Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

Unajipiga dole afu unajinusa wakati harufu unaiskia😂😂
 
Cheki bi Chura wenu alivyonasa kwenye mtego wa Wazalendo
 

Attachments

  • IMG_1897.jpeg
    98.6 KB · Views: 18
Kumbe walizuia?
Nimesikiliza hadi mwisho na maswali ya kutosha yalijibiwa, Ujumbe ulishafika.
#kataa wahuni
 
Kwanza nilikuwa sijui kwamba mitandao ilidukuliwa
 
CCM wanaforce tuishi karne ya 19 huko. Kweli karne hii ya tiktok x you tube fb insta uzuie maadhui hawa ni fala sana
 
Mbona clip kila mtu anayo?
 
L
Lijitu ! Lijitu ??!! 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo hilo nalo la kupongezwa,wakati mwingine huenda ni bora kuwa elimisha ndezi kuliko watoto waliojiunga na itikadi mbovu.
 
Ume
SIjui kama unajua kuwa umeandika kinyiiiiesi..
 
Naona chawa wa mama umepaniki kiasi cha kufikia kiwango cha juu kabisa cha kushindwa hata kunywa tu maji ili kupunguza munkari.
 
Jamiiforums.com tumevamiwa na janjawides hapaaa

M23 check hili.lijitu halijui hata limeandika nini
 
Sio kwamba wewe ndiye hasa mpumbavu..?

Ni bahati mbaya tu unajiona mwerevu, lakini in actual sense you're absolutely, stupid 100%...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…