Mama anaweka fursa hamzitumii sabu ya Hawa wajinga mnajazwa upupu,wachina wakija kuzitumia kwenye masoko kama kariakoo mnaanza kulalamika ohhhh wachina wanauza karanga,kama wanapelekea kuwe na mzunguuko wa pesa shida nini wakati nyie mmelalaNaona chawa wa mama umepaniki kiasi cha kufikia kiwango cha juu kabisa cha kushindwa hata kunywa tu maji ili kupunguza munkari.
Huyu atakuwa ni msaidizi wa Mkurugenzi wa TCRA, kama siyo Mkurugenzi mwenyewe!Kwani wewe bado unatumia Mkongo wa TTCL?
Yaan kadri mlivyoficha ndivyo mlitufanya tutafute press kwa nguvu na tulifanikiwa😂😂
Poleni maana jambo hadharani na clip tunazo.
[/QUOT
Youtube zimejaa zote
Hazina madhara, kiwango Cha watu waliopumbazwa hakijafikia hata 0.00000003% ,hongera kwa serikali ndio maana October tukatiki kumbe mpo wachache sana,akidi hairuhusu uchaguzi kutokufanyikaFacebook zimejaa zote
Huo mkeka umekusaidia nini sasa.View attachment 3410117
TCRA wameshindwa kuzuia Facebook mbona mkeka kamili tunao.
Sio bure wewe ni mnufaika wa utawala huu dhalimu.Miaka 15 hamtopumua tangu jpm sasa mama😆😆,bampa tu bampa
Kama Polepole anao uwezo wa kufuja kiasi hiki cha pesa, je Samia yeye atakuwa kafuja kiasi gani?ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja
Pole pole anajifanya leo ana uchungu sana,kama vipi hiyo mimba yake ya chuki akaizae tuh...Hazina madhara, kiwango Cha watu waliopumbazwa hakijadikia hata 0.00000003% ,hongera kwa serikali ndio maana October tukatiki kumbe mpo wachache sana,akidi hairuhusu uchaguzi kutokufanyika
Umeona enhhhj,dada kagonganisha wanaume kwa tamaa zake atakipata Cha mtema kuni,lazima aoneshwe kwa kuzua taharuki kama ViolaHuo mkeka umekusaidia nini sasa.
Kipi cha maana alichoongea zaidi ya dada yake kutekwa na mabasha zake
Dada yake alitumiwa pesa na bwana zake,badala ya kwenda kuzitumikia anapigiwa simu anaanza kuimba nyimbo za zuchu eti haendii...sasa wahuni wakiruka ukuta wake wana kosa gani.
Kama madhara hakuna kinachowahangaisha ninini?Hazina madhara, kiwango Cha watu waliopumbazwa hakijafikia hata 0.00000003% ,hongera kwa serikali ndio maana October tukatiki kumbe mpo wachache sana,akidi hairuhusu uchaguzi kutokufanyika
naswashukuru sana Jamii forum kwa kuendelea kuweka vipande vya ile press kupitia channel yao ya WhatsApp.Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe makini kwenye vetting), wapo watu wasomi na weledi kupitia kiasi wapo mtaani tuwatumie hawa(Wana professional zaidi ya tano degree very intelligent)tusifanye uteuzi kwa historia ya mtoto wa fulani, nchi inataka maendeleo ya kiuchumi kisiasa tumepiga hatua sana,mama anafanya kazi kubwa mno kuifungua Tanzania
Zao hili la hili jamaa la Leo ni matokeo ya kupeana nafasi kwa vimemo mama naomba hili lisafishe sabu,system bora inaweza kukusaidia huko mavyuoni na mashuleni ambapo walimu wabobevu wanapima Kila kitu hasa integrity na professionalism na uwezo wa mtu binafsi wapo walimu hao
Jitu hili halikuanza leo na lipo kwa maslahi binafsi na jepesi kutumiwa kama toilet paper na Bora umelistukia ,lilipopewa ulaji na awamu ya tano lilifunga mdomo,umelipa ulaji limefuja ofisi na report ya CAG imeliumbua na huruma za serikali kuchelewa kulichukulia hatua imeitumia kama fursa kujifanya limejivua ubalozi kumbe ni jizi kabisa dola karibu milioni mia mbili limefuja na kuanzia kupaka nchi matope
Pole pole nenda Polepole nchi hii ni kubwa zaidi ya hata ukoo wako, nafasi yako ni sehemu tu ndogo hata haifiki 1/2000 ya ushauri wa Rais anaoupata elewa Rais ni taasisi yenye mirija miiingiiii kama mfumo wa mwili wa kiumbe hai ,hivo huna athari yeyote katika nchi hii.
Mh Rais endelea kuchapa kazi,tunatambua mengi mazuri unayofanya na October sauti ni ile ile tuna tick💯
Exactly Exactly...Umeona enhhhj,dada kagonganisha wanaume kwa tamaa zake atakipata Cha mtwma kuni,lazima aoneshwe kwa kuzua taharuki kama Viola
Oktoba tunatick...No reforms No election
Ahaaaa jamaa unatishia watu sioEndelea kufuata watu pm ukiwatongoza na kuwatumia picha za utupu au kuzirushe humu
Fanyeni kazi,mtaendelea kulanaswashukuru sana Jamii forum kwa kuendelea kuweka vipande vya ile press kupitia channel yao ya WhatsApp.
Sky Eclat aseme afumbue mdomo tumuumbue🦁Ahaaaa jamaa unatishia watu sio
Sio polepole,ujinga ujinga ujingaUnasifia ujinga na upumbavu, kuna watu wamepata hasara ya biashara zao kwa kitendo cha kuzimwa mitandao ili hali hawafuatilii mambo ya siasa. Hiyo taasisi inatakiwa idaiwe fidia na makampuni ya mitandao