Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

Majizi ya Ccm mnatakiwa mjue kumziba mtu mdomo siyo kugeuza kilicho kwenye fikra zake
 
ndio afanye mitandao izimwe, akili za wapi hizi?
Gharama za kuondoa ujinga ambao ungepandikizwa ingekuwa kubwa kuliko mapato ya mwezi kupitia mitandao, well done serikali na tcra,kibaya budget yake haijawekwa labda 2026/2027 nani gharama,Bora maamuzi haya yalifanyika
 
Wewe ndio taahira wa kwanza kabla ya kumtusi huyo Polepole.
Polepole amekosea nini?
Embu taja ni kitu gani unethical ama unprofessional amefanya Polepole!?
Utakua NYUMBU wa kijani wewe.
 
Hotuba wameizuia ila watu wa nchi za mbali wamedownload na kuituma tukaisikia.

Sasa tunayo kwenye YouTube Hadi vyombo vya Kimataifa.
 
Gharama za kuondoa ujinga ambao ungepandikizwa ingekuwa kubwa kuliko mapato ya mwezi kupitia mitandao, well done serikali na tcra,kibaya budget yake haijawekwa labda 2026/2027 nani gharama,Bora maamuzi haya yalifanyika
unaambiwa facebook walishindwa kuifunga na tayari ujumbe umefika
 
TCRA wako nyuma sana kiteknolojia na kamwe hawataweza kuzuia ujumbe kuwafikia walengwa. Wanafunga njia hii lakini njia nyingine inabuniwa fasta kufikisha ujumbe. Wajifunze na waelewe hawana namna ya kufunga mitandao kunako nyakati hizi za kupashana habari na mawasiliano
 
Mama wa polepole angetumia kondom ya kike inayoitwa lady pepeta asingeleta uchafu huu kwenye taifa
 
Lah! Bado safari ni ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ