wa tatizo) ?

Unless unasema huu sio Uchawa au Uchawa sio Tatizo (ukizingatia umeshika hatamu kwa kasi hizi awamu mbili, ya sasa na iliyopita)
 
Hata Mimi nampenda sana ila pia lile vazi lasiri huwa lina mtesa nakuona anaweza kufanya lolote jambo nadhani sio zuri. Anahitaji kujitahidi kujificha zaidi ili tumuome ni wasayari hii ya kwetu. Pia anahitaji ulinzi wa ziada naona kama sio chaguo lawale jamaa zangu maana anatoka sayari nyingine so wanaona kama mwenye agenda za siri za sayari ya Masi hivyo anaweza kuiweka Dunia kwenye mahali wanataka wao wana Masi. Najua anajua.
 
Shauri yako. Mimi nimesoma between the lines.
 
Tulia yuko vizuri.
 
Naunga mkono hoja ! Maspika wawe ni wanasheria na pia wasitokane na chama chochote cha siasa !!
 
VAZI la Siri😳😳😳, ulinzi wa ziada😳😳😳Anatoka sayari ingine😳😳.
 
Kimsingi hiyo sifa ni muhimu sana Kwa Spika ,Naibu na wenyeviti.

Biashara ya kuokoteza watu wasioeleweka ikome.

Pia hata kwenye nafasi ya Rais ni muhimu wahusika wasome biashara,Sheria au social sciences ,hizi habari za scientists wengi wao wanakuwa wajinga na wasiotumia logic badala yake wanahangaika na formulae.
 
Ulinzi wa ziada ndo ulimponza mtangulizi.

It's better uwe baridi au moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…